Ben aliacha kiinua mgongo cha Mbunge kikiwa 35M. JK awamu ya kwanza akakitoa 35M to 90M na awamu ya pili akapandisha kutoka 90M hadi 240M. Bila shaka hapo ndipo ubunge ulipoacha kuwa utumishi ukageuka fursa ya kiuchumi.
Yohana hajaongeza hata mia. Ameacha kama alivyokuta. Lakini kumekuwa na...