wachambuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watangazaji na Wachambuzi wa Habari za Michezo wa 'hovyo hovyo' huenda wakawa wanapatikana Tanzania tu pekee

    Yaani tukio la Bernard Morrison Kuvua Bukta yake, kubakia na Chupi ya Njano huku Bukta akiiweka Kichwani mwake linajadiliwa kwa dakika 120 ila tukio la Tonombe Mukoko la Kumpiga Kiwiko kibaya John Boko ambacho kingeweza Kumjeruhi vibaya kwa Kumvunja Pua au Kumng'oa Meno yake au hata...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba za wachambuzi wa muziki naomba msaada

    Habari wakuu, Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena. Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi wengine naomba anitumie hapa au PM au kwenye 0776655978
  3. Leak

    JamiiForums Tanzania Kwanini waandishi na wachambuzi wa michezo wanamuogopa Haji Manara?

    Habari. Hivi karibuni waandishi na wachambuzi wa soka wamekuwa wakimuogopa sana Haji Manara jambo ambalo nilikuwa naliona kwa mbali sana lakini kwa sasa limekuwa kubwa sana kiasi kwamba wachambuzi hawawezi tena kusema kwa uwazi madhaifu ya simba bila kupamba pamba na kupongeza kwanza kuogopa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya Wachambuzi tulionao tunawahitaji kina Haji Manara wengi

    Naanza kwa kusema 'BIG UP' kwa Manara kwa kueleza waziwazi bila woga kitendo kibaya mno kilichofanywa na Yanga, kukimbia mechi bila kujali umati ule uliojazana pale kwa kivuli cha kanuni. La pili ambalo nalo linastahili pongezi ni kuonesha uzandiki kwa wanaojiita Wachambuzi...kwa kutetea na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini nakubaliana na Msemaji wa Simba kuwaita baadhi ya Wachambuzi wa Mpira na Watangazaji wa Michezo Takataka?

    1. Wengi wao wako katika 'payrol' ya Yanga. 2. Wengi wao ni Wanafiki sana. 3. Wengi wao wana Chuki na Simba. 4. Wengi wao wana Wivu na Mafanikio ya Simba. 5. Wengi wao wana Upendeleo katika Uchambuzi. 6. Wengi wao wanatumika Kuichafua Simba. 7. Wengi wao wana Husuda binafsi na Mwekezaji Mo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wapiga ramli na wachambuzi uchwara, mbona siwaoni mkiitisha Simba?

    Tumewazoea kwa ramli zenu dhidi ya mnyama na uchambuzi uchwara ambao hatuusilkii sana sasa hivi ya kuwa simba ni wazee. Badala yake mmeanza kampeni ya kuililia Simba iwape mikataba minono hao hao mliokuwa mnawaita wazee. Najua mmekula mlungura kutoka upande wa pili ili mcheze mind game against...
Back
Top Bottom