waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

    Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi Usipange kukosa kufuatilia Mtaarifu mwenzako
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Matamanio ya IGP Sirro anayosema amejifunza Rwanda kuhusu Polisi kuingia Misikitini na Makanisani na kuandaa mitaala ni kinyume na Katiba

    Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina . Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo 14/9/2021 kitafanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari kwenye ofisi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa Taarifa ya Wiki leo Septemba 12, 2021

    Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa anawakaribisha Watanzania wote kumfuatilia kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari. Atatoa taarifa yake ya wiki hii kwenu. Tukutane saa nne kamili asubuhi hii. 1. Taarifa ya wiki kutoka Serikalini 2. Majibu ya maswali yenu 3. Maoni na ushauri...
  4. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Leo kuna nini, waandishi wa habari za michezo wamekazania neno MEMKWA

  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama

  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Waandishi wa Habari wa Tanzania Manara akiwa Msemaji wa Simba SC na baada ya Manara 'Kutumbuliwa' hapo Simba SC

    Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara alipokuwa Msemaji wa Simba SC "Haji Manara ajirekebishe kwani tumeshamchoka na Vitendo vyake vya Kutudhalilisha huku akituita baadhi yetu ni Takataka. Kwanini Simba SC inamlea vibaya hivi huku akihatarisha Uhusiano wao na Sisi Wadau wao wakubwa wa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Hakuna jipya katika hotuba ya Mnyika na Waandishi wa Habari

    Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya mkutano na Waandishi wa Habari Julai 31

    Katibu Mkuu wa Chama Mhe. John Mnyika atafanya mkutano na waandishi wa habari kesho jumamosi tarehe 31 Julai 2021 saa 5 kamili asubuhi, Makao Makuu ya Chama, Kinondoni. Waandishi wote mnakaribishwa na tuchukue tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
  9. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliuwezaje huu usanii wa "hata mi mwenyewe ndo nalisikia saa hizi"?

    Enzi za JK kulikuwa kunaibuka Agenda tata sana mwenyewe anasafiri zake kama mwezi watu wanaongea wanapambana wao kwa wao kila mtu anakuwa na mtizamo wake. Siku anarejea waandishi kibao airport wanamuuliza Mh hili suala vipi anawajibu hata mwenyewe ndo nalisikia saa hii Dah nimemkumbuka Mzee...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitisha Mkutano na Waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama nje ya Jiji , Kinondoni

    Utaratibu kwa wote watakaohudhuria ni ule ule wa kufuata mwongozo wa WHO ili kudhibiti maambukizi ya Virus vya Corona
  11. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari za michezo wagome kwenda kwenye press conference za Manara hadi awaombe msamaha

    Manara amekuwa anawafanyia waandishi wa habari vitendo vya kidhalilidhaji sana. Aliwatukana ni takataka na juzi kati kuna Clip anamfokea Prisca Kishamba kwa makelele. Amekuwa na tabia hii mbaya kwa kujirudia lakini waandishi hawamchukulii hatua, na mbaya zaidi wengine walicheka kitendo...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa . Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya...
  13. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tuna waandishi wachunguzi na wachambuzi huru?

    Nimekuwa nikifuatilia ishu zinazoibuliwa mara nyingi labda na top leaders ndio inakuwa mijadala rasmi ya media. Mfano: leo gazeti la uhuru linazungumzia rushwa pale kariakoo, kuna gazeti moja nalo linazungumzia kuhusu aliyekua DC Hai. Yote ni baada ya viongozi kuibua taarifa wao ndio wanapatia...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi

    Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha. Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa. Wote mnakaribishwa. Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona...
  15. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Msisitizo wa chama cha mapinduzi(CCM) katika maeneo muhimu kwenye mpango wa maendeleo na bajeti za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma. ===== KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
  16. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, Daniel Chongolo kufanya mkutano na Waandishi wa Habari

    Habari ya asubuhi ndugu wanajamvi, natumaini bila shaka mu wazima wa afya na mmeianza vema siku ya leo. Kwa ambao ni wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu Muumba wa awajalie nafuu ya haraka ili muweze kurejea katika majukumu yenu ya kila siku. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Muhimu : Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona .
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari na Watangazaji wa Michezo pamoja na Mashabiki wa Yanga SC iepukeni hii kauli ya kinafiki inakera

    Kumekuwa na Utamaduni wa Kipuuzi kutoka hasa kwa Waandishi wa Habari, Watangazaji wa Michezo nchini pamoja na Mashabiki wa Yanga SC juu ya Kauli hii ya Kinafiki. Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa pale tu Kikosi chake) kikiwa imara na kinafanya vyema katika Mechi zake kuliko Klabu ya Yanga...
  19. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio waandishi wa habari Nguli wa enzi hizo

    David Wakati, Sarah Dumba, Eda Sanga, Jacob Tesha, Ananilea Nkya, Sango Kipozi, Omar Jongo, Ahmed Jongo, Barnabas Mluge, Idrissa Sadallah, Benjamin Kikomongo "Ben Kiko", Bartholomeo Kombwa "Bart Kombwa", Danstan Tido Mhando, Masoud Masoud, Yusuph Omar Chunda, Bujaga Izengo Kadago, Abisai Steven...
  20. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Wanahabari na vyombo vyao wengi ni waganga njaa kuliko kutoa huduma ya habari

    Wanahabari wengi na vyombo vyao zaidi wapo kufanya biashara kuliko kutoa huduma sahihi ya habari. Wakiwa chini ya ushawishi mkubwa wa falsafa ya kimagharibi wanaona habari za uzushi uongo kuhusu sera zinazochukiwa na wazungu ndio zinauza kuliko kuandika au kusema kweli yenye manufaa kwa...
Back
Top Bottom