wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtaani kwetu ukiona Mwanamke anakubali kuwa 'Kijumbe' pale akiombwa na Wadau jua yafuatayo

    1. Wameshamuona hana la kufanya 2. Wameshamuona ni Mbivu 3. Wameshamuona ni mpenda Raha 4. Wameshamuona anaingilika Kiurahisi 5. Wameshamuona ni Mswahili Mswahili 6. Wameshamuona ni mbea mbea Fulani 7. Wameshamuona kuwa HANA AKILI kabisa Je, kwako Wewe huko Mtaani Mwanamke akiombwa kuwa Kijumbe...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tuzo ya Wachekeshaji. Serikali na wadau iandae Tuzo za waandaji bora wa Maudhui Mitandaoni.

    BAADA YA TUZO YA WACHEKESHAJI. SERIKALI NA WADAU IANDAE TUZO ZA WAANDAJI BORA WA MAUDHUI MITANDAONI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Niwapongeze waandaji wa Tuzo za Wachekeshaji 2025, serikali na Wachekeshaji wote walioshinda Tuzo hizo. Mimi ni mdau wa vichekesho hasahasa Standup Comedy...
  3. Jchris14

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi komenti za wadau lazima ukimbie 🤣

    Wakuu ile thread ya Spana & VAR Movement ilipotelea wapi humu?? Embu check hii komenti ya mwamba kwenye hizo images 😂😂🙌
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kiuno kukaza na maumivu ya mgongo

    Habari wadau nina tatizo unaenda mwaka sasa linanisumbua huu upande wa kulia kuna mabadaliko yani tatizo huwa linanianza ikifika mida ya jioni naanza kusikia maumivu upande kiuno kukaza mpaka maumivu ya mgongo. Sasa nilijaribu kwenda hospitali niliambiwa nina shida ya mawe kwenye figo ya kulia...
  5. U

    JamiiForums Tanzania IDF yaua magaidi 60 ya hamas, yakamata 210 ni operesheni kubwa maalumu ya kijeshi almaarufu Operation Iron Wall huko magharibi mwa mto Jordan

    Wadau hamjamboni nyote? Operesheni kubwa ya kijeshi kuyasaka magaidi ya Hamas yaendelea huko ukingo magharibi mwa mto Jordan Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: February 13, 2025 IDF says over 60 terror operatives killed, 210 detained amid ongoing West Bank...
  6. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau nikomae au niusikilize mwili?

    Nimegombana na mke wangu, ni kama tumekaushiana hapa ndani ila sasa nataka tunda, najua nikiomba sitakataliwa ila itaondoa uzito wa makosa yake na baada ya hapo nitakosa nguvu ya kuwa mkali. one two one two...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kilombero Sugar Yaandaa Mkutano wa Wadau wa ndani 2025

    Morogoro, 6 Februari 2025. Kampuni ya sukari Kilombero, leo imeandaa Mkutano wa Wadau ambao umewakutanisha na viongozi wapya wa serikali za mitaa pamoja na wadau wengine kutoka bonde la kilombero muhimu kwa lengo la kuimarisha ushirikiano na kujadili mikakati ya kimaendeleo. Mkutano huu...
  8. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba mnijuze hiki kifaa kinauzwa bei gani

    Habari za asubuhi wadau Kwa wale wajuzi wa vifaa vya umeme naombeni mnijuze hicho kifaa kinauzwa bei gani. NEW
  9. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Wadau hebu njooni tushauriane

    Nimenunua simu hivi karibuni kutoka duka moja hapo kariakoo. Sim nimeitumia tokea mwezi wa kumi na moja tarehe 15 mwaka jana (2024). Mwaka huu mwezi wa kwanza kwenye tarehe kama 20 hivi simu ghafla ikazima nikiwa naitumia. Na ilizima katika hali ya kawaida tu kama imejirestart ila hii...
  10. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Hivi Fly Emirates na Arsenal ni mkataba wa maisha

    Hii timu tangia ijengewe uwanja wa Emirates imekua kama koloni la hii kampuni ningependa kujua wadau huu ni mkataba wa maisha kutokana na kuwajengea uwanja wenye kujua wanijulishe wakuu
  11. U

    JamiiForums Tanzania Je kiimani ni sahihi kwa muislamu kutumia au kutamka Yahweh Subhana badala ya Allah Subhana akikusudia maana ileile kuwa Mungu ni mkamilifu?

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu Usiku mwema
  12. Soul21

    JamiiForums Tanzania Wadau bati gani inafaa kwa nyumba kama sifikii bei ya ALAF?

    Nipo kwenye hatua za kufunik nyumbani hapa Kilimanjaro ila sasa nimekuwa mdogo sana kwenye ujuzi na usahihi wa bati gani itanifaa au ni bora mbali na ALAF. Naomba ushauri kwa wazoefu. Asante
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Watu tunalia na vifurushi vya NHIF Mtibeli amegundua bima ya elfu 40 , naipataje wadau ?

    Nimeona member mmoja anajiita Robert Heriel Mtibeli anaungana na RC chalamila na kusema kuna bima ya Elfu 40 ina cover mpaka uzazi , Ultrasound,X ray ...etc Naipataje mnaoijua ?
  15. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje unapopata reactions za wadau kwa ulichopost?

    Iwe ni response ya meseji 📩 likes👍reactions😍 🤣 😡au hata dislikes👎 Wajisikiaje?
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wadau, kufeli vibaya kwa ile movie mnafikiri tatizo lilikuwa wapi na limesababishwa na nani?

    Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia mitandaoni fasta ambako walianza kushusha mamia ya viapo kwamba movie ni true kabisa. Aidha, haters...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Habari wadau naomba mwenye key za kuresset ink pad za Epson L3250

    naomba mwenye key za kuresset ink pad za Epson L3250
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wadau kwa sasa Korean dramas mnazipakua wapi?

    Kwa miezi kadhaa sasa Site za Dramacool hazipatikani. tafadhali wadau nipeni chimbo jingine la kudownload series za kikorea kwa wepesi kama ilivyokuwa Dramacool. Ahsanteni....🙏🙏
  19. Mr-Njombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna walioanza mwaka 2025 kwa kupata magonjwa baada ya kufanya mapenzi kizembe

    Poleni sana, ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe. Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi. Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela. Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari...
  20. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Wadau mnishauri hivi January hii naweza kupiga lenta

    Nimepata vijisenti vya kuniwezesha kufunga lenta sasa naona hali ya hewa imekunja sana mvua zimeanza vipi nikifunga itakuwa poa? maana kukaa na pesa nako ni kipaji
Back
Top Bottom