MBUNGE wa Kilombero, Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Peter Ambrose Lijualikali (35), amekuwa mbunge wa 17 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuondoka bungeni, kujiengua ama kupoteza sifa za kuwa mbunge.
Lijualikali alitangaza kuondoka Chadema, jana...