Hujasikia watangazaji wanaita mabeki wa pembeni back Right na back leftHujaelewaka mkuu fafanua zaidi
Anazungumzia jinsi wachambuzi wanavyokosea kwenye matamshi wakati wakichambua soka kiufundiHujaelewaka mkuu fafanua zaidi
Hapo kwa lugha ya kiingereza wanakua wanavunja kanuni gani?Hujasikia watangazaji wanaita mabeki wa pembeni back Right na back left
Kanjanja hao.1. Aisee wale ni:
Left backs sio back left
Right back sio back right.
Mbona hamsemi kickfree ama kickgoal?
2. Moja ya vitu sio moja ya kitu. Moja katika ya vingi.
Man up