wachina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Hawa Wachina kwenye mkutano wa ACT kulikoni? ACT mmefanya kosa la kimkakati sana

    Wakuu, Sijapenda kabisa kuwaona hawa Wachina kwenye mkutano wa ACT Wazalendo. Hawa Wachina wako AGAINST DEMOCRACY na ni marafiki wakubwa sana wa chama cha tawala. Hawa wachina ndio ambao wana kile chuo cha Uongozi kule Kibaha kwa ajili ya "kutrain" viongozi wa CCM Mfumo mzima wa demokrasia...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wachina na Wahindi hawasambazi dini KWA bidii kama Waarabu

    Wachina wanadini ZAO, wahindi ndio balaa. CA ajabu watu wa haya maeneo hawana kiu kubwa ya kutaka watu wajiunge na dini yao kama Waarabu. Sababu ni nini?
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tungekua na Vyombo vya Dola huru, Kwa Manufaa ya Taifa, Umoja, Mshikamano na Maendeleo thabiti yanayowaunganisha Watanzania

    Niliwahi Uliza , Huu Utekaji, Mauaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya kuua Viongozi wa Dini, Kumpa LISSU kesi ya kihuni, Kuzuia CHADEMA , kujtahidi sana Mbowe kua Mwenyekiti wa CHADEMA, kufadhili CHAUMA, haya yoooote ni sababu ya Urais wa Miaka mitano tu?. Urais ambao Hayati Magufuli...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Richard Nzagi: Mafinga ina Watoto wengi wa Kichina, Wachina wanaacha Watoto wengi wanapopita kwenye miradi

    Mkaguzi Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi anajibu swali kuwa “Endapo Mtanzania atapata ujauzito na raia wa kigeni, iwe ni mtalii au ameingia nchini kwa njia nyingine halali—halafu huyo mgeni akaondoka kabla mtoto hajazaliwa, je mtoto huyo anakuwa raia wa wapi?” Idara...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya dhahabu ambayo kuna WACHINA yapo wilaya gani mkoa wa Singida na Mbeya?

    wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wachina ni wachaga waliochangamka tabia zao ni zinafanana

    Kama unataka kumfahamu mchina basi nenda kwa mchaga kwanza kujua wapoje.Wachina ni watu ambao wenye kukuzoom tu ufike kilele cha mlima kilimanjaro wapite na wewe. Wachina wana kamchezo kukupokea na kuwa rafiki yao mzuri wa biashara ijalishi wapo tanzania au nchini mwao.Wakiona biashara yako...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Madalali Dar, walalama wachina kuingilia kazi zao

    Madalali wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Masaki na Oysterbay, Dar es Salaam, wameiomba Serikali iingilie kati kutokana na kuingiliwa kwa biashara yao na raia wa kigeni, hasa Wachina, wanaodaiwa kufanya biashara ya udalali wanapoingia nchini. Akizungumza na Swahili Times, Kaimu Katibu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Alietumia dawa za Wachina za kuziba ufa waa kioo cha gari na kuondoa mikwaruzo akafanikiwa tunaomba ushuhuda wako

    Hivi karibuni kumekuwa na kila aina ya products za Wachina zikitangazwa mitandaoni na kusifiwa sana. Kuna baadhi ya products hizi ni fake na uongo mkubwa hadi unashangaa kwa nini serikali inaruhusu utapeli wa namna hii kwa wananchi wake! Mojawapo ya products nimeiona kwenye mitandao ni hizi za...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa wachina wembamba wa mwanamke ndio urembo

    🇨🇳 Kwa Wachina, Urembo wa Mwanamke ni Wembamba Wake... Katika jamii ya Kichina, wembamba ni ishara ya uzuri wa mwanamke 👩‍🦰✨ Huyu hapa ni mmoja wa wanawake wanaochukuliwa kuwa mrembo zaidi nchini China — anasifika kwa sura yake ya kupendeza 💫 na umbo lake linaloendana na vigezo vya urembo wa...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Huu utiriri wa wachina na umachinga wao unaashiria nini kwa Tanzania na Afrika?

    Kwa wanaopitapita kwenye mitaa ya miji yetu hasa Dar, watakubaliana nami kuwa Tanzania ni mojawapo inayochezewa na kunyonywa na wachina. Walianza wahindi na sasa wanafuatia wachina. Je, sie tuna tatizo gani kama binadamu hadi kila ajaye anatunyonya na kututumia?
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Vifaa vingi vya Ujenzi vya Chuma kutoka kwa Wachina ni FAKE. Vimeminywa Vipimo! Miaka michache ijayo Majengo yataanza kuanguka!

    Ni Kama Maisha ya Watu yanawekwa hatirini !. Chuma ya Wachina ni Dhaifu sana, na imeminywa Vipimo , Kwa Mchina yeye kuzalisha Tani nyingi Kwa Gharama ndogo ili kupata Faida Kubwa ni Bora kuliko kujali Ubora na Usalama wa watu. Hata hivo, Nchini china hali ni tofauti, Kwao Ujenzi na materials...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wachina wakaribisha Siku ya Kiswahili Duniani kwa Vyuo Vikuu vinavyofunza Kiswahili kuonesha weledi wa kuzungumza Kiswahili

    Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU) kikishirikiana na Baraza la Kiswahili la Taifa, Tanzania, hivi karibuni waliandaa mashindano makubwa ya kwanza kabisa na ya aina yake kufanyika hapa nchini China. Yakijulikana kama Mashindano ya SHITU ya Kuzungumza Kiswahili kwa Wanafunzi wa Vyuo...
  13. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Wachina wanaendeshaje nchi yao?

    Wachina wana endeshaje nchi yao? Hili ni swali la kujiuliza inawezekana vipi kujizuia kushiriki moja kwa moja katika migogoro mikubwa na vita za kidunia pamoja na ukubwa ilio nao hapa duniani?
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania Tech and AI battle kati ya USA na China, Makampuni Mengi ya USA yanaongozwa na wachina (Battle ni China vs Chinense diaspora) - USA vita hawezishinda

    Watu wengi hufikiri vita ya teknolojia ni kati ya USA na China… Lakini ukichunguza kwa undani, kuna vita isiyo rasmi kati ya China ndani ya china na diaspora yake Wachina walioko Marekani wanaoongoza makampuni makubwa ya AI ya Marekani. 1. Vita ya Teknolojia: USA vs China (Kiwango cha Serikali)...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Utekaji na Mauaji ya Watu Si tu Kwa sababu ya Urais wa Miaka 5, ni Kwa sababu ya Hatima ya Wachina na Waarabu !! Wanajua Samia akianguka,hawana Chao!

    Haingii akilini , Utekaji na Mauaji yaloshamiri Et uwe tu sababu ya Urais !! Hapana !!. Huyu Rais alikataliaa na Magufuli katakata, Magufuli alimkataa katakata, hakutaka hata awe Makamo wake, ni basi tu alichomekewa. Na Kwa Mapenzi ya Mungu na Ubovu wa Katiba yetu, Samia akawa Rais wa Bahati...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tazama pamoja na ubunifu wote huu wachina wanauza 200; Je kibongo tungeunda tungeuza bei gani?

    Kuna hizi pipi za watoto! Ziko ndani ya vigari vidogo pamoja na pipi yake unapata kwa tsh 200/= (mia mbili) Ukijuuliza malighafi ya kuunda hivo vigari, muda, kiwanda cha kuunda kigari, uweke matairi halafu ujeuweke pipi halafu uuze mia mbili inatafakalisha. Hapo kwa jumla huenda wanauza kwa...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Niger yaanza kuwabana Wachina, yawapa amri ya kuondoka waliolowea

    Utawala wa kijeshi wa junta wa Niger umeanza kuwabana na kuwatimua Wachina waliolewa nchini humo. Inaeleweza kuwa utawala huo umekuwa katika msuguano mkubwa na Wachina katika taifa hilo la magharibi wakiwa hawaridhishwi na jinsi Wachina wanavyoendesha miradi yao na biashara zao. Utawala huo...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.

    Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !! Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
  19. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Wachina watoka machozi ya damu-TRUMP Azuia Havard Kudahili wageni

    Wachina wanalia machozi sasa Trump mjanja sana sana sana, huyu jamaa anakupiga engo zote kama kitenesi wachina pesa ipo wanakimbilia Havard kusoma kisha wanaleta uchina Amerika, sasa mwamba kasema Wanafunzi wote wa kigeni walio Havard wahamishiwe kwingine kabla visa zao hazijaexpire na wamepewa...
  20. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ulaya Imezeeka: Tushangilie Anguko la Wakoloni Wetu Lakini Pia Tujipange kama Ndugu Zetu Wachina

    Utangulizi: Mwalimu Aliyepitwa na Wanafunzi Wake Ulaya. Bara lililowahi kuwa kitovu cha maarifa, maendeleo na utawala wa dunia. Waliwahi kuja Afrika wakiwa kama walimu, wakitutazama kama wanafunzi wasiokomaa, wakaandika historia yetu kwa kalamu zao na kutufundisha kuwa maendeleo yanakuja kwa...
Back
Top Bottom