Wachambuzi wa mpira msipeleke hewani ndoto na mahaba yenu

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,305
12,600
Uchambuzi ule wa mzee Kashsha RIP na Ally Mayai Tembele unazimgatia weledi, unafurahishisha kila mtu. Lakini baadhi ya wachambuzi wanawatia hasara wenye chombo Cha habari. Wakati huu ligi inaelekea ukingoni wakati timu zinafanya tathimini zao hata wachambuzi wa mpira na wamiliki wa vyombo vya habari wafanye tathimini pia kujiandaa na msimu mwingine.

Tenganisha kati ya kazi na ushabiki wako wa timu kwenye chombo cha habari cha mtu. SEMA ukweli wote usiseme utabiri na ndoto zako kwenda kwa wasikilizaji kwasababu tu unayo fursa ya kwenda hewani.

Kuna magazeti na radio ambazo hata iweje sisomi Wala kusikiliza uchambuzi wao. Wao wanakaa upande wa kushoto mwa barabara litoke jua inyeshe mvua. Waoneeni huruma wenye vyombo vyao vya hanari.

Mfano, mchambuzi anaposema Eng. Hersi hafai kuwa kiongozi wa Yanga, ametumia kigezo gani? ana uhakika gani hataweza? je, wale wanamuona anaweza anajua wako wangapi na ni akina nani? Je, hajui Hersi amefanya nini huko Yanga kwa maslahi ya Yanga?
 
BIN Kazumari kuendeleza ligi na Haji Manara ataendelea kuburuzwa Kila siku na kuonekana kituko kwenye jamii.
Manara kwenye mambo ya kipuuzi na Majungu ni mmbobevu Sasa Kazumari Hana uzoefu Wala weledi katika eneo Ilo.

Tutegemee Kazumari kuendelea kuaibika kwakua ameamua kupambana na mtu ambaye silaha yake kubwa ni kuchafuana na hakuna jinsi lazima achafuke.

Mtu pekee aliyekua ana mmudu Haji ni Jery Mulo Sasa Bin Kazumari anatakiwa apitie zile video za Jery Mulo aone Kama ataweza kuvaa viatu vile vya Jery wakati aki mu attack Manara Kama ataweza.
Kamwe huwezi kuwa mstaarabu alafu upambane na Haji Manara, atakushinda tu.

Sio kama baadhi ya waandishi awa muwezi Manara ila Wana angalia aina ya mpinzani na uwezo wake katika upuuzi na kuamua kuachana naye.
 
Bin kazumari ndy nani
 
Haji Manara ili umshinde ni lazima uwe mweledi katika kila kitu unachokiongea ila ukitaka vita ya kipumbavu,majungu,kusengenya na Nongwa basi Haji Manara atakupiga Bao
 
"Katika kundi la Watanzania lipo zezeta moja (Jemedari Saidi) eti linataka tumthibitishie yeye kuhusu usajili wetu"

"Hivi yeye ni nani nchi hii ? Ana uhalali gani special ? Ana historia gani na football ya nchi hii ?, kasomea wapi huo uchambuzi au uandishi ?!"

"Anajua hata ndege kubwa ndani zinafananaje, hata passport anayo hadi tumthibitishie mambo ya kimataifa kwake ? Kashawahi kudeal na mchezaji gani wa kigeni ?!

"Jana tu yeye na wenzie huku wamesimama dede studio, walikuwa wanalalamika eti mimi namgombanisha na Wanayanga kwa kuchochea chuki,, Na akatuma makala kibao za mazuzu wenzie kuonesha mimi namuonea"

"Mtu ambaye ashawahi kupost Instagram kwamba alianza kupiga nyeto toka utotoni,, leo aje kutueleza sisi kuhusu maadili ? Nyie 🤪"

"Kiufupi Yanga haina muda wa kumprove mtu wa mtaani,, Zuzu aliyefluk kupata nafasi ya kutukana watu studio,, Inajenga klabu yake kwa maendeleo yake yenyewe, na inajua taratibu za kimkataba na matakwa yake"

"Mtu huyuhuyu ndiye alisema Djuma Shabani hawezi kucheza Yanga SC, jana kaleta uzwazwa mwingine. Katika kipindi cha mwaka mzima, ameandika makala zaidi ya mia negative kuhusu Yanga na viongozi wake, lipi litushangaze leo ?! Uzuri wake zote tunazo tunaendelea kumdekshia tu"

🔍 Haji Manara
 
"Katika kundi la Watanzania lipo zezeta moja (Jemedari Saidi) eti linataka tumthibitishie yeye kuhusu usajili wetu"

"Hivi yeye ni nani nchi hii ? Ana uhalali gani special ? Ana historia gani na football ya nchi hii ?, kasomea wapi huo uchambuzi au uandishi ?!"

"Anajua hata ndege kubwa ndani zinafananaje, hata passport anayo hadi tumthibitishie mambo ya kimataifa kwake ? Kashawahi kudeal na mchezaji gani wa kigeni ?!

"Jana tu yeye na wenzie huku wamesimama dede studio, walikuwa wanalalamika eti mimi namgombanisha na Wanayanga kwa kuchochea chuki,, Na akatuma makala kibao za mazuzu wenzie kuonesha mimi namuonea"

"Mtu ambaye ashawahi kupost Instagram kwamba alianza kupiga nyeto toka utotoni,, leo aje kutueleza sisi kuhusu maadili ? Nyie "

Haji Manara
Manara a.k.a Domokunuka
 
Ila yataka moyo kubishana na mtu aliyefumuliwa marinda ili asaidiwe kupata udiwani, yaani huyo hajali kitu chochote,kitendo cha kuingiliwa na mwanaume mwenzako ni ishara kuwa wewe umejitoa ufahamu
Hilo ndiyo semaji roporopo lilivyotatuliwa marinda na Mzee Tozi wa bandarini
 
BIN Kazumari kuendeleza ligi na Haji Manara ataendelea kuburuzwa Kila siku na kuonekana kituko kwenye jamii.
Manara kwenye mambo ya kipuuzi na Majungu ni mmbobevu Sasa Kazumari Hana uzoefu Wala weledi katika eneo Ilo.

Tutegemee Kazumari kuendelea kuaibika kwakua ameamua kupambana na mtu ambaye silaha yake kubwa ni kuchafuana na hakuna jinsi lazima achafuke.

Mtu pekee aliyekua ana mmudu Haji ni Jery Mulo Sasa Bin Kazumari anatakiwa apitie zile video za Jery Mulo aone Kama ataweza kuvaa viatu vile vya Jery wakati aki mu attack Manara Kama ataweza.
Kamwe huwezi kuwa mstaarabu alafu upambane na Haji Manara, atakushinda tu.

Sio kama baadhi ya waandishi awa muwezi Manara ila Wana angalia aina ya mpinzani na uwezo wake katika upuuzi na kuamua kuachana naye.
Siku hizi amekuwa KUBWA JINGA!
 
Manara ni mwepesi Sana Tena mtu wa kupanic ,shida anajificha kwenye ulemavu wa ngozi.
Watu wanammudu sana Tena Sana shida watu wanaamua kukaa kimya wanahofia wasijeteleza.

Mfano waandishi wa Bahar wanafokea hadharan na manara alafu hawasemi kitu na kibaya Zaid waandishi wa habar wanachekana pale mmoja wao anapokua anakalipiwa na manara.

Kupitia matendo ya manara nimejikuta natamani Sana kusomea fani ya uandishi wa habar .
Huwez nifokea km mtoto alafu nikuache hivi hivi ,yule bwana ni kumpa vidonge vya papo kwa papo na uzur anapanic haraka , bahat mbaya sijui uoga anawatukana na hawamjibu chochote .

Ila niamini Mimi IPO siku manara atajichanganya tu kwa mwandishi mtata na matokeo yatakua ni kutaka huruma kw ajamii na jamii itampuza na kuungana na huyo mwandishi ,huo ndio utakua mwisho wa haji kufokea wandish na lazima atakua na adabu tu.
 
What comes around, Goes around
 
Nyie kwenye uzi huu nendeni mkapigie kura timu yenu acheni majungu,visebu sebu na viroho papo kwenye mitandao.
 
BIN Kazumari kuendeleza ligi na Haji Manara ataendelea kuburuzwa Kila siku na kuonekana kituko kwenye jamii.
Manara kwenye mambo ya kipuuzi na Majungu ni mmbobevu Sasa Kazumari Hana uzoefu Wala weledi katika eneo Ilo.

Tutegemee Kazumari kuendelea kuaibika kwakua ameamua kupambana na mtu ambaye silaha yake kubwa ni kuchafuana na hakuna jinsi lazima achafuke.

Mtu pekee aliyekua ana mmudu Haji ni Jery Mulo Sasa Bin Kazumari anatakiwa apitie zile video za Jery Mulo aone Kama ataweza kuvaa viatu vile vya Jery wakati aki mu attack Manara Kama ataweza.
Kamwe huwezi kuwa mstaarabu alafu upambane na Haji Manara, atakushinda tu.

Sio kama baadhi ya waandishi awa muwezi Manara ila Wana angalia aina ya mpinzani na uwezo wake katika upuuzi na kuamua kuachana naye.
Kumudu kuchegama na Haji manara lazima kwanza uwe mzaramo aliyekulia na kuzeekea pale Kariakoo, sio vingunguti wala Kwamtogole. Afadhali kidooogo Mzaramo aliyekulia pale Buguruni Malapa au Magomeni. Kama sio hivyo achana kabisa kubishana na Haji. Hata Jerry Muro alikuwa anamnudu haji kwakua timu ya Yanga ilikuwa ikifinya vizuri misimu ile ya kampa kampa tena ya Manji, la sivyo nae asingefua dafu.
 
"Katika kundi la Watanzania lipo zezeta moja (Jemedari Saidi) eti linataka tumthibitishie yeye kuhusu usajili wetu"

"Hivi yeye ni nani nchi hii ? Ana uhalali gani special ? Ana historia gani na football ya nchi hii ?, kasomea wapi huo uchambuzi au uandishi ?!"

"Anajua hata ndege kubwa ndani zinafananaje, hata passport anayo hadi tumthibitishie mambo ya kimataifa kwake ? Kashawahi kudeal na mchezaji gani wa kigeni ?!

"Jana tu yeye na wenzie huku wamesimama dede studio, walikuwa wanalalamika eti mimi namgombanisha na Wanayanga kwa kuchochea chuki,, Na akatuma makala kibao za mazuzu wenzie kuonesha mimi namuonea"

"Mtu ambaye ashawahi kupost Instagram kwamba alianza kupiga nyeto toka utotoni,, leo aje kutueleza sisi kuhusu maadili ? Nyie "

"Kiufupi Yanga haina muda wa kumprove mtu wa mtaani,, Zuzu aliyefluk kupata nafasi ya kutukana watu studio,, Inajenga klabu yake kwa maendeleo yake yenyewe, na inajua taratibu za kimkataba na matakwa yake"

"Mtu huyuhuyu ndiye alisema Djuma Shabani hawezi kucheza Yanga SC, jana kaleta uzwazwa mwingine. Katika kipindi cha mwaka mzima, ameandika makala zaidi ya mia negative kuhusu Yanga na viongozi wake, lipi litushangaze leo ?! Uzuri wake zote tunazo tunaendelea kumdekshia tu"

Haji Manara
Kwamba jamaa ni mpiga punyeto kumbe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba jamaa ni mpiga punyeto kumbe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga na Simba wanataka matokeo uwanjani, sio uzoefu wa mtu. Simba walimkubali Mo kuwa kiongozi na mwekezaji haraka bila mashariti wala kutafakari wala kujadili kwakua wakati ule Simba ilikuwa haifanyi vizuri dhidi ya Yanga ya manji kwa miaka 3 mfululizo. HIvyohivyo Yanga itamkubali Eng. Hersi kuwa kiongozi bila kutafakari sana kutokana na mafanikio ya Yanga msimu huu dhidi ya Simba. Na kila mtu anafahamu nini Hersi na GSM walifanya katika mafanikio haya ya Yanga. Kama kuna kidume feki mahala fulani kinataka kuoga matusi na kejeli kutoka kwa wana Yanga wote ajitokeze na kusema Hersi hafai kuwa Rais. Mtu huyo atakuwa hana akili ya kusoma muelekeo wa upepo wa kusi, hivyo hafai hata kuiongoza familia yake.
 
Team hii ni yq wananchi kwa nini ichukuliwe na watu wachache? Haikubaliki uhuni huu
 
Back
Top Bottom