wachambuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi, Watangazaji na Kocha Msaidizi wa Yanga SC Kaze hili la Yanga SC kuwa na Fatigue mlijua baada ya Kichapo cha Ihefu FC leo?

    Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie. Yanga SC ingeifunga Ihefu FC leo mngekumbuka kusema kuwa Wachezaji walikuwa na Uchovu (Fatigue) kama mnavyosema sasa kila Mkichambua, Mkitangaza na Mkihojiwa na Waandishi wa Habari? Na kama Yanga SC mlijua Mbeya ni mbali kwanini hamkuwahi kwenda huko ili pia...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa bongo hawajui tofauti ya 'defend' na 'defence'

    Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake. Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence. Defend ni verb Defence ni noun Verb ni kitendo Noun ni nomino au jina Hivyo basi defend ni kulinda Defence ni ulinzi Msikie huyu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa soka na English

    1. Aisee wale ni: Left backs sio back left Right back sio back right. Mbona hamsemi kickfree ama kickgoal? 2. Moja ya vitu sio moja ya kitu. Moja katika ya vingi. Man up
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga imewapa somo wachambuzi wetu

    Mpira hauchezwi kwenye vyombo vya habari, unachezwa uwanjani. Maneno hayachezi mpira, chuki na mahaba ya mtu havisababishi timu kushindwa au kushinda. Yanga imewafundisha watu somo hili la weledi. Sasa hivi wachambuzi wote wamenyooka kama rula, wameanza kuamini kama mpira ni sayansi, mpira ni...
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi uchwara vipi, Lomalisa bado tumepigwa?

    Mechi ya tatu mfululizo dogo anakiwasha kisawasawa, kuanzia Tunisia, kule Mwanza na leo uwanja wa taifa. Wachambuzi wa bongo Lomalisa anawavua nguo! Ushauri katika uchambuzi wenu lazima muwe mnaweka akiba ya maneno.
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Eng. Hersi tembeza mshiko kwa wachambuzi kuwapoza, hali ni tete

    Wachambuzi wamechachamaa, wanapiga spana kila wakati. Hata wale wanaokupamba na kuopamba Yanga wamewageuka. Machawa wako kimya, wamemwacha Afisa Habari analialia peke yake. Sasa nakushauri fanya kama kawaida. Watie chochote kitu kabla mambo hayajawa mazito. Usipofanya hivyo kuna hatari huko...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa mpira bongo ni lazima kuongea kiingereza ugoko?

    Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko? Badala ya kusema "Value" kwa nini wasiseme thamani? Badala ya kusema "Flanks" kwa nini wasiseme eneo la kulia...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi mnisaidie: Hii vita SMO ya Russia ukiendelea miaka miwili ijayo huku Ukraine anasaidiwa na Dunia nzima, Nini kitatokea?

    JE Russia ataishiwa silaha.? Je Pro Ukraine countries wanaweza kupenyeza majeshi yao Kwa Jina la Ukraine wakamtembezea moto Russia Hadi Kremlin. JE Russia anaweza kutumia mbinu za kikatili za US kuizima Kiev Kwa Nyuklia kama Hiroshima mchezo uishe. JE, Russia anareserve ya kutosha ya silaha...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Al Ahly mdomoni mwa wachambuzi wa bongo, watakaangwa kwa kosa hili kama la Simba

    Kila mtu anajua kwamba kwa afrika nzima hakuna nchi yenye wachambuzi wanaojua kuchambua issues mbalmbali kwa ufasaha kama wanaopatikana Tanzania Ni ma pundits haswa yametulia kwelikweli, yamesoma na yana make sense kwenye hoja zao, ikumbukwe wakati simba inaenda pre season bado llikuwa na jezi...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi maandazi hata kupostiwa CAF inawauma?!

    Shida ni pale unapotaka kuchambua kila kitu.
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyeti vya Mgunda na Nabi vimewaumbua wachambuzi na wanahabari makanjanja

    Khabari za Juma Mgunda na Nabi kuwa hawana sifa za kuwa kwenye benchi la ufundi la simba na Yanga wakati wa mechi za CAF zilisambaa kama moto wa nyika unavyosambaa haraka na kuunguza kila kitu bila huruma. Wachambuzi na wanahabari wetu uchwara waliumbuka sana safari hii baada ya Mgunda na Nabi...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi hawana tofauti na mashabiki, wote maandazi

    Hivi wabongo tunaweza wapi,maana kila sehemu ni ujinga ujinga tu. Sasa wachambuzi wamegeuka kiwanda cha uzushi
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi kwa nini wanakomaa sana na issue ya Inonga?

    Mechi ya ngao ya jamii ni kweli Inonga alicheza rafa lakini wachambuzi issue za SIMBA wanaongea na kuchonga sana. Ukiangalia DJUMA waliwah kumchezea rafu kama hiyo BM3 mechi ay Yanga Vs Simba lakini wachambuzi hawakuongea chochote. Nyie wachambuzi acheni njaaa mnakera sana
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania na Wachambuzi wa Michezo wangekuwa na Akili Kubwa kama za Shaffih Dauda ningewaheshimu mno

    Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa simu naomba tafadhali Hata mwenye picha ya Kocha Nabi akiwa na kombe naomba. Chanzo: Shaffih Dauda...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa mpira msipeleke hewani ndoto na mahaba yenu

    Uchambuzi ule wa mzee Kashsha RIP na Ally Mayai Tembele unazimgatia weledi, unafurahishisha kila mtu. Lakini baadhi ya wachambuzi wanawatia hasara wenye chombo Cha habari. Wakati huu ligi inaelekea ukingoni wakati timu zinafanya tathimini zao hata wachambuzi wa mpira na wamiliki wa vyombo vya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ukraine yalalamika Russia kutumia makombora hatari ya thermobaric rockets, wachambuzi wa silaha wa USA wasema huo ni 'ukatili'

    Ukraine inalalamika kuwa Russia inatumia silaha nzito mno, TOS-1A Thermostatic Rockets (vacuum bombs), ktk mapigano huko Donetsk. Kwa mujibu wa Marekani, silaha hizo ni special kwa kuangamiza ngome za kijeshi zilizo kwenye mahandaki chini ya ardhi na maadui waliojificha kwenye bunkers. Silaha...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa Moroco na Afrka Kusini hawajakaangia sumu teams zao?

    Yaliyotokea yanasikitisha sana, Walibya wamenyimwa penalty ila afadhali kidogo ukilinganisha na vituko vya Berkane , nasubiri kwa hamu manguli ya soka kwenye nchi hizo waanze kuzishukia teams zao kwa hasira zote maana simba hapa kuna team ilipewa escort ya pikipiki moja ikalalamika wachambuzi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde wamiliki wa vituo vya redio na luninga: Tuondolerni hao wachambuzi uchwara wa soka!

    Nitoe wito kwa wamiliki wa vituo vya redio na luninga kuwa watuondolee mbali hao wachambuzi wa soka uchwara. Kuna wachezaji kibao wa zamani ambao wangetuchambulia soka kwa kutumia weledi na Siyo ushabiki. Wapo kina Sunday Manara, Zamoyoni Mogela, Boniface Mkwasa na watu wa aina Yao waliowahi...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Michezo katika Redio na Tv pamoja na Wachambuzi acheni 'Kutudanganya' kuhusu Yanga SC na huu sasa ndiyo Ukweli...

    Siku chache tu zijazo Yanga SC inatimiza mwaka Mmoja tu (ila siyo Msimu) wa Kucheza Ligi Kuu bila ya Kufungwa. Tayari kuna baadhi ya Watangazaji wa Michezo wa Redio na Television bila kuwasahau na Wachambuzi wa Michezo ambao pembeni yao Wakidanganywa taratibu na Afisa Habari wa Yanga SC...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watangazaji, Wachambuzi na Waandishi wa Hab mnarudia Kosa lile lile ambao litaigharimu Simba SC ikikutana na Orlando Pirates FC

    Kama kawaida yenu ili muaminike Kinafiki, mpewe Vipesa vya hapa na pale na muhaidiwe kuwemo katika 'Trip' ya South Africa mmeshaanza sasa katika Redio zenu, Mitandao yenu na Magazetini Kwenu Kuisifia ( Kuipamba ) Simba SC na Kuwadharau Wapinzani wao akina Orlando Pirates FC ya Afrika Kusini...
Back
Top Bottom