waandishi

  1. F

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Waandishi wa Habari Kilimanjaro Wafanya utapeli wa pesa kwa kisingizio cha gharama za kurusha habari

    Kumezuka tabia ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro kujihusisha na utapeli kwa kuchukua fedha za watu (wadau) wakidai ni gharama za kutuma habari lakini kinachotokea ni wizi mtupu. Juzi mama mmoja wa Uru Mjini wilaya ya Moshi Vijijini ametoa Tsh. laki 4 kwa waandishi wa habari wanne ili...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SACP David Misime awataka Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi kuimarisha uhusiano na Waandishi wa Habari

    Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uhusiano na Waandishi wa habari ili kwa pamoja waweze kuelimisha jamii kuhusu miradi mbalimbali ya Polisi Jamii kwa lengo la kutokomeza uhalifu. Hayo yamesemwa na Msemaji wa Jeshi Polisi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)...
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Waandishi wa Habari mwaka 2022 yaliongezeka maradufu

    Waandishi wa habari 86 pamoja na watendaji wa vyombo vya habari waliuawa duniani kote mwaka 2022,kwa mjibu wa Taarifa kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, ikichambua zaidi ya kwamba takwimu hizo ni sawa na mmoja katika kila siku 4. Taarifa ya UNESCO...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021/2022. ATCL, NHIF, Deni la Taifa, Vyura wa Kihansi, risiti za kielektroniki, Biswalo. Vyazua Mjadala

    Leo April 06, 2023 mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali, Charles Kichere ameongea na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22. Miongoni mwa mambo muhimu CAG amewashukuru waandishi wa habari, wenyeviti na makamu wenyeviti wa kamati za Bunge kwa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso yawafukuza Waandishi wa Habari wa Ufaransa

    Kitendo cha Wanahabari hao wawili wanaoripoti katika magazeti ya Ufaransa ni mwendelezo mbovu wa uhusiano kati ya Serikali za mataifa hayo. Waandishi hao ni Sophie Douce na Agnes Faivre ambao waliwaili Ufaransa baada ya kupewa saa 24 za kuondoka, Chanzo kikiwa ni kuchapishwa kwa uchunguzi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Michezo Tanzania wachukia kutumika kuleta Hamasa Taifa Stars na baadae Kunyanyasika Viwanjani na TFF Ofisini

    "Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari wanaanza Kutudharau na hata Kutunyanyasa. Jana baada ya Taifa Stars Kufungwa na Uganda Waandishi wa...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je, ni mwanzo wa mwisho wa Mwita Waitara mbunge wa Tarime Vijijini?

    Ni dhahiri kwamba Waitara "ameshauona mwisho" kabla ya kuufikia. Leo amefanya mahojiano na waandishi wa habari akilalamika kwamba serikali imeweka mipaka ya hifadhi ya Serengeti bila kumshirikisha, Waitara alikuwa akilia kwa kwikwi na akijiapiza kwa kidole. Anadai Chadema wamepita jimboni...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Karibu asilimia 70% ya maswali ya baadhi ya waandishi wa habari Bongo ni ya ovyo; nina wasiwasi na ubora wa vyuo vya habari

    Nimefuatilia mahojiano (interview) nyingi za waandishi wa habari Tanzania! Wengi wao wanamaswali ya hovyo na kipuuzi kuliko mahitaji ya jamii inachohitaji kujulishwa! Maswali yao mengi yapo kwenye mlengo wa taharuki kwamba Flani kasema vile na vile almradi tu jambo lionekane la kuishangaza...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waandishi wetu uchwara na maswali yao uchurwa

  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya startv kusimamisha watangazani wake, hivi hao waandishi wameshindwa kuja na digital platform yao kama Millard?

    Nadhani hawa waandishi wakiji-organise, wanaweza kuunda online TV nzuri tu, wasikariri kuajiriwa, tena wametapakaa nchi nzima, na Wana connection ya vyanzo vya habari
  11. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hawa waandishi wa Clouds ni ovyo kabisa

    Hivi ni ujinga [kwa maana halisi ya neno ‘ujinga’]? Uoga? Kuwa na ajenda ya siri? Kuwekewa masharti ya mahojiano? Kutokujiandaa kikamilifu? Au ni nini hasa? Nimeyaangalia mazungumzo ya Tundu Lissu na Clouds Media 360. Moja ya maswali ambayo nilitegemea wangemuuliza, hawakumuuliza. Ni...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaonya mpango wa Wadukuzi wa Iran na Urusi kuwadukua Waandishi wa Habari, Wanasiasa

    Kituo cha Mtandao cha Kitaifa cha Uingereza (NCSC) kimetoa angalizo kwa watu wa tasnia hizo kufanyiwa udukuzi wa kijasusi kwa lengo la kukusanya taarifa mbalimbali Imeelezwa wadukuaji wanawalenga watu ambao wanafanya utafiti na wanafanyia kazi kwa ukaribu na Mataifa ya Iran na Russia. NCSC...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Cameroon: Waandishi wa Habari waomba ulinzi baada ya mwenzao kuuawa

    Ni kufuatia Mauaji ya Martinez Zogo, na mwili wake kutupwa Nje kidogo ya Mje Mkuu Yaoundè, Jan. 22, 2023 baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana Siku chache kabla ya kifo chake, Mwandishi huyo aliyekuwa Mkosoaji wa Serikali, alikuwa ametishia kufichua Ufisadi Serikalini Shirika la kutetea...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wako wapi waandishi hawa Spencer Lameck na Emmanuel Buohela?

    Kwa wale waliofuatilia uchaguzi wa Tanzania mwaka 2020 uliomwingiza JPM madarakani wataungana nami kuwa utolewaji wa taarifa za kampeni nchini kupitia ITV ulinogeshwa zaidi na waandishi tajwa hapo juu kwa umahiri wao ktk utoaji wa taarifa. Ilikuwa ikifika saa mbili usiku kuna watu walikwenda...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kahama anatishia usalama wa waandishi wa habari, zikiripotiwa stori za wanafunzi kusomea chini anakasirika

    Waandishi wa habari Mkoani Shinyanga wameomba mamlaka zinazohusika kuingilia kati vitisho vinavyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga. Malalamiko ya waandishi wa habari ni juu ya hali ya ulinzi na usalama wao katika shughuli zao pindi wanapoandika habari za changamoto zilizopo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mwenezi wa CCM Ndg. Shaka na Mkutano mkubwa na Waandishi wa Habari Januari 12, 2023

    Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImetimia #KaziIendelee
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kila Mtu ana Haki ya Kujieleza na Kutoa Maoni

    Siku hizi Vifaa vyetu vya kielektroniki vimekuwa fursa kwetu kutoa maoni, kushiriki Mijadala na kutoa Hoja mbalimbali Mitandao ina nafasi muhimu katika kuhakikisha Watu wanabadilishana Mawazo na kupaza sauti zao Uhuru Wa Kujieleza na kutoa Maoni hulindwa na Katiba za Nchi nyingi Barani Afrika...
  18. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Nape aonya waandishi mikutano ya hadhara

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewasihi waandishi wa habari kuepuka kuandika maneno yasiyo ya staha na kuegemea upande mmoja wakati wa mikutano ya vyama siasa iliyoruhusiwa na Rais Samia Suluhu Hassan hivi karibuni. Nape alienda mbali zaidi na kusema...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Mahakama zaonywa kuwatisha Waandishi wa Habari za Uchunguzi

    Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Vyombo vya Habari vya Ethiopia (EMA) ambayo iko chini ya Serikali imetoa onyo kwa mamlaka nyingine ambazo zimekuwa zikiingilia uhuru wa Waandishi wa Habari wakiwemo wanaofanya Habari za Uchunguzi. Onyo hilo limetokana na malalamiko kutoka Kituo cha Televisheni...
  20. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Simiyu wamtunuku Cheti cha Heshima Mbunge Njalu

    Klabu ya waandishi wa Habari Mkoa wa Simiyu (SMPC) kupitia mkutano wake Mkuu maalumu uliofanyika Mjini Bariadi, tarehe 30 Disemba 2022, imemtunuku Cheti cha heshima Mbunge wa Jimbo la Itilima Mkoani humo Njalu Silanga (CCM) kutokana na mchango wake uliotukuka kwenye taasisi hiyo tangu kuanzishwa...
Back
Top Bottom