GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,877
Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie. Yanga SC ingeifunga Ihefu FC leo mngekumbuka kusema kuwa Wachezaji walikuwa na Uchovu (Fatigue) kama mnavyosema sasa kila Mkichambua, Mkitangaza na Mkihojiwa na Waandishi wa Habari?
Na kama Yanga SC mlijua Mbeya ni mbali kwanini hamkuwahi kwenda huko ili pia muwahi kuweka Kambi Mbarali mlikochezea hii Mechi yenu?
Hivi Safari ya kutoka Mbeya Mjini kwenda Mbarali Kisayansj na hata Kiafya inaweza Kusababisha Uchovu (Fatigue) kama msemavyo?
Ihefu FC 2 na Yanga SC 1. Imeisha hiyo na msipokuwa makini na Kutulia mnaweza kufanya vibaya Mechi zenu zijazo kwani siyo Siri tena baada ya Kichapo hiki cha leo kutoka kwa Ihefu FC tayari imeshaharibu kwa 99% Saikolojia za Wachezaji wenu na Benchi lenu la Ufundi (hasa Kocha Mkuu wenu Nabi)