wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Waziri Mkuu hawezi kuteuliwa kutoka wabunge wa Zanzibar?

    Nauliza tu waungwana kama Katiba inaruhusu Waziri mkuu atoke kwa wabunge wa kuchaguliwa wa Zanzibar. Mungu ni mwema wakati wote!
  2. Chakaza

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU, Bila Kuchunguza hii Rushwa ya Bunge, bora ivunjwe

    Kumekuwa na tuhuma nyingi kuwa Taasisi ya Kuzuia Rushwa ni Toothless bull dog na kwamba taifa linapoteza fedha nyingi kuiendesha wakati haina tija yeyote. Na haya yamesemwa mpaka na wabunge wenyewe. Kuna tuhuma ambazo zimekuja kama swali bungeni leo kuhusu wabunge wa CCM kupewa rushwa ya...
  3. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Taarifa waongezeka kuelekea Uchaguzi nchini Ujerumani

    Wakati Ujerumani ikijiandaa na Uchaguzi wa Bunge unaotarajiwa kufanyika Septemba 26, ripoti mpya ya Taasisi isiyo ya Kiserikali nchini humo ya Avaaz imeonesha kuongezeka kwa matukio ya upotoshaji wa taarifa. Ripoti ya Taasisi hiyo imemtaja mgombea wa Chama cha Green, Annalena Baerbock kuwa...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wabunge tusaidieni kuiuliza serikali ni lini itaruhusu mfumo wa kupokea pesa wa biashara za mitandaoni wa Paypal?

    Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka Waweza uza chochote mitandaoni Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
  5. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

    Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani. Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000. Ameendelea kudai...
  6. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

    Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona. Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika...
  7. Mindi

    JamiiForums Tanzania Ndugai Aanze na "Waheshimiwa" Wabunge kabla ya "Wasomi" Mawakili

    Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameeleza "kukerwa" kwake na kada nne kwamba wanajiona ni bora kuliko wengine. Kwa mfano Mawakili, ambao wana utaratibu wa kuitwa "Wakili Msomi" kabla ya kutaja jina. Hoja ya Ndugai ni kwamba iweje Mawakili waitane "Msomi" ambapo wasomi wako wengi tu, siyo Mawakili...
  8. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Bunge lisijadili Mitaala ya Elimu, Wabunge wengi wana upeo mdogo

    Leo Bungeni wakati wa maswali na Majibu, Kuna swali lililohusu mabadiliko ya mitaala ya Elimu ili kuendana na hali ilivyo. Naibu waziri wa elimu alikiri kuwa mfumo wetu wa Elimu uliopo haumsaidii Mhitimu kuweza kujiajiri hivyo wapo kwenye mchakato wa kubadilisha Mitaala inayotumika kukidhi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri wa Vyuo Vikuu na mishahara ya Wabunge na Wakurugenzi Mashirika ya Umma

    Habari wana bodi, nimekuwa nikisoma baadhi ya articles zinazo ongelea mchango wa vyuo vikuu marekani katika uchumi wa taifa hilo especially kutengeneza innovators "silicon valley". Kwa kiasi kikubwa maendeleo ya taifa la marekani yamechangiwa sana na innovations zinazofanywa na taasisi zake za...
  10. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wanapokosa hoja za kisiasa wanakimbilia vifungu vya misahafu. Ongezeni ufahamu wa siasa

    Umekuwa mtindo wa kudumu ukisikiliza Bunge unaishia kuambiwa Biblia inasema hivi, Kuruani inasema hivi. Hakuna maneno ya watu mashuhuri au hoja zenye mashiko kisiasa. Hii ni dalili ya kuwa na wanasiasa waliofilisika kisiasa na wanahangika sana na elimu ya dini. Safari hii Spika kaangukia pua...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Wabunge upunguzwe

    kama utapiga mahesabu na kujua ni kiasi gani wabunge wanatek home hela,basi utaona kwa nini serikali inaingia kwenye ufukara kiasi ya kuleta na kujaza kero kwa mwananchi asie hata na kazi ya maana ,pengine hata akilima mazao yanakauka na jua au kuoza kwa sababu ya mvua zisizo isha,na wakati...
  12. tpaul

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Adhabu kwa wabunge Silaa na Gwajima ni funzo kubwa kwa watanzania

    Kwema wakuu? Naingia kwenye hoja moja kwa moja bila kupindisha maneno. Leo tarehe 31/08/2021 bunge la JMT limetoa adhabu ndogo kwa wabunge wawili wa CCM – ndugu Jerry Silaa wa Ukonga na ndugu Josephat Gwajima wa Kawe. Bunge limetoa azimio la kuwasimamisha mikutano miwili ya Bunge. Wengi...
  13. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Bunge linasaidia Wabunge kukwepa kodi. Jerry Silaa yupo sahihi kabisa!

    Thrd hizi tunajaribu kudadavua kwa nini Silaa alisema Wabunge hawalipi kodi. Ofisi ya Bunge inasema Wabunge wanalipa kodi, ikimaanisha PAYE. Upande wa pili, Spika akitumia nguvu nyingi sana kumtia adabu Silaa kwa matamshi yake. Nionavyo, ni kweli Wabunge wakisaidiwa na ofisi ya Bunge, wanakwepa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wana misamaha ya kodi? Jerry Silaa hakusema wabunge hawakatwi PAYE

    Binafsi sikushangaa kabisa kumuona Jerry Silaa akiingia na lundo la vitabu na manual zinazoelezea sheria za kodi. Kinachonishangaza ni baadhi ya wadau kumtaka Jerry Slaa kuiweka hadharani salary slip yake ili tuone namna asivyolipa kodi kana kwamba Jerry alisema wabunge hawakatwi PAYE. Swali...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mchawi wetu wa kwanza ni Mwigulu Nchemba wa pili ni Wabunge na watatu ni...

    Kipindi hiki kimekuwa kigumu kuliko cha Marehemu Magufuli. Tozo na Kodi zimekuwa za kikatili na kinyonyaji sana.hawa watu hawajali kabisa maisha ya maskini. Mwigulu, Wabunge hawa tunawalipia hizi kodi kwa kodi zetu. Mishahara wanayoipata na vipaumbele vyote ni kutokana na kodi zetu. Huyu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge tukachanje chanjo ya COVID-19 tusimsikilize Askofu Gwajima tusije kukosa vikao vijavyo

    Kuchanja ni hiyari lakini huna hiyari ya kuambukiza wengine. Ndugu wabunge tusimsikilize Mbunge wa Kawe Askofu Gwajina kuhusiana na chanjo ya Korona , nawashauri nendeni mkachanje mpaka kadi zenu ili muendelee kuwatumikia wananchi katika majimbo yenu ni jambo la kusikitisha kuachia nafasi ya...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wabunge wasio na huruma waliamua tuwalipie kodi wenye nyumba

    Kwamba kwa nyumba za kawaida tutakatwa buku kila mwezi. Waliopanga kwenye magorofa buku tano. Hivi hawa wabunge ni wawakilishi wa wa wananchi? Hakuna jinsi wacha tuwalipie kodi wenye nyumba.
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Bunge: Taarifa za Wabunge wasiopata chanjo kutoruhusiwa Bungeni hazina ukweli

    Bunge limekanusha madai ya Wabunge wasiopata Chanjo kutoruhusiwa kuingia Bungeni, likisema kuchanja ni hiari yao na wanahimizwa kufanya hivyo Imeelezwa, utaratibu umeandaliwa kuwawezesha wapate Chanjo katika Viwanja vya Bunge kwa hiari yao ili wajikinge na kuwakinga wengine
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kuwa Elimu yetu haitoshi: Angalia Wabunge na Polisi

    Wabunge na polisi wanapinga kila kitu Cha wapinzani na kuunga mkono kila kitu Cha Serikali. Inawezekana kweli wapinzani wana kasoro zao, lakini wanasaidia nchi kwenye checks and balances hasa kwa vitu vinavyokwenda umiza hata mama zao vijijini. Tanzania hakuna kitu kizuri kuliko wengine zaidi...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Wabunge wawe Wabunge wakaazi

    Mbunge mkaazi maana yake ni Mbunge atakayekuwa akikaa katika Ofisi ya Mbunge Jimboni akikagua Shughuli za Maendeleo katika Jimbo, akisikiliza shida za Wananchi na kufuatilia majibu. Mbunge mkaazi akikaa kwenye jimbo anakusanya takwimu na michango yake Bungeni itategemea takwimu. Shida...
Back
Top Bottom