Kibao kimegeuka,kama ulitaka kuoa kijijini think twice.
Maisha ya vijiji vingi ni magumu sana,mabadiliko ya tabia ya nchi yamefanya mavuno shambani kutoeleweka , milo mitatu vijiji vingi ni ndoto,chai hawaijui,njaa haina ubaunsa matokeo yake mabinti wa vjijini wameuza bikra zao kwa gharama...
Hakuna shaka wanafanya kazi kubwa kuokoa maisha yetu. Mungu awabariki sana kwenye hilo. Lakini kama binadamu wengine nao wana mapungufu. Wengine mapungufu makubwa zaidi mpaka unajiuliza huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiri. Ninayo machache ya kushangaza kwa hawa ndugu wakiwa anga zao;
1...
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato leo Machi 18, 2023.
Mama Janeth amewaasa wanafunzi wasichana katika Shule za Msingi na sekondari nchini kote...
Marehemu Happiness Kasmiry kutoka kijiji cha Usari, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu.
Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa jina la John...
Habari wadau.
Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.
Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.
Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto.
Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka...
Mwaka jana wizara ya uvuvi kwenye bajeti ilitenga pesa kwa ajili ya kusaidia uvuvi , na likatoka tangazo la watu wanaotaka mikopo kwa ajili ya uvuvi waandike majina yaende Makao Makuu Dodoma.
Majina yalienda na mpaka leo hakuna mrejesho, wiki iliyopita wizara imeandaa semina na mafunzo kwa...
Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na TAWA limewakamata watu wawili waliotambulika kwa majina ya Richard Paulo (Miaka 23) na Masiaya Lais (Miaka 19) katika kijiji cha Minjingu katika hifadhi ya Jamii ya Burunge wilayani Babati wakiwa nyara za serikali ambazo ni nyama ya Twiga...
Habari,
Huyu jamaa Kuhani Musa Richard Mwacha wa Kimara temboni ni muhuni na hafai kuwa kiongozi wa dini.
Kwanini nasema hivi? Kila siku ya leo ana ibada ambayo huenda mpaka saa nne hivi ya usiku.
Na majira ya usiku katikati ya ibada kinawekwa kipindi cha shuhuda. Ukifuatilia kwa undani...
Ni uchokozi ama ni nini?!
=============
Habari za puto la kijasusi la China kuelea juu ya Marekani zimewaacha wengi wakishangaa kwa nini Beijing ingetaka kutumia chombo kisichokuwa cha kisasa katika uchunguzi wake wa eneo la Marekani.
Uwezo wa puto hili hauko wazi, lakini wataalam wanasema...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inaendelea na mpango wa kutengeneza mazingira wezeshi kwa watanzania ili waweze kujikwamua kiuchumi kupitia mikopo yenye masharti nafuu
Serikali kupitia benk kuu ya Dunia (BoT) imetoa mkopo wa Tsh Bilioni 164,9 kwenye taasisi za kifedha na...
Mwalimu wa dini wa shule za madrassa huko Tarime amekamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo.
Soma mwenyewe hapa chini.
======
MWALIMU wa madrasa kwenye Msikiti wa Kebeyo, Kijiji cha Getenga, Tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Shaban Harun (37) anashikiliwa na Jeshi la Polisi...
Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi kuchukiwa zaidi, si kwa kufunga biashara kwa kasi ya ajabu kama hiyo.
Lakini, kwani uchumi kwenu ukoje...
Kama ilivyo kawaida ya wengi kurudi nyumbani na kujumuika na familia pamoja na ndugu wengine mwisho wa mwaka nami nilifanya ivyo maana miangaiko ya kimaisha ilininyima nafasi ya kurudi nyumbani kipindi kirefu kidogo. Nimekaa home takribani wiki mbili.
Nimefurahi kuwaona ndugu ambao ni watoto wa...
Wengi huwa ni vijana wadogo tu wapo kwenye 20s hasa wahitimu wa degree na diploma.
ni tabaka tofauti na wauza simu wengine, wao hujitofautisha kwa kuuza simu zenye brand zinazotrend ulaya na marekani tu kama iphone, samsung na google pixel... Simu za kichina na vitochi hawauzi.
Simu hizo bei...
Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.
Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda?
Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa Hawa mabinti?
TARIME na ROYRA Hali ya ukeketaji Sio shwari.
Hapa Dar es Salaam mabinti wanakeketwa...
Habari zenu wakuu,
Nimeenda wilaya flani kwa mara ya pili hivi na nimejionea kuna wazee wana wake wadogo, unakutata mzee ni miaka 52 ila binti ni 23.
Nimepewa stori kadhaa kwamba huku sio kama mjini tumeshazoea kuchapiana, yani huku watu waliooa hasa wazee wamejidhatiti na hii imesaidia hata...
Unajua miaka ya nyuma mambo kwa asilimia kubwa hayakuwa hivi yalivyo. Mimi nakumbuka kipindi hicho cha nyuma hata kupata watoto wazuri ilikuwa tunatumia mbinu za kiume hasa.
Kama ni mikoani huko ilikuwa wakati mwingine inabidi ukimbize binti kwenye vichaka na uwe na utaalam wa kumpigwa "Ngwala"...
Sisemi kwamba watu wasisome, La Haha! bali wawe na "back up a.k.a Plan B, Sio vibaya mtu mwenye degree awe na ujuzi wa kushona, ujenzi, useremala, upishi, n.k. huu ujuzi una uhakika zaidi wa kumlisha kuzidi nafasi za kazi ambazo wachache huajiriwa, anapomaliza chuo awe na uhakika wa kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.