wachambuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma"

    Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma" Fausty Mkandila, wakala wa Fabrice Ngoma. Maoni yangu : hili linawezekana kwa asilimia mia kama waliweza kumlipa Mgana Mickyjnr ili amchafue Azizi ki watashindwa hili?! Aziz ki sahivi Yupo moto anauwasha Kila kukicha Huyo...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi tofautisheni kati ya DEBORA na DEBRA, msichafue majina ya watu.

    Kwani kuna shida gani katika kutamka DEBORA na DEBRA? Mchezaji wa Simba, Fenandez anaitwa Debora au Debra? Tamkeni inavyotakiwa majina ya watu, hizo nyingine ni shida zenu.
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi Clouds Radio na E-FM wasema hakuna haja ya kumrejesha Manara, Kamwe anaendana na Gen- Z, sura yake ilifanya watoto katika idara waogope

    Hizi ni kauli za manguli wa uchambuzi wa taifa hili, kwamba pale Yanga tayari vijana wa umri mdogo walishajipata, na wanaendesha idara kwa weledi wa dunia ya mbele. Idara imejaa Generation Z ambao wamefanikiwa kuondoa kizazi cha wasema hovyo katika mpira, na usemaji sasa ni proffession kamili...
  4. Decree Holder

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Vilabu vya Soka Tanzania fanyeni wajibu wenu, msilaumu wachambuzi

    Mawakili wa Club za mpira tekelezeni wajibu wenu badala ya kulaumu wachambuzi na wachezaji Na Wakili Zawadi Lupelo Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na makala fupi ya Mwanasheria wa Club ya Yanga Wakili Simon Patrick akiwalaumu wachambuzi walioshabikia sakata la Feitoto kuvunja...
  5. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Hivi wachambuzi wa bongo huwa mnawaelewa kweli?

    Hope nyote wazima, wa afya tele! Kuna wachambuzi hapa bongo huwa siwaelewi linapokuja suala la mpira, je! Ni mimi tu! Hapo nyuma kulikua na mechi za ku Qualify kombe la dunia, na mashindano mengine, na nadhani wengi wenu mliangalia mechi hizo, ila baada ya mechi kuisha sijaona timu kubwa kama...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tumejiandaaje kuwasikiliza Leo Wachambuzi Uchwara wa Uchumi ambao baada ya Bajeti Kusomwa watahojiwa na wataisifia ili Teuzi zijazo Chura awakumbuke?

    Wachambuzi pekee wa Uchumi ambao niliwakubali na nitawakubali ni Mzee Lipumba, Marehemu Ngowi na aliyekuwa Mwalimu ( Mhadhiri ) wangu wa Somo la Uchumi Chuoni SAUT Mwanza Luzangi, ila wengine Wote kamwe sitopoteza muda Wangu kuwasikiliza kuanzia na Mchumi Mpuuzi Mmoja wa Saa 11 Jioni ya Leo...
  7. striker mandingo

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?

    Nimepata kuwasikia baadhi wa mashabiki wengi wa timu tofauti tofauti wengine wakiwa miongoni mwa mashabiki wa Simba wengine nje ya Simba na baadhi ya wachambuzi wkisema TFF haopo sahihi kwenye uwamuzi wa kuipeleka mechi ya Simba na KMC kuchezwa Arusha kutokana na muda wa utoaji taarifa. Je, kuna...
  8. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mashabiki na Wachambuzi wote wanaamini kua hizi team haziwez kua bora kwa wakati mmoja?

    Habari mwanajukwaa la michezo, Leo katika tafakuri zangu nimewaza kitu ambacho kwa asilimia kubwa ukikifatilia kinaongelewa sana kama sio sasa basi hata hapo nyuma kilikua kinasemwa sana. Kwa saiv No ubishi Yanga ana enjoy sana yupo kwatika Level ya peke ake kabisa, ambayo wamekua wakiitamani...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi hawa kujiita wachambuzi wa Muziki?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu hasa wale wapenzi wa zamani wa muziki wa dansi kujiita wachambuzi wa muziki hadi kufikia kuwashawishi wamiliki au viongozi wa Redio hasa zile za binafsi kuwaajiri wakiamini watakuwa kivutio na ushawishi kwa wasikilizaji. Lakini kiuhalisia hawa watu hawana ujuzi...
  10. Heparin

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wanasemaje kuhusu ziara ya Rais Ramaphosa nchini Rwanda

    Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanaamini kuwa, ziara ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa nchini Rwanda kwa ajili ya kuadhimisha miaka 30 ya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi, inaweza kuwa njia ya kukabiliana na uhusiano kati ya nchi hizo mbili na kutafuta suluhu la tatizo hilo alikuja...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Media, Waziri na Wachambuzi wa Michezo kutoa maamuzi Goli la Yanga bila kujiridhisha

    Mpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani . Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini ukiangalia kutoka juu ukawa bado haujavuka wote . Na kwa maana rahisi ni kwamba VAR pia haiwezi kuwa...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi watoa picha kuonesha Israel imeshindwa vita

    Baadhi ya nukta walizotoa wachambuzi hao ni kuwa wakati Israel inadai imewaua Hamas wengi sana lakini viongozi wakuu wa kundi hilo ama wako nje au wako chini ya mahandaki na hawajawapata. Pia Israel imeshatangaza mara kadhaa kuwa imeyadhibiti maeneo ya kaskazini na kati ya Gaza,lakini bado kila...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wetu wanachumbua dereva wa bodaboda apigwe na dereva wa fuso

    Nimeshuhudia dereva wa lori akichomolewa na kupigwa na dereva wa bodaboda baada ya dereva wa lori kumsukumia mtaroni dereva wa bodaboda. Sio kwamba timu ikiwekeza sana lazima mara zote iifunge timu yenye uwekezaji mdogo. Wachambuzi wetu wanazilazimisha Al-Ahly na Mamelodi izifunge Simba na...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Manara apinga Wachambuzi kupewa Mafunzo

    Haji Manara amekuwa Mtanzania wa kwanza kuongea mbele ya umma na kuonyesha kutofurahishwa na suala la Wachambuzi wa michezo kupewa mafunzo na kusomea fani hiyo. Ameandika Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram, "Hivi hii nchi tumerogwa na nani? Yaani tuache kushughulikia Vipaumbele vya...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vya Redio na Wachambuzi leo utaamini kuwa Congo DR anakufa huko Ivory Coast

    Na kuna mahala nimemuona Mtetemaji wa Kihistoria kamuomba Mwalimu amuanzishe ili amalize Kazi mapema kwani anamjua vyema Aishi na Beno. Kazi ipo leo nyie Jidanganyeni tu Ok?
  16. vibertz

    JamiiForums Tanzania Maneno mengi kwa wanaojifanya wachambuzi, lengo ni kuivuruga Yanga

    Nimeona watu humu jukwaani, na mitandao mengine kumlaumu kocha wa Yanga kutofanya rotation. Mshabiki wa Yanga mwenye akili timamu hawezi kulilia kocha afanye rotation kwenye mechi ngumu tena ni za klabu bingwa. Mechi ngumu huchezwa na wachezaji wanaoaminika na kocha, lakini watu wanajifanya...
  17. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kuna wachambuzi wamemisi Onyango aisee

    Hii apa.... Je na wewe umemiss nusu chuma nusu mtu?
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi msimwingilie kocha uchaguzi wa kikosi

    Tanzania haijacheza finali za AFCON kwa miaka mingi kutokana na sababu nyingi sana. Mojawapo ya sababu hizo ni makocha wa timu ya taifa kushinikizwa uteuzi wa wachezaji. Leo nilimsikia mchambuzi uchwara akihoji ni kwanini mchezaji fulani hakujumuishwa kwenye timu ya taifa iliyocheza na Sudan...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

    Swali # 1. Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
Back
Top Bottom