GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,385
- 108,455
Siku chache tu zijazo Yanga SC inatimiza mwaka Mmoja tu (ila siyo Msimu) wa Kucheza Ligi Kuu bila ya Kufungwa.
Tayari kuna baadhi ya Watangazaji wa Michezo wa Redio na Television bila kuwasahau na Wachambuzi wa Michezo ambao pembeni yao Wakidanganywa taratibu na Afisa Habari wa Yanga SC (Comrade wangu) katika Fani ya Habari na Mawasiliano Hassan Bumbuli kuwa Yanga SC ndiyo Timu pekee iliyotimiza Mwaka Mmoja (Siku zote 365) bila ya Kufungwa na kwamba pia ndiyo Timu ambayo inaelekea ( japo bado ) kuuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC bila Kufungwa Mechi hata Moja.
Haya nami GENTAMYCINE nawawekeni sawa kuwa Tanzania nzima ni Timu Moja tu ambayo ndiyo imeweka na inashikilia hadi Leo hii kuweka Rekodi ya Kucheza Ligi Kuu (tena kwa Misimu Miwili) bila Kufungwa ambapo ilifanya hivyo mwaka 2004 ikiwa chini ya Kocha Mkenya Marehemu Aggrey Siang'a na mwaka 2008 chini ya Kocha Mzambia Patrick Phiri.
Haya endeleeni Kuwadanganya Wadau.