Chadema wamesema hawatashiriki uchaguzi wa 2025 katu bila katiba mpya, na hakuna tume huru itakayopatiokana bila katiba mpya
Utabiri wangu ni 2025 hakuna katiba mpya itakayokuwepo, na hii tume ya sasa pengine itarekebishwa kidogo, ila haitakuwa na uhuru, lakini Chadema watabadilisha gia angani...
Yule refa aliyechezesha mechi ya RS Berkane vs simba jijini DSM aitwaye Joseph Nadala wa Congo amekuwa miongoni mwa marefa nane kutoka Afrika watakaochezesha Kombe la Dunia.
Ni habari mbaya kwa makanjanja yaliyoskitishwa na ushindi wa Simba kwa kudai goli la sakho lilikuwa offside
Pia...
Waziri Mkuu akiongea katika kikao cha maafisa Utamaduni na maafisa michezo Jijini Dodoma, alishangaa kwa nini Tanzania haina kocha hata mmoja anayefundisha nje ya nchi, hata Burundi au Rwanda lakini yenyewe ikiwa inachukua makocha wa kigeni kutoka nchi hizo.
Kinachoshangaza zaidi ni Tanzania...
Pongezi sana kwa club ya simba kwa kukataa kutoa bahasha za khaki kwa haya MACHAMBUZI FEKI yenye njaa hadi kwenye unyayo..akili zao ni kisoda sana ....
Najaribu kupata picha kwamba Mo Dewji ndiye ana kesi ya kiwanja na Daud Bashite sijui ingekuwaje huko Ukanjanjani, redio zingewaka moto kipindi...
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila kwa Upuuzi wenu huu wa Kuchambua Kiuwoga au Kimahaba au kwa Bahasha Kunawaharibia na wenye Akili, tusio Wanafiki na wapenda Haki sasa tutaanza Kuwadharau na hata Kutosikiliza hivyo Vipindi vyenu vya Michezo vya Redio.
Halafu nyie Wachambuzi wa Michezo katika...
Hawa wachambuzi uchwara wa soka wa bongo wanakera sana! Wanaongozwa na unazi/ushabiki badala ya weledi wa soka. Mtu hujawahi kucheza soka kabisa hata ngazi ya daraja la tatu utawezaje kuchambua soka!! Ni Tembele tu ambaye akichambua soka unaona **** weledi ndani yake!! Mliobaki oneni AIBU...
Mnafahamu kuwa kwa Sasa mgogoro baina ya Ukraine na Urusi ,unaonekana kuwa Kati ya Urusi na Marekani? Yaani sasa hivi ni majibizano kati ya Joe Biden na Vladimir Putin?
Kwanini Marekani kashikia bango mgogoro huu?
Kwanini Urusi anashauri NATO isiiunge Ukraine? Lakini kwa Nini Marekani...
Mara baada ya kumaliza mchezo kati ya Simba v/s Mbeya City, wachambuzi wa Azam Media walubainisha hii nukta, pamoja na mambo mengine ya kitaalamu lakini hili walilibainisha.
Kwamba benchi la SSC kuna shida, hasa yanapofanyika mabadiliko ya mchezaji ni kama kuna kutoelewana. Mifano ya kwenye...
Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa.
Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie...
Nimeshangazwa na Tanzania kutokupata mwanahabari wa kupiga kura za ballon dorr,wanahabari wa Tanzania (wachambuzi) wamekwama wapi kupiga kura za kumchagua mchezaji bora dunia tuzo za ballon d orr au wenyewe wanachokijua ni kutengeneza mijadala kupitia vipaza sauti vyao
Tanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha alikosea wapi na kama angetumia mbinu Fulani angepata matokeo chanya. Naamini kwa pamoja wakiunganisha...
Iwapo Kamati ya Maamuzi Ingekaa mara tu baada Ya Dk 90 za mtanange Wa Simba na Geita, huyu Refarii Uwezekano mkubwa Asingepona kufungiwa. Martin Saanya Sasa ni Kama amesafishwa na Upepo umebadilika.
Kwamba alitoa maamuzi sahihi. Faulo ya Geita halali.!
Japo Wachambuzi wengi Wanaitwa Wachambuzi...
Walichokuwa wakisema Wiki Moja kabla ya Kucheza na Congo DR leo na kupokea Kichapo cha Kishalubela ( Kikatili ) ni.....
"Congo DR ya sasa si lolote na chochote kwani Wachezaji wao wengi tunawajua na tunao hapa Tanzania. Congo DR watakufa kwa Mkapa na Kipigo Kwao hakikwepeki kwani kwa sasa...
Kuongezeka kwa kadi nyekundu katika raundi tano za mwanzo wa ligi ni jambo la kusikitisha. Hali hii imekuwepo kwa sababu inachochewa sana na vyombo vya habari.
Katika hali isiyo ya kawaida, mwaka jana, timu ya prisons walikuwa wakiruka mithili wanacheza kung-fu hasa walipokutana na Simba.Hali...
Ali Mayai na wenzanke wanavaa suti zimewabana na zinaonyesha kushonwa na mafundi ambao hawana viwango kabisa.
Azam Tv wanapata pesa nyingi kupitia matangazo ya soka. Kwa nini wasiwanunukie wachambuzi suti za ukweli?
Kama Yanga SC ingeshinda leo dhidi ya Zanaco FC Kesho Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo walipanga kusema yafuatayo....
"Hakika Yanga SC hii ndiyo yenyewe na hata hao Simba SC na Azam FC hata ikiwezekana na Al Ahly FC walipange kwani kwa Usajili huu mwaka huu Yanga SC inabeba Vikombe vyote...
Wachambuzi hao wanasema kwa sasa ni kama wanadhalilishwa sana. Kila wanapoenda kupost Insta kuwa Mchezaji X anasajiliwa Simba wanakuja kukuta siye.
Hata wanaposema kuwa Simba itamtangaza mchezaji B wanakuta anakuja tangazwa mchezaji A. Jambo hili wanaona ni kama kudhalilishwa sababu wao tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.