wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bunge: Wabunge wanakatwa kodi zote stahiki ikiwemo 'PAYE''

    Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi . Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (paye) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa sheria. Kauli hiyo imekuja baada ya...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ludovic Uttoh: Kama Kodi ni kwa maendeleo ya Nchi kwanini Wabunge hawakatwi wakati nao wanalipwa Mshahara kama wengine?

    CAG Mstaafu, Ludovic Uttoh amesema hakuna sababu za kwanini Wabunge wa #Tanzania hawalipi Kodi licha ya kwamba wana Mishahara kama walivyo Watumishi wengine wanaokatwa Kodi. Uttoh amesema "Siku zote msingi wa Kodi ni Usawa na wala kodi haitakiwi kuwa na Matabaka. Ikiwa tunasema tunalipa Kodi...
  3. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Sanga mbunge wa Makete ni Mwalimu wa wale Wabunge wa kipindi kimoja

    MHE SANGA ANAJARIBU KUWAFUNDISHA WABUNGE WA MUDA MFUPI. Na Elius Ndabila Ninawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni muda muda kidogo sijaandika kama nilivyokuwa nafanya mwanzo. Yapo majukumu ambayo yamenibana nakosa nafasi nzuri ya kuwa kwenye social network kama hizi...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Idadi ya Wabunge ipungue ili kupunguza gharama za mishahara na kuwahudumia

    Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge. Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni. Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo haiongozwi na wingi wa watu. Tukipunguza idadi ya wabunge bungeni tutaokoa fedha nyingi sana ambazo...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Maoni: Malipo ya Wabunge yapunguzwe

    Ninatazama Utv Alasiri hapa kwa kweli nchi hii bado tuna changamoto nyingi na pia kundi kubwa la watu hasavijijini wanaishi maisha magumu mno. Mfano hapa wananchi wa Lindi Njinjo walikua wanaelezea jinsi gani wanavyosumbuliwa na barabara mbovu ambazohupelekea hata kipindi cha mvua wakina mama...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu

    Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi. Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
  7. Parody

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Serikali yatoa Tsh Bilioni 69.5 kununua magari ya wabunge wakati visa vya COVID-19 vikiongezeka

    Wananchi wa Uganda wameonesha kukasirishwa na hatua ya serikali ya nchi hiyo kutoa zaidi ya dola milioni 30 za Marekani (sawa na zaidi ya Tsh bilioni 69.5) fedha za kununua magari ya wabunge wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na kuinua uchumi wa nchi...
  8. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Wabunge kuacha utapeli na kulipa kodi inayolingana na kipato chao

    Wabunge wetu wa TZ wamejadili na kujinasibu niya yao ya kuinua mapato ya Taifa kupitia kodi. Hali inayojionesha kwa miaka mingi, ni tabia yao ya kutozungumzia ulipajhi wao wa kodi, usioendana na kipato halisia walichonacho. Kwa ujumla hili ni Bunge la watu wa misheni touni. Ktk kuhakikisha...
  9. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

    Friends and Enemies, Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti? Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya...
  10. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini Wabunge hushangaa bajeti na sheria za ajabu walizopitisha wao wenyewe Bungeni?

    Moja ya sababu inayofanya wabunge kushangaa sheria au bajeti walizopitisha wao wenyewe ni kwasababu ubunge haujakaa kama taasisi. Ibara 67 ya katiba ya Tanzania inaeleza sifa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika.Na ibara ya 63 na 64, kazi ya mbunge ni kushiriki kwenye kutunga sheria na...
  11. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Mama Samia una wabunge 90+% futa vyama vya upinzani

    Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini. Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda. Mama nilikupenda na niliona umsikivu na...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa kweli wa wabunge wetu

    Wasalaam, Kama kweli wabunge wetu wameguswa na maumivu ya hizi tozo wananchi wao tunazolalamikia, nashauri wajitolee kurudi bungeni Kwa zarura bila malipo wakat ammend hii sheria. Ushauri tuu ili tuone kama walikusudia ama LA.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ndugai na wabunge wote warudishe posho walizolipwa wakati wanapitisha TOZO

    Kwa kuwa rais amesema tozo ziangaliwe upya maana yake ni kwamba wabunge walipitisha kitu cha ajabu. Waliharibu kazi. Sasa adhabu yao ni nini? Warudishe posho. Ndugai aliwatisha wabunge kwamba wasipopitisha bajeti rais atalivunja bunge. Aondoke! Na hapa ndipo umuhimu wa katiba mpya unaonekana...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wabunge bila kumuondoa Spika/Naibu Spika hamtaheshimika kwa wananchi na hata Rais

    Waheshimiwa wabunge mmekuwa mkiburuzwa na kiti cha Spika bila kujua yeye hana chakupoteza 2025. Kwani ni automatic ni mstaafu. Hivyo anajikomba kwa Rais kuwa mstaafu mtarajiwa mwema huku akiwaharibia ninyi. Ushauri: Pigeni kura za siri zakutokuwa na Imani na kiti cha Spika/Naibu wake ili...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wabunge tunawaita waheshimiwa?

    Tafakuru! Neno MTU kuitwa MHESHIMIWA ni heshima,kumkweza,anamamlaka,au ni ushenzi na ufinyu wa fikra. Napendekeza wanajeshi waitwe Mheshimiwa Afande......... Wanasiasa waitwe Ndugu........ RAIA waitwe ndugu Mwananchi na siyo wanyonge.
  16. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Je, tozo za miamala ya simu ni matokeo ya wabunge wa CCM waliopelekwa Bungeni kinguvu?

    Tuna wabunge dhaifu na wengi wasiojielewa hawa wa CCM waliopita bila kupingwa na kulindwa na Mamlaka. Bungeni hawana uwezo wa kujenga hoja na wala hawana uelewa wa mambo ya Uchumi na Maendeleo. Tuna wabunge wapiga meza na makofi Bungeni, Hawaelewi ipi ni "a" ndogo na ipi ni "A" kubwa. Wabunge...
  17. Mag3

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi! Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida! KumbeTanzania inajengwa na wazalendo...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wabunge wamekubaliana na Serikali kuwanyonya wananchi

    "Tozo za miamala ya simu zimeunganisha mihimili bunge na serikali dhidi ya wananchi na walaji. Katiba inatenganisha mihimili hii miwili. Tozo zimeiunganisha. Ni kinyume cha katiba. Wabunge wamekubaliana na serikali kuwanyonya wananchi. Nani mtetezi wa wananchi?" Askofu Bagonza
  19. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulikubali suala la tozo mpya za miamala halafu leo tunaanza kulalamika!

    Wabunge ni wawakilishi wetu. Tumewapeleka wakaisimamie serikali kwa niaba yetu. Kama wawakilishi wetu wamekubali maana yake tunaowakilishwa tumekubali. Kama hawa wawakilishi wameenda kukubali kitu ambacho hatujawatuma, tuwalalamikie wao na kuwawajibisha na si serikali. Zaidi ya hapo tutulie.
  20. Godlisten9

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mabara yaliyoendelea yanaichukulia bangi katika nafasi kubwa ya kuendeleza uchumi wa nchi zao

    Kilimo cha Bangi,kuweka tozo na kupunguza posho za watumishi wa Serikali katika kuongeza pato la Taifa mbadala wa tozo za simu, mafuta ya petroli, dizeli, mafuta ya taa, mafuta ya chakula na sukari. Habari nawasalimu wadau na wana JF wote, nina imani mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila...
Back
Top Bottom