wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mchezo wa Draft ndio mchezo unaoshika nafasi ya pili kwa kupendwa nchini Tanzania, Serikali ikae na wadau kuanzisha na kuendeleza mchezo huu

    Ukiondoa mpira mguu, mchezo wa draft ndio mchezo ambazo unachezwa katika wilaya zote nchini, hakuna wilaya hapa nchini utaenda utakosa wachezaji wa mchezo huu, nenda wilaya yoyote draft lipo na wachezaji wapo, Dar es salaam ndio balaa, kule manzese, mbagala, kinondoni ndio kuna mafundi wakubwa...
  2. Magical power

    Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge

    Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau baada ya kupata msiba Wa Binti YANGU,Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge zaidi,mnipokee Tena ndugu zangu maisha mengine yaendeleee🙏🏽
  3. Lady Whistledown

    COP29: Wadau wahimiza hatua za kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Uongozi wa Mipango ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko. Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
  4. hamis77

    Wadau njooni tuziondoe hizi App za mikopo

    Kwakuwa mamlaka husika zimeshindwa, basi nataka vijana wapigania maendeleo tuziondoe hizi app za kitapeli. Niliwapigia Simu TCRA wakasema hawahusiki niende polisi. Njia za kuziondoa hizi app ni simple tu, kama una nyumba hujamalizia basi watahusika kumalizia, kama huna boda boda basi...
  5. K

    Hamasa kubwa kwa wananchi kujitokeza kupiga kura sanjari na zoezi la kuwaengua wagombea wa upinzani kwa fitina Je CCM inataka kuwaminisha nini Wadau

    Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka Hivi CCM wanataka...
  6. Reptilia

    Msaada: Nimefuta Xender na Miziki yangu pia imefutika

    Wakuu kama ilivo ainishwa hapo juu, MSAADA ninao hitaji nikwamba Jana KWENYE harakati za kwny 1 na 2 nmejikuta nimelifuta file la Xender kwenye simu yangu lakini Cha kushangaza sasa zile MIZIKI nilizokuwa nmezihamishia kwenye hii cm KUPITIA hii Xender kuja kwenye simu yangu nilioifuta ki...
  7. Tlaatlaah

    Huruma imenijia ghafla wadau na wanasiasa wenzangu hasa makamanda kwenye jukwaa hili

    Hivi yule kiongozi wa BAWACHA Aliedai alitekwa, akateswa na kudhalilishwa huko kwenye misitu kibiti anaendeleaje kwasasa makamanda? Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi apone haraka. Nimewiwa kumjulia hali tu kwakweli, my friends, ladies and gentlemen 🐒 Mungu ibariki Tanzania.
  8. JanguKamaJangu

    Katiba na Sheria yawakutanisha Wadau kujadili utekelezaji wa mikataba ya Haki za Binadamu

    Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Idara ya Haki za Binadamu imewakutanisha wadau mbalimbali kutoka Bara na Zanzibar katika kikao kazi cha kukamilisha taarifa ya Nchi ya kufuatilia utekelezaji wa Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu pamoja na Mkataba wa Haki za Wanawake barani Afrika...
  9. DeMostAdmired

    Wadau Mercy anamkakati wa kuni-win

    Niende kwenye mada! Ni kitambo sasa sijaleta muendelezo kuhusu Mercy, siyo kwamba kaacha kunifatilia hapana bado na saivi sielewi nafanya nini ila nitashinda (tutashinda mimi na Mage) Mambo yangu na Mage yapo vizuri ila siyo vizuri kama mwanzo. Chanzo cha haya yote ni Mercy. Nilipanga...
  10. M

    Updates Ajira za Ualimu (Hii imekaaje Wadau??)

  11. U

    Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri usiku huu kwenye makao makuu ya jeshi Kirya, maandalizi ya kuishambulia Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imeamua na haipoi Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama)...
  12. U

    Takwimu rasmi kuanzia mwaka 1965 waumini milioni 18,555,581 wamejitoa kutoka Kanisa la Waadventista Wasabato, je Nini chanzo?

    Wadau hamjamboni nyote? Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024 Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581 Niwatakie sabato njema Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini...
  13. U

    Ndege za jeshi la Israel lashambulia jirani na ubalozi wa Iran Damascus Syria, naibu kamanda kikosi cha Jeshi Quds la iran auawa

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran Shambulizi hilo lililotokea katika wilaya ya Mezzah huko Damascus, lilisababisha...
  14. Hammer11

    Kaokoka lakini vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki. Nifanye nini?

    Iko hivi, nina binti nimemtongoza sasa yeye huwa anajiona mtu wa dini sana, kiufupi eti kaokoka lakin vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki eti anasema ni mapema hawezi nipa mzigo ila pesa ananiomba. Mpaka sasa amekula kama 60,000 ivi sasa nikimwambia kuhusu show analeta ety ooooh mapema...
  15. N

    Mama lishe watoa wito kwa wadau kuwasaidia kuboresha biashara zao

    Wafanyabiashara wa chakula maarufu kama Mama Lishe wametoa wito kwa wadau wa maendeleo kushirikiana nao katika kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili biashara zao, hususan ukosefu wa vifaa vya kisasa na mitaji ya kuimarisha biashara. Wafanyabiashara hao walitoa wito huo kupitia ‘Coca-Cola...
  16. Roving Journalist

    Wizara ya Madini, Tume ya Madini na BoT wakutana na Wadau kuhusu utekelezaji wa Kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123

    Ikiwa ni mkakati wa kujenga uelewa kwa wadau wa madini kuhusu utekelezaji wa kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123, leo Oktoba 04, 2024 Wizara ya Madini imeratibu mkutano wa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini uliofanyika jijini Dodoma ambapo elimu kuhusu utekelezaji wa sheria hiyo...
  17. N

    TBL, wadau wajadili usalama wa maji kwa Dar

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Usambazaji Maji wa Wizara ya Maji, Joyce Msiru (katikati) wakipokea ripoti ya Maji inayolenga kukabiliana na changamoto za usalama wa maji jijini Dar es Salaam kutoka kwa Michelle Kilpin, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries...
  18. D

    Tunafunga GPRS, tupo Mwenge

    Jamani wanajamvi kama wewe unahitaji kufungiwa kifaa cha kieletroniki katika chombo chako cha moto ambacho kitakusaidia kuangalia mahali ambapo chombo chako kipo kwa muda wowote tunaweza kuwasiliana. Lakini pia hata kama huna chombo cha moto ila unamfahamu mtu anayehitaji pia tunaweza...
  19. Sun Wukong

    Wadau naombeni ushauri kuhusu miwani hii ya macho sijapigwa kweli hapa?

    Mimi ni mtu ambaye ninatumia computer for hours basi kutokana na kuumwa kwa kichwa, macho kuwasha (not all tge time but mara nyingi huisi macho kukaza) Nilipima nikaonekana nipo fresh(mimi naona poa tu) ila ni alergy na mwanga Dokta akasema ninunue miwani ya mwanga Nilikaa baadae nikaenda...
  20. S

    Wadau ninasoma bachelor of science in chemistry sion future katika hii kozi naomb ushauri

    Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
Back
Top Bottom