Manara apinga Wachambuzi kupewa Mafunzo

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Haji Manara amekuwa Mtanzania wa kwanza kuongea mbele ya umma na kuonyesha kutofurahishwa na suala la Wachambuzi wa michezo kupewa mafunzo na kusomea fani hiyo.

Ameandika Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram,

"Hivi hii nchi tumerogwa na nani? Yaani tuache kushughulikia Vipaumbele vya maana kama kukarabati Viwanja vyetu vibovu, kutengeneza Viwanja vya mazoezi, kutengeneza misingi ya Watoto wetu na kusaka vipaji, tunataka kupeleka pesa kwa ajili ya mafunzo eti kwa 'Wachambuzi'.

Nchi gani duniani mshawahi kusikia inawekeza pesa zake kusomesha Wachambuzi wa football au michezo mingine? İli iwe nini ? Uchambuzi ni karama na mafunzo yoyote ya ziada ya kimaadili au ya kiweledi hutolewa na Media husika kwa jinsi wanavyotaka Wachambuzi wao wakaongee nini !!

Ni matumizi mabaya ya pesa na kupoteza muda tu kwa kutaka kuwapa mafunzo watu ambao sio kipaumbele chetu kwa sasa, tumeshindwa kupeleka hata Refa mmoja AFCON , leo tukatoe pesa za Walipa kodi kusomesha Wachambuzi, Why tusitoe mafunzo sahihi kwa Waamuzi wetu?

Hatuzalishi Makocha wa maana kama Nchi na hatuna hata Kocha mmoja anaefundisha Soka nje ya mipaka yetu, tunashindwa hata na Burundi tu, badala ya kuwekeza huko tunahangaika na kundi ambalo halina athari katika maendeleo ya mpira wetu kwa ukubwa huo.

Shida kubwa tuliyonayo hatujui nini tunataka kama Nchi, hatujui tumekwama wapi na nini tufanye ili kupata maendeleo waliyonayo wenzetu katika football, leo tunataka Chuo chetu cha Michezo kitumie Rasimali zake kusomesha Wachambuzi, kesho si ajabu mkapeleka Boll Boys wakafundishwe mbinu sahihi za kuokota mipira, tupo serious kweli na football?

Wadau haipo nchi duniani inasomesha Wachambuzi wake sana sana ni Media husika zenyewe kwa kuwapa mafunzo ya mwelekeo wa chombo husika, Serikali yetu katika hili, pamoja na Ukada wangu kwa Chama Changu kinachoongoza Serikali yetu, Siungi mkono mpango huu na nauona hauna maaana kwetu kama Taifa, Najua nyie ni Wasikivu na mtaachana na mambo yasio na faida kwa Nchi, hangaikeni kutengeneza football Academy ya maana moja japo kwa kuanzia, wapeni mafunzo ya ziada Waamuzi na Makocha na hata Viongozi wanaoongoza mpira,andaeni mafunzo sahihi ya Management Skills,,,Wachambuzi tuziachie Media husika zitawaelekeza nini waseme na nini wasiseme ,,

Sorry kama nimewakwaza lakini hyo ni fact no matter what!!"- Haji Manara

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Written by Mjanja M1
He is right naunga mkono hoja
 
Mnyonge mnyongeni ila manara ana uewelewa mpana wa soka letu la bongo kuliko hata baadhi ya viongozi wakubwa kwenye wizara na TFF
 
Mimi natofautiana na wengi.
Michezo na vyombo vyake vinaendeshwa na watu wasio na elimu ya wanachokifanya.
Tulitakiwa tuwe mafunzo kwenye ngazi diploma na degree kwenye sayansi na uongozi wa michezo.
Hebu fikiria mtu akisomea yafuatayo miaka 3 na akabobea katika maeneo yafuatayo.
1. Uongozi wa vyama/vilabu vya michezo
2. Michezo shule na vyuoni
3. Sheria na Ukocha wa michezo...football, netball, voleyball etc
4. Utangazaji na Uchambuzi wa michezo...
5. Usimamizi wa Mazoezi ya viungo na club za jogging...
6. Usimamizi na uendeshaji wa viwanja vya michezo..nk

Hapa maeneo haya yalipofika yanahitaji weledi
 
Tatizo la viwanja vyetu vipo chini ya ccm na mnajua kabisa jinsi utendaji kazi wa chama chetu ulivyo chama kupitia watendaji wake wa mikoani huko hawapo teyari kufanya maboresho sababu wanazotoa sasa..

Eti viwanja vyao vinatumika kwa matumizi mengi sio mpira tu . Tena malipo ya timu kuchezankwenye viwanja hivyo ni madogo kulinganisha na matamasha au wahubiri wanaolipa ili kufanya events zao kwenye hivyo viwanja.

Ndugu zanguni bado tunadafari ndefu sana.
 
Kuna aina mbili ya wachambuzi
1.Mchambuzi ambae ni mchezaji wa zamani wa mchezo husika
2.Mchambuzi ambae ni muandishi au mtangazaji wa media husika

Hii # 2 ..kama ni muandishi anatakiwa awe na sifa zote za uandishi zinazotambulika ( kumbuka waandishi wanatakiwa wawe na degree ya uandishi) sasa kama media imeajiri kilaza ni juu yao
 
Haji Manara amekuwa Mtanzania wa kwanza kuongea mbele ya umma na kuonyesha kutofurahishwa na suala la Wachambuzi wa michezo kupewa mafunzo na kusomea fani hiyo.

Ameandika Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram,

"Hivi hii nchi tumerogwa na nani? Yaani tuache kushughulikia Vipaumbele vya maana kama kukarabati Viwanja vyetu vibovu, kutengeneza Viwanja vya mazoezi, kutengeneza misingi ya Watoto wetu na kusaka vipaji, tunataka kupeleka pesa kwa ajili ya mafunzo eti kwa 'Wachambuzi'.

Nchi gani duniani mshawahi kusikia inawekeza pesa zake kusomesha Wachambuzi wa football au michezo mingine? İli iwe nini ? Uchambuzi ni karama na mafunzo yoyote ya ziada ya kimaadili au ya kiweledi hutolewa na Media husika kwa jinsi wanavyotaka Wachambuzi wao wakaongee nini !!

Ni matumizi mabaya ya pesa na kupoteza muda tu kwa kutaka kuwapa mafunzo watu ambao sio kipaumbele chetu kwa sasa, tumeshindwa kupeleka hata Refa mmoja AFCON , leo tukatoe pesa za Walipa kodi kusomesha Wachambuzi, Why tusitoe mafunzo sahihi kwa Waamuzi wetu?

Hatuzalishi Makocha wa maana kama Nchi na hatuna hata Kocha mmoja anaefundisha Soka nje ya mipaka yetu, tunashindwa hata na Burundi tu, badala ya kuwekeza huko tunahangaika na kundi ambalo halina athari katika maendeleo ya mpira wetu kwa ukubwa huo.

Shida kubwa tuliyonayo hatujui nini tunataka kama Nchi, hatujui tumekwama wapi na nini tufanye ili kupata maendeleo waliyonayo wenzetu katika football, leo tunataka Chuo chetu cha Michezo kitumie Rasimali zake kusomesha Wachambuzi, kesho si ajabu mkapeleka Boll Boys wakafundishwe mbinu sahihi za kuokota mipira, tupo serious kweli na football?

Wadau haipo nchi duniani inasomesha Wachambuzi wake sana sana ni Media husika zenyewe kwa kuwapa mafunzo ya mwelekeo wa chombo husika, Serikali yetu katika hili, pamoja na Ukada wangu kwa Chama Changu kinachoongoza Serikali yetu, Siungi mkono mpango huu na nauona hauna maaana kwetu kama Taifa, Najua nyie ni Wasikivu na mtaachana na mambo yasio na faida kwa Nchi, hangaikeni kutengeneza football Academy ya maana moja japo kwa kuanzia, wapeni mafunzo ya ziada Waamuzi na Makocha na hata Viongozi wanaoongoza mpira,andaeni mafunzo sahihi ya Management Skills,,,Wachambuzi tuziachie Media husika zitawaelekeza nini waseme na nini wasiseme ,,

Sorry kama nimewakwaza lakini hyo ni fact no matter what!!"- Haji Manara

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
Naunga mkono 100%. Hatujui ni vipi vipaumbele vyetu.
 
Kuna aina mbili ya wachambuzi
1.Mchambuzi ambae ni mchezaji wa zamani wa mchezo husika
2.Mchambuzi ambae ni muandishi au mtangazaji wa media husika

Hii # 2 ..kama ni muandishi anatakiwa awe na sifa zote za uandishi zinazotambulika ( kumbuka waandishi wanatakiwa wawe na degree ya uandishi) sasa kama media imeajiri kilaza ni juu yao
"Kumbuka waandishi wanatakiwa wawe na degree ya uandishi."
Hii umeitoa wapi?

Nimekuwepo kwenye industry kwa miaka kadhaa kabla ya kuhama, kuna waandishi wenye diploma na certificate kibao tu.
 
Amesema kweli ..
Hii ndiyo sababu kama hizi zilimfanya afungiwe.

Kuwa mkweli sana
 
mchambuzi wa mpira ni yule mwenye elimu ya mpira aliyoipata kwa ama kucheza mpira kwenye ligi zinazotambulika za Nchi husika au ni kocha/mtu yyte kwenye benchi la ufundi ambae kahudumu katika mpira wa Nchi husika.
 
Watu waliopo kwenye vyombo vya maamuzi huwa wanawaza tu na kutamka...
 
Yawezekana kweli hi nchi tumerogwa ukiangalia media zote kubwa wachambuzi ni wachezaji wa zamani

Ni Tanzania pekee Kuna wachambuzi ambao hawajahi hata kucheza mpira ngazi ya daraja la nne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom