wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Baadhi ya wabunge wataondoka mikono mitupu kwa sababu wanaelemewa na madeni sugu

    Spika wa bunge mh Job Ndugai amesema wabunge wengi wanaelemewa na madeni na kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wakaondoka mikono mitupu baada ya bunge kuvunjwa rasmi mwishoni mwa mwezi June. Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi. Source...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wafunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali inayowasababishia wananchi kupata mafuriko

    Wabunge wastaafu na wale watarajiwa wa CCM wamejianzishia mtaa wao huko Ununio na kuuita Bunge Btreet, miongoni mwao ni Mzee Kimiti, Mh. Foya wa Hai, Mh. Adam wa Muleba na Mh. Kippi anayetarajia kugombea Kawe. Cha kusikitisha wabunge hawa wamefunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali...
  3. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wanakwenda bungeni kufanya nini? Mbona wajenga hoja ni wapinzani pekee? Ni kweli kwamba wanadhibitiwa na viongozi wao?

    Ukifuatilia bunge la Tanzania utagundua kwamba wabunge wa ccm ni kama mabubu , jambo kubwa wanalofanya bungeni ni kugonga meza na kusherehesha kauli ya Ndioooo , kama wanavyotakiwa na chama chao ili kuunga mkono bajeti hata kama ina mapungufu kwa 95% Hivi ni kweli kwamba wanatishwa na viongozi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania RC Makonda atembelea kituo cha daladala Makumbusho. Ahimiza usafi, aruhusu bodaboda, Bajaji kuingia mjini

    RC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri. Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wetu hawaja azimia chochote from their payments?

    Tumesikia viongozi, wanamichezo, wafanyabiashara wengi sehemu mbalimbali ya dunia wakichukua hatua za ziada kusaidia hili janga. -kupunguza mishahara yao -kuchangia fedha na vifaa -Kutoa mishahara yao kwa ajili ya kusaidia hili janga Nilitegemea hii serikali ya wanyonge hasa wabunge wanaojua...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je, bado inafaa kwa wanasiasa wa upinzani kupima corona ndani ya nchi hii na hasa wabunge wa upinzani kupimwa corona Bungeni kama ilivyotangazwa?

    Baada ya Makonda kutangaza mtoto wa Mbowe kuwa ameugua korona,jambo ambalo lina muelekeo wa kisiasa,naanza kujiuliza kama bado ni sahihi(salama) kwa wapinzani kupima ugonjwa huu humu ndani ya nchi na hasa wabunge wa upinzani ambao watapaswa kupimwa sambamba na wenzao wa CCM kabla ya kushiriki...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatafakari kuwapeleka wabunge wake waliovunjwa vunjwa na polisi nje ya nchi kwa matibabu zaidi , Corona yaleta vikwazo

    "Mhe. Esther Bulaya, Mhe. Halima Mdee na Mhe. Jesca Kishoa wameruhusiwa juzi, isingekuwa Corona tulikuwa tunafikiria kuwapeleka nje kupata matibabu zaidi. Bado tunatafakari nini cha kufanya, hali zao bado hazijatengemaa, hasa Esther Bulaya aliyeumia ndani." Mhe. John Mrema
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wabunge wamtoa mwenzao bungeni kwa kuwa ametokea London hivi karibuni

    Wabunge wa bunge la Kenya wamemtaka mbunge wa Eldas, Adan Keynan aondoke bungeni kwa madai kuwa alikuwa ametoka London Mbunge wa Endebes, Robert Pukose alimuomba Spika wa bunge, Justin Muturi kumuamuru mbunge huyo atoke ili kulinda afya za wabunge wengine Spika akawaamuru wabunge ambao...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukimya wa wabunge hawa wa CHADEMA ktk kipindi hiki chama kinavurugana kunanini?

    Wabunge hawa nahisi kunajambo linaenderea ndani yachadema 1.Thelasini 2.Com 3.Kubenea 4.Joseph haule 5.Sugu 6.Silinde 7.Kiwanga 8.jLJualikari Mwenye kufikiri atakuwa na majibu . (Yajayo yanafurahisha)
  10. JamiiForums Tanzania Sifa za wabunge ambao hukaa muda mfupi kwenye nafasi zao

    Na Elius Ndabila 0768239284 Kwa wiki hizi kumekuwa na mjadala mzito ambao umechagizwa na maoni ya aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Anna Semamba Makinda aliyesema Ubunge wa viti maalumu ungekuwa na ukomo ili waende kugombea majimboni. Hii inamaanisha kuwa Mh...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli NCCR Mageuzi ilitoka wabunge sita mpaka mmoja kwa sababu ya Ukawa?

    Ningependa watu wajadili hoja hio ya Mh Mbatia kuwa NCCR Mageuzi, haikunufaika na Ukawa bali ilizamishwa na Ukawa? Je, kuna ukweli hapo? Maana sikufahamu Kama NCCR Mageuzi ilikuwa na wabunge 6 kabla ya 2015, na kabaki mmoja tu. Kwamba aliitoa taasisi ya NCCR Mageuzi kisa Ukawa lkn hakulalamika...
  12. JamiiForums Tanzania Kimenuka: Mawaziri na Wabunge ambao ni Team Membe kupukutishwa

    Hii itaturudisha nyuma hadi mwaka 2015 wakati wa kura za maoni ndani ya ccm , ni nani na nani waliomuunga mkono ?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tanzania wasusa na kutoka nje Bunge la Afrika Mashariki wakipinga kupitisha mswada wa Forodha

    Wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki wamesusia kikao na kutoka nje ya ukumbi wakipinga kupitisha muswada wa forodha. Spika wa bunge hilo aliahirisha kikao kwa akidi kutotimia. Source ITV habari!
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM

    Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa viti maalum kule CHADEMA hawana hamu ya kuhamia CCM?

    Sijasikia mbunge yoyote wa viti maalum kutoka CHADEMA au CUF aliyehamia CCM, ndipo sasa najiuliza why? Yawezekana sijafuatilia vizuri, mwenye pingamizi Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge waliohamia CCM kwa kujiuza au kwa hiyari yao njia panda , Mikataba ya ununuzi mwisho octoba 2020

    Kwa mujibu wa mikataba waliyoandikiana ni kwamba uchaguzi ujao hawatabebwa , bali wanapaswa kupigania roho zao wenyewe kwa kupitia kura za maoni ambazo ndio utaratibu wa halali . Hofu iliyopo ni kwamba watapitishwa na nani kwenye chama ambacho hawana mizizi hata ya size ndogo kama Caroti ama...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Wabunge Viti Maalum ni wa kubebwa? Mnaonaje iwe ni awamu moja tuu kisha waendeni jimboni, kupisha wengine, au waendelee kubebwa tu?

    Wanabodi, Kwanza angalieni hii picha More than 60% of Rwanda’s parliamentarians are women. Photo: Sam Ngendahimana Nimesoma kwenye Ripoti ya WB, Bunge la Rwanda ndilo Bunge linaloongoza Dunia kwa gender equality baada ya kuwa na asilimia kubwa ya wabunge wanawake kuliko wanaume, wakati Bara...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika akiisimamia vizuri ruzuku ya chama na michango ya wabunge CHADEMA wanaweza kuimarika tena

    Kama tujuavyo Chadema iliweza kuimarika sana baada ya ujio wa mzee Lowassa na rafiki zake katika chama hicho. Lakini mara baada ya mzee Lowassa kuamua kurejea CCM na kundi lake Chadema wameanza kudhoofu na amkani hali si shwari. Ujio wa kiongozi kijana J J Mnyika kama katibu mkuu mpya inaweza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwa muda mrefu sasa haijapokea madiwani wala wabunge kutoka vyama vingine. Je, haipendwi?

    Najiuliza tu maana tangia wamchukue Lazaro Nyalandu kutoka CCM hawa jamaa wa CHADEMA hawajapokea diwani wala Mbunge tena kutoka chama tofauti. CCM wao karibia kila mwezi wanapokea madiwani kutoka vyama vya upinzani wanaojiunga nacho kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli. Je, CHADEMA kimepoteza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…