wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wadau niambieni, nitapigaje kura wakati naidai serikali?

    Mimi nafanya kazi za serikali. Nalipa kodi zote, iwe za TRA, NSSF, WCF, OSHA,FIRE, WMA, Weights and Measures, Hali ya Hewa, City Levy, Achana na kodi za maisha kama Fuel Levies, Umeme, Kodi ya Majengo n.k. Wabunge wamepiga kelele kwa niaba yetu lakini ni kama kuongea na jiwe. Wakati huo huo...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wadau wajadili uhuishaji mitaala ya chuo cha Ardhi Tabora

    Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kinaendelea kuhuisha mitaala yake ili kukidhi mabadiliko ya uhitaji wa soko kwa kuandaa wataalam wa sekta ya Ardhi kwa maendeleo ya chuo na taifa kwa ujumla. Mitaala inayohuishwa katika chuo hicho inahusisha masomo ya Urasimu Ramani; Usimamizi wa Ardhi, Uthamini...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

    Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa. kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MCT: Wadau wa kukabiliana na taarifa potishi kama wanavyofanya JamiiAfrica wanahitajika

    Akizungumzia umuhimu wa kuwa na Watu wanaohusika na suala la uhakiki wa taarifa, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura amesema “Uwepo wa Wadau kama JamiiAfrica unahitajika kutumika kusaidia kutoa elimu ya Uhakiki wa Taarifa kama ambavyo wamekuwa wakifanya (kupitia...
  5. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
  6. Bueno

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Elimu Mnalielewa hili?

    Picha inaongea mimi sitosema mengi na hii sio AI ni Human Intelligence (HI)
  7. W

    JamiiForums Tanzania TEITI yatoa elimu kwa wadau na washiriki katika jukwaa la uziduaji, 2025

    Imeelezwa kwamba, tangu Tanzania ijiunge na Asasi ya Kimataifa ya EITI iliyopo nchini Norway, imetoa kwa umma ripoti 14 za TEITI kwa kipindi cha kuanzia Julai 2008 hadi Juni, 2022. Aidha, kwa sasa TEITI ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ripoti ya 15 ya TEITI kwa kipindi cha mwaka...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wadau wa madini wavutiwa na uongezaji thamani vito

    Wadau mbalimbali wanaoshiriki katika Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini wameonesha kufurahishwa na fursa zilizopo kwenye mnyororo wa thamani madini ya vito walipotembelea banda la Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) ambapo wameelezwa pia kuhusu...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Hersi Said: Wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia

    🎙ENG. HERSI KUHUSU KARIA 👇 🗣"Nikuhakikishie sisi kama wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya utendaji, nipongeze wazo zuri ambalo kaka angu Mangungu amelitoa na mimi naliunga mkono kwa asilimia 100%, sisi wajumbe wa mkutano mkuu tumelipitisha."- Eng...
  10. USSR

    JamiiForums Tanzania Usiku wa TUZO za wadau wa maendeleo wilayani Biharamulo

    SIsi wadau wa maendeleo wa biharamulo tumekubaliana kwa kauli moja kuwa mbunge wetu Eng Ezra John Chiwelesa lazima tumpe tuzo kwa kazi kubwa aliyoifanya jimboni 2020-2025. Maendeleo yaliyopatikana hatukuwahi kufikiria ,uwepo wa maji ,vituo vya afya, ujenzi wa shule ,barabara za lami za...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania BIHARAMULO: Wadau wa maendeleo kukabidhi tuzo kwa DC Advera na mbunge Chiwelesa kwa kazi nzuri .

    WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa. Tangu SACP Advera Bulimba awasili biharamulo mji umetulia na kutoa wasaa kwa kila mkazi kufanya shughuli...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wadau wakutana kujadili suala la ukatili wa kijinsia kwa wanawake wanasiasa

    Na Mwandishi wa Habari Hub Zanzibar, Juni 12, 2025 Katika juhudi za kukuza ushiriki wa wanawake katika siasa na demokrasia, Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-Zanzibar) kimeandaa kikao kazi cha siku mbili kilichowakutanisha wadau kutoka taasisi 15 zisizo za kiserikali...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wadau nataka kujiua

    Wadau naona huyo Mungu wenu ameshindwa kunikill. Sasa Mimi nataka nijiue mnaonaje?
  14. B

    JamiiForums Tanzania UDSM yawaita Wadau wa Elimu kushiriki maadhimisho Wiki ya Utafiti na Ubunifu

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeutaarifu umma wa Watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki katika Maadhimisho ya kumi ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu ya UDSM yatakayofanyika kuanzia Juni 9- 11, 2025 katika Viwanja ya...
  15. mwenye shamba

    JamiiForums Tanzania Wadau haya ni madini gani?

    Wajuzi wa madini,napenda kujua haya ni madini gani?
  16. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika, unatuvuruga baadhi ya Wanafunzi, wanadai tumelipa fedha “hewa”

    Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado tuanendelea kutozwa kila mwaka wa masomo lakini huduma zake hazikutolewa kama inavyotakiwa...
  17. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Wadau Hii CV ya Mbunge mnaionaje

    Huyu Mbunge aliyeita watu ni Kenge kumbe katumia miaka 27 kupata Diploma. Ila nadhani hakuna Bunge duniani lina vilaza kama hili.
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wadau niende mbele nyie mrudi nyumanyuma. Leo Simba anakalia. Ama sivyo Ban ya Mwezi Mzima

    Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe. Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar. Nawashauri watuletee Tende na Halua tu.
  19. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Hii ni spesho kwa wadau wenye kutafakari mambo kwa hekima

    Nadhani watu wanao utafuta ukweli ndani mioyo yao,nafsi. Wewe ulifanya meditation kwamda mrefu bila kuona maana ya meditation. Nimekuletea zawadi ya MAGIC mushrooms. Mkoani utatumiwa na ikiwa upo dar es salaam UTAKUJAMOJA KWA MOJA OFSINI.
  20. Kighono kighonk

    JamiiForums Tanzania Wadau ivi tra oral wanayatoa lini au ndo kula kwenda

    Wadau ivi tra oral wanayatoa lini au ndo kula kwenda
Back
Top Bottom