wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania SportPesa kudhamini timu ya Wabunge Kwa kuwapa vifaa vya michezo

    • Ni mashindano ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. • Timu 8 kupewa vifaa ili kushiriki. Jumanne,November 30. Kampuni ya michezo Na burudani SportPesa leo imetoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa timu ya Bunge ambayo inatarajia...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Mawaziri na Wabunge wanaojipendekeza kwa Samia Suluhu wasisumbuke

    Mimi ni muumini mzuri wa imani ya kidini. Siku zote huwa naheshimu viongozi kwani imani yangu ni kuwa viongozi huteremshwa na kupewa uongozi na mwenyezi Mungu. Kujipendekeza ili upate uongozi haisaidii hata kidogo. Imani yangu ni kuwa viongozi wetu wote ni zao la mwenyezi Mungu Mwenyewe...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Malipo ya Wabunge tangu uhuru yanaakisi maendeleo?

    Miaka sitini ya Uhuru inaendana na malipo ya wabunge kila mwezi ukilinganisha na uhalisia wa majimbo? Kwanini kila kikao cha bunge ni hoja za maji maji.Hatuna mbinu mbadala maji kiwe kipaumbele?
  4. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Wabunge CCM siwatishi lakini tusilaumiane

    Wabunge CCM msiofata matakwa ya mwenyekiti, siku zinakuja ambapo kila jina litasomwa mbele ya mwenyekiti wa CCM. Niwakumbushe tuu msipofanya kazi zenu wakuu wa mikoa na wilaya watafanya. Halafu bunge lijalo hatuhitaji upinzani ndani ya Chama kama hivi sasa hivyo wapinzani wanaostahili wawe...
  5. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Waheshimiwa wabunge picha hii inawahusu

  6. J

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ilipata 84% ya kura za Urais na ikapata 99% ya Wabunge wa kuchaguliwa kuna haja gani tena ya Maridhiano?

    Takwimu huwa hazidanganyi. CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar. Katika mazingira kama haya...
  7. kukumsela

    JamiiForums Tanzania Ukiwatoa wabunge, Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma ndio wanalipwa mishahara mikubwa

    Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono. Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

    Wabunge wa Mkoa wa Kagera, Wamepinga kitendo cha kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera. Hii imekuja baada ya Kuanzishwa Mchakato wa kufanya Wilaya ya Chato iliyopo Geita kuwa Mkoa. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule, alisema Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC) ilipendekeza wilaya tano...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wabunge wasiochanja wapigwa marufuku kuingia bungeni

    Bunge la Uganda limetangaza kwamba wabunge ambao hawajapokea chanjo, hawataruhusiwa kuhudhuria vikao vya bunge hilo kuanzia leo. Naibu wa spika Anita Among, amesema kwamba hatua hiyo inalenga kutoa mfano mwema katika kuunga mkono juhudi za serikali za kupambana na janga la virusi vya Corona...
  10. mshale21

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nimechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25, mara mbili nimepita bila kupingwa, unaniita ZUZU?

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema anakerwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaita wabunge mazuzu na kuwataka wajenge utamaduni wa kuheshimiana. Akifungua wiki ya AZAKI jijini Dodoma Jumamosi Oktoba 23, Ndugai amesema, “Sio unaitwa Azaki basi unawasema wenzako maneno unayotaka ya hovyo. Tumewahi...
  11. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde CHADEMA, wasameheni wabunge wenu 19 wa viti maalumu kwa maslahi ya chama na taifa

    Wakati wa utawala wa dola ya Rumi, adhabu ya kusulubiwa msalabani ilikuwa ni adhabu kwa ajili ya wahalifu sugu, watu kama wauaji, majambazi na wahaini. Ilikuwa adhabu ya kudhalilisha, ya kikatili na iliyo hakikisha mateso makuu kabla ya kifo. Mtu aliye tundikwa msalabani alikuwa anaomba afe...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Sabaya kapprove kwamba takribani 50% ya wabunge wa CCM hawakushinda na wenyewe wanajua hilo. Walitangazwa kwa ubabe na hila

    Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm. Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge wanyimwa dhamana baada ya tamko la Rais Museveni

    Mawakili wa wabunge wawili wa chama cha upinzani cha NUP nchini Uganda wamesema majaji wanaogoba kusikiliza maombi ya wateja wao kupewa dhamana. Hatua hiyo imekuja baada ya Rais Museveni kutoa tamko la kuondoa dhamana kwa watuhumiwa wa mauji na uhaini. Wabunge hao wawili ambao ni Allan...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Wabunge wakosoa namna Serikali iliyoshughulikia janga la Corona mwanzoni mwa mlipuko

    Katika Ripoti iliyotolewa leo, Wabunge wameikosoa Serikali kwa namna ilivyoshughulikia mlipuko wa CoronaVirus katika hatua za mwanzo, ikisema ilishindwa kuchukua hatua za haraka na kupelekea maambukizi na maelfu ya vifo. Vilevile Ripoti hiyo imesema kulikuwa na nia ndogo ya kujifunza kutoka kwa...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wabunge wa CCM watakaoshindwa kurudi 2025

    Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;- 1. Dkt. Kalemani 2. Msukuma 3. Prof. Ndalichako 4. Saashisha Mafue 5. Polepole 6. Priscus Tarimo 7. Dr Bashiru 8. ……………, 9. …………….,
  16. M

    JamiiForums Tanzania Huenda Wabunge wengi wa CCM wakashindwa kurudi 2025 na upinzani ukalamba dume

    2020 Kulikuwa na upepo wa ajabu kwa wabunge wengi wa CCM kwani walibebwa kama watoto wachanga na JPM na Livingston Lusinde ni shahidi kwani yeye alisema kuwa kunawabunge hata kwa kuzikiri bila nguo wasinge rudi ila Magufuli aliwabeba na mbeleko. Taarifa nilizo zipata kutoka chanzo cha uhakika...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole adaiwa na Mwana-CCM kushiriki kuhujumu Katiba ili Samia asiwe Rais

    Hii ni kwamujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya Chama kwamba ndugu yetu mzee wa darasa la uongozi na genge lake walijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, waliratibu mbinu zote ili Samia asiwe Rais lakini wakashindwa, kwa hali hii natamka rasmi kwamba sisi vijana wa CCM hatumtaki Polepole kwenye chama...
  18. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi kukitokea utata wa jambo, wananchi tunatakiwa kuwahoji Rais na Mawaziri au Wabunge?

    Ni utaratibu uliozoeleka kwa jambo lolote likitokea wananchi kuomba ufafanuzi kwa mawaziri, au wakimlilia Rais. Lakini kwa utaratibu wa siasa za uwakilishi si ilitakiwa tuwapigie kelele wabunge na mkubwa wao Spika. Mfano bei ya mafuta ya kula ikipanda, Tozo ikiongezeka, mkataba wa gesi...
  19. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Rais, Mawaziri, Wabunge wa maafisa/watumishi wengine wa Serikali hawalipi kodi lakini ndiyo wanapangia wengine kiasi cha kodi cha kulipa

    Salama. Huwa viongozi na watumishi wa serikali wakijinasibu kuwa wanalipa kodi, lakini kilogic watu hawa hawalipi kodi hata kidogo, badala yake ni watumia kodi. Wataalamu waliochunguza swala hili walikuja na mfano ufuatao. Ikitokea nchi ikakusanya kodi sifuri, basi kuanzia Rais, Waziri...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Yaundwe Majukwaa ya Wabunge kila Mkoa

    Taswira kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Katika jamii yoyote ile ya binadamu tangu enzi za ujima hata sasa, binadamu wamejiwekea mifumo inayowaongoza katika jamii zao. Ni bahati mbaya sana kwamba siku zote ambazo misuguano ya kimaslahi...
Back
Top Bottom