Trump kawakalia kooni Wachina kweli kweli

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,405
Reaction score
12,707
Trump bwana kawakalia kooni kweli kweli wachina.

Inavyoonekana ana lala na kuwaota wachina kila siku, hii hapa ni baada ya China kutangaza nyongeza ya asilimia 34% kwa ushuru kwa bidhaa zote za kimarekani baada ya yeye Trump na serikali yake kutangaza ushuru kwa mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China.

Trump akaja akajibu kwa mipasho
20250405_072026.jpg

View: https://x.com/TrumpDailyPosts/status/1908149209372442740?t=dj8jA8XaJ9xka80gcKBTPA&s=19

Huyu bwana haipiti wiki bila kuwaweka mdomoni wachina yaani ni yeye na China kila siku China,China,China,China😀
 
View attachment 3293560

Atakufaa na kihoro, utawala wake utaanguka vibaya sana
 
China kwa Amerika ni kama jipu la tako.Amerika hawezi kaa kitako.
 
Kwenye kuuza na kununua, USA labda atamtikisa China kwenye bidhaa chache tu kwa kuweka hizo tarrifs kubwa otherwise China ana masoko Ulaya na hata ndani ya China ambayo ni imara tu...
 
Trump bwana kawakalia kooni kweli kweli wachina.

Inavyoonekana ana lala na kuwaota wachina kila siku, hii hapa ni baada ya China kutangaza nyongeza ya asilimia 34% kwa ushuru kwa bidhaa zote za kimarekani baada ya yeye Trump na serikali yake kutangaza ushuru kwa mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China.

Trump akaja akajibu kwa mipasho
View attachment 3293560

View: https://x.com/TrumpDailyPosts/status/1908149209372442740?t=dj8jA8XaJ9xka80gcKBTPA&s=19

Huyu bwana haipiti wiki bila kuwaweka mdomoni wachina yaani ni yeye na China kila siku China,China,China,China😀

Na naskia kawapiga marufuku wafanyakazi wa ubalozi wa Marekani huko china kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wachina, hakika anawachukia kupita kiasi na hii naamini inatokana na ukweli kuwa china ndo nchi pekee duniani iliyo tishio Kwa Marekani kwenye masuala mazima ya Uchumi wanafanya Kila liwezalo kuiporomosha lakini wapi
 
Kwa biashara na teknolojia USA ilishachelewa mnoo kupambana na China, China wana mbinu na mipango mingi mnoo ya kibiashara. Ni rahisi mnoo kwa China kuja na plan B, C, D. Ni suala la muda tu.

Wamarekani wengi wanaona Trump atawatesa zaidi kiuchumi kadri anavyoweka vikwazo vya kibiashara dhidi ya mataifa mbali mbali hususani dhidi ya China na Japan.

Kwa sasa china huko mbele zaidi kwenye AI, EV, Social media apps, phone devices, etc.
Anazalisha kwa wingi, anauza kwa bei nafuu zaidi nk.
 
Trump bwana kawakalia kooni kweli kweli wachina.

Inavyoonekana ana lala na kuwaota wachina kila siku, hii hapa ni baada ya China kutangaza nyongeza ya asilimia 34% kwa ushuru kwa bidhaa zote za kimarekani baada ya yeye Trump na serikali yake kutangaza ushuru kwa mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China.

Trump akaja akajibu kwa mipasho
View attachment 3293560

View: https://x.com/TrumpDailyPosts/status/1908149209372442740?t=dj8jA8XaJ9xka80gcKBTPA&s=19

Huyu bwana haipiti wiki bila kuwaweka mdomoni wachina yaani ni yeye na China kila siku China,China,China,China😀

Hatua anazo chukua trump ni sahihi kwa kujiandaa na dollar kutokuwa nguzo ya utajiri wa marekani...pigo la BRICS linatisha sana kwa marekani ndiyo maana wamefuta matumizi ya mashirika yao ya kihuni ya kuchafua dunia kwa njia ya kumwaga fedha hovyo ...Trump kaona mbali kuwa...... not as usual any more.
 
Trump bwana kawakalia kooni kweli kweli wachina.

Inavyoonekana ana lala na kuwaota wachina kila siku, hii hapa ni baada ya China kutangaza nyongeza ya asilimia 34% kwa ushuru kwa bidhaa zote za kimarekani baada ya yeye Trump na serikali yake kutangaza ushuru kwa mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China.

Trump akaja akajibu kwa mipasho
View attachment 3293560

View: https://x.com/TrumpDailyPosts/status/1908149209372442740?t=dj8jA8XaJ9xka80gcKBTPA&s=19

Huyu bwana haipiti wiki bila kuwaweka mdomoni wachina yaani ni yeye na China kila siku China,China,China,China😀

Effect wanaipata wamarekani wenyewe angalia masoko yanavyoshuka... angalia utajili wa matajili wao unavyoshuka. Tazama vitu vinavyopanda bei, tazama hadi mayai yalivyopanda bei hadi watu wana ya smuggle kutoka mexico kama madawa.
Shida ya tariff wanaoilipia si nchi inakotoka ni wanacnhi wenyewe ili kuwa discourage kununua bidhaa kutoka nchi hiyo.
sasa jambo la kuchekesha ni kwamba samsung anaunda simu nyingi vietnam ambapo napo wana tarrif kwa parts kutoka US, sasa samsung anachukua parts anazipeleka vietnam zitalimwa tarriff, halafu akimaliza anapeleka simu kuziuza US kwa kuwa zimeundwa vietnam zinalimwa tarrif so bei ya simu bila shaka itakwua double the price ya awali. Labda waweke exception.
Ila kwa sasa masoko ya hisa ya marekani yanaipata pata zaidi.
 
Kwa biashara na teknolojia USA ilishachelewa mnoo kupambana na China, China wana mbinu na mipango mingi mnoo ya kibiashara. Ni rahisi mnoo kwa China kuja na plan B, C, D. Ni suala la muda tu.

Wamarekani wengi wanaona Trump atawatesa zaidi kiuchumi kadri anavyoweka vikwazo vya kibiashara dhidi ya mataifa mbali mbali hususani dhidi ya China na Japan.

Kwa sasa china huko mbele zaidi kwenye AI, EV, Social media apps, phone devices, etc.
Anazalisha kwa wingi, anauza kwa bei nafuu zaidi nk.
Sasa hivi ni ngumu. China ashakuwa vizuri katika kufyatua vitu kwa bei rahisi na kwa haraka. Ai amecatch up kwa haraka, EV huko ndo kaua kabisa, marekani alikuwa bingwa wa social media platforms sasa ni wamareknai wenyewe ambao wako addicted na apps za mchina.
China is beaeting US in her own game.
 
Back
Top Bottom