Kwanini Mashabiki na Wachambuzi wote wanaamini kua hizi team haziwez kua bora kwa wakati mmoja?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,760
3,322
Habari mwanajukwaa la michezo,

Leo katika tafakuri zangu nimewaza kitu ambacho kwa asilimia kubwa ukikifatilia kinaongelewa sana kama sio sasa basi hata hapo nyuma kilikua kinasemwa sana.

Kwa saiv No ubishi Yanga ana enjoy sana yupo kwatika Level ya peke ake kabisa, ambayo wamekua wakiitamani kwa mda mrefu mashabiki pamoja na viongozi...Ila upande wa pili hawapo vizur ukiwauliza au ukikaa na wachambuzi ukawauliza wanakwambia hizi Team hua zinapokezana wacha saiv Yanga atambe ila Simba nae utafika wakat wake na Yanga atakua Chini.

Kama naongopa waje watu hapa waniambie kua nimesema kauli ya uongo.

Najiuliza hivi ni kwanini wawe na kauli hii? hivi hizi team haziwez kua bora kwa wakat mmoja yani Simba ya Moto na Yanga ya Moto?
Kwanini Ili simba A-Shine why lazima Yanga Awe chini hamuwez kushine pamoja?..au Why ili Yanga A-shine lazima Simba awe down?

Why Between The Dowfall of One Team, Another Team is Rising? In sound of T.I.D😂😂
 
Why Between The Dowfall of One Team, Another Team is Rising? In sound of T.I.D
Hata wewe mwenyew unajua hivyo na unaamini hivyo ila Sasa Mimi kufatilia mpira nimeanza miaka ya 2003

Kwa mtazamo wangu natunguliza kusema Kwa mtazamo wangu Ili watu wasiniquote vibaya ni mtazamo wangu na watu wengne pia Wana mitazamo Yao Kuna sehem nitakosea ruksa kurekebisha tangu naanza kuangalia mpira Ili mmoja abebe ubingwa lazima mpinzani wake awe dhaifu

1. Mpira wa bongo una siasa Sana yaani Kuna siasa za Mpira ndo zina nguvu kuliko mpira wenyew

2.viongozi wa kisiasa kuingilia mpira au ushabiki hili pia ni tatzo

Nb aangalia timu inayokuwa kwenye form au class nyie mnaita hata matukio ya kubwa na marefa yanavyokuwa mengi unadhani ni Kwa bahati mbaya??
 
Epl pale misimu Mingi tu team mbili zimekua katika class kwa pamoja ila zinakuja kutofautiana kidogo sana makosa madogo madogo ila Bongo sio kwa namna hio Mkuu.
 
Mbona ni rahisi sana? Bingwa anakuwa mmoja tu na ambaye atahesebika kuwa ni bora! Hatuwezi kuwa na washindi wawili labda wapokezane miaka ya kuchukua kombe!
Lazima Bingwa awe Mmoja no matter uzur gani ila hoja Yangu ni Ubora.

Spain
Germany
England
Tumeshuhudia misimu Mingi tu Team mbili za moto sana na zinachuana sana ila inaenda inatokea mess up tu kidogo mbelen mtu anakua Bingwa sio kwa mfumo wa huku Bongo had watu wananyosheana mikono.
 
Pale spain ni lini barca na madrid wanakua sawa???
Msimu we 2016/2017

Position
1.Madrid Points 93
2.Barca points 90

Magoli ya Kufunga
Madrid=106
Barcelona=116

Magoli ya kufungwa
Madrid=41
Barcelona=37

Top score
Messi=37
Suarez=29
Ronaldo=25

ASSIST
Suarez=13
Neymar=10
Messi=10

#Vipi Ligi gani tena?
 
Msimu we 2016/2017

Position
1.Madrid Points 93
2.Barca points 90

Magoli ya Kufunga
Madrid=106
Barcelona=116

Magoli ya kufungwa
Madrid=41
Barcelona=37

Top score
Messi=37
Suarez=29
Ronaldo=25

ASSIST
Suarez=13
Neymar=10
Messi=10

#Vipi Ligi gani tena?
Huo msimu mmoja tu
 
Back
Top Bottom