wachina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Wachina sasa ni kila sehemu inafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja

    Yees, baada ya wabongo wenzetu kuingiza tamaa na kutunyoosha kwa bidhaa kutokea china wakiuza na kupata faida zaidi ya mara 4, na endapo ukijichanganya kwa hawa madogo wanaojiita winga wa kariakoo utanunua kwa bei mara 10 zaidi. Mfano blender ya 3000 watakuuzia 120,000/=... Ukijichanganya...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Wachina katika biashara Tanzania una upande mzuri pia, tupime mzani umeelema wapi

    Pamoja na hofu kubwa ya Ongezeko la Wachina kufanya biashara ndogo ndogo zilizopaswa kufanywa na wazawa nchini lakini wana upande mzuri pia kwa raia wengi ambapo ni watu kupata bidhaa kwa bei nafuu sana pamoja na kuwaondoa MAWINGA na usumbufu wao uliokubuhu katika biashara Kariakoo.
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KAMA WACHINA WANALIPA KODI ILEILLEE WAZAWA WANALIPA TUNAOMBA SERIKALI MSIWAGUSE HAO N BARAKA ZETU

    USHAURI KWA SERIKALI TYSISIKILIZE HIZI KELELE ZA WAFANYABIASHARA WA KRKOO KAMA WANALIPA KODI ILEILE ILE MNAYOHIITAJI TUNAOMBA HAWA WATU WASISUMBULIWE WAHESHIMIKR KAMA WENGINE HATUWEZI KUNUNUA MALI ZA 8000 LWA 60000. KISA TU KUBADILI MTAA HII N LAANA TUNAOMBAA WATANXANIA WOTEE TUPINGR...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Wachina wanajivunia kuwepo duniani miaka 5000 na wanatarajia miaka 5000 tena. Sisi tuna haraka gani?

    Mwanadiplomasia wa Kichina ameeleza hivi karibuni kuwa China haigopi kuangushwa kiuchumi na imeshajifunza kuwa wavumilivu miaka 5000 iliyopita na inataraji kuishi miaka 5000 ijayo....!!YAANI 5000 TENA!! Hilo ni somo kubwa la kidiplomasia ambalo linatakiwa kuingizwa kwenye mitaala yetu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

    Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Askari wa China wakamatwa mateka nchini Ukraine wakiwa sehemu ya wapiganaji wa Urusi

    Ukraine imefanikiwa kuwaua wapiganaji kutoka China wakiwa pamoja na askari wa Urusi nchini Ukraine. Askari wawili wachina walikamatwa mateka, na wapo kwenye gereza nchini Ukraine. China daima imekuwa ikisisitiza kuwa haiisaidii Urusi kupigana na Ukraine kwa namna yoyote ile, lakini habari za...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini? wachina wanaweza kula nyama ya Kila na aina wapo vizuri tu?

    Inashangaza sana wakuu, Wachina, kwenye cafes, na restaurant zao wana kila aina ya nyama🥶 👉Wapo fit physically 👉Wanafanya vumbuzi nyingi 👉Wana 1.4 billion 👉Watoto wanaozaa wapo vizuri mentally Africa nchi nyingi zina ubaguzi wa vyakula lakini, bado hatuwafikii wachina kiafya ata thinking...
  8. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Trump wachina walimkera nini huyu mzee ? Maana ana waandama kila pande

    Hapa kazungumza na waziri mkuu wa Japan kuhusu hatua alizochukua kwa nyongeza ya ushuru na namna gani wanaweza fikia makubaliano na Japan. Huyu mzee kaona haitoshi katika kuzungumzia Japan kaamua akazie kwa kuitaja China. Ni tishio gani serikali ya Trump inapata kutoka kwa China maana kila...
  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Bado Trump yupo nao wachina jino kwa jino safari hii kazi wanayo

    Rais wa marekani Donald Trump bado anaendeleza msimamo wake juu ya nchi ya China katika suala zima la kuiwekea ushuru. Pia Trump amehitaji usaidizi wa haraka wa Federal Reserve kuondoa interest rates. kwa kipindi cha karibuni Trump amekuwa akihishutumu Fed chini ya mwenyekiti Jerome Powell...
  10. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Trump tena na wachina anasema sasa hivi wanafanya mapinduzi ya kiuchumi lazima washinde

    Ni muendelezo wa Trump na kuwakalia kooni wachina toka awamu yake ya kwanza mpaka sasa kawaweka mdomoni kweli. Trump anasema anachofanya sasa ni mapinduzi ya kiuchumi na hakika lazima washinde japo anakili maumivu watayapitia ila wanashinda. China has been hit much harder than the USA, not even...
  11. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Trump kawakalia kooni Wachina kweli kweli

    Trump bwana kawakalia kooni kweli kweli wachina. Inavyoonekana ana lala na kuwaota wachina kila siku, hii hapa ni baada ya China kutangaza nyongeza ya asilimia 34% kwa ushuru kwa bidhaa zote za kimarekani baada ya yeye Trump na serikali yake kutangaza ushuru kwa mataifa mbalimbali duniani...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia

    Wakuu, Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat kwa jamii yetu ya kitanzania huwa tunamaanisha Hapa ni GUangdong Hotel, Dar Es Salaam, huyu jamaa kasimamishwa getini anakatazwa kuingia kwenye hii hoteli na mlinzi. Akihoji kwanini anaambiwa hiyo hoteli ni "special" kwa Wachina. Ngozi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Heri Mchina anaepunguza ukali wa maisha kuliko mzawa anaetupiga, usumbufu wenu unatufanya tuzidi kujaa kwao, Mchina haendi popote, HERE TO STAY !

    Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha. Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa mpaka elf 30, mchina anakuja kuuza kwa bei rahisi mnaanza kulia Uzalendo, ni uzalendo gani huo wa...
  14. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kuwaacha huru wachina wafungue biashara yoyote ni mkakati wa serikali kuwachangamsha wazawa

    -Nikiwa kongwa wilayani nilienda stationary moja iko hapo karibu na kwa DC. Nilichokutana nacho toka kwa mhudumu ina justify ngozi nyeusi ifundishwe business skills na wageni. Na sasa tuna hawa wachina. -mhudumu stationary unamuomba akupatie bahasha anakunja midomo. . Unamuomba aweke document...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wachina wanaishi kwa shida sana kama kuku wa kwenye cages nchini kwao ndio maana wanakimbilia Afrika

    Pamoja na kwamba tunaona majengo makubwa na miondombinu mizuri inayomeremeta China ila ukweli pia ni kwamba raia wengi wa nchi hiyo hata wale wenye kipato kizuri cha wastani kwa huko kwao wanaishi maisha ya shida sana ya kubanana katika makazi. Raia wengi wa China wanaishi kwenye vi-...
  16. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Wachina mitano tena, Natafuta spear Original za pikipiki kutoka machimbo ya wachina nimesikia wametufikia

    Hapo vipi? Ni baada ya kuvumilia kwa muda mrefu kutokana na kuuziwa spare(vipuri) vya pikipiki yangu (TVS) msaada wa kwenda kazini kwangu fake kwa bei ya juu sana, baada ya mwezi kimekufa. Naomba kuulizia tafadhari, enyi wakazi wa dar (mimi nipo mkoani) ni eneo gani nikifika hapo dar es salaam...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Licha ya Serikali kupitisha Sheria ya Wakandarasi wa ndani kupewa tenda za miradi isiyozidi Bilioni 50 lakini bado Wachina wanapewa kazi

    Pamoja na Serikali Kupitisha Sheria ya local content ambapo kiwango Cha tenda za ujenzi kilichotengwa Kwa Ajili ya Wakandarasi wa Ndani/wazawa kuwa Bilioni 50 Lakini Bado Serikali na taasisi zake inapuuza maamuzi yake yenyewe. Kwa utaratibu huu unategemea Ajira na kuwezesha wazawa...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Sera Za Rais Samia zilivoua ajira kwa wazawa , uchumi unakufa , wachina watamalaki

    Economic chain kaiua makusudi kabisa. Mchina ni machinga kariakoo na mbaya zaidi wenye viwanda china wanazalisha na kuleta direct wao wenyewe, kikubwa Wana kampuni zao za clearing and forwarding , Wana meli zao za kusafirisha mizigo hapo Samia kafeli. Nenda migodini chungwa, same , Singida ...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Thread ya machimbo ya wachina nguo vyombo viatu kariakoo Kwa wote manayoyajua machimbo weka hapa hii inaitwa fuluza winga na utapeli kariakoo

    Wakuu hii ni thread ya kujua machimbo ya wachina nguo viatu vyombo mashuka Kila kitu yaani mchina alipo na sisi tupo tumechoka kupigwa Kwa kigezo Cha kuitwa washamba hivyo washamba Sasa tumejanjaruka tunawaambia nyie mawinga Mali mtaipata shambani Ili muache kukaa kariakoo mkiibia wananchi pesa...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tusilalamike kuwa wachina wamekuja kuchukua fursa bali ni sisi wenyewe hatujui kutumia hizo fursa

    Tanzania kuna fursa nyingi ila watu wenyewe ni kama penye miti hakuna wajenzi. Wafanyabiashara wengi wa tanzania ufanyabiashara ili mradi wanafanya tu. Baada ya kuangalia wenzetu wanavyo weza kujali biashara zao kuanzia hatua ya kuviandaa mpaka kuingia sokoni. Niliangalia mfano utengenezaji...
Back
Top Bottom