Waandishi wa Habari za michezo wagome kwenda kwenye press conference za Manara hadi awaombe msamaha

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Manara amekuwa anawafanyia waandishi wa habari vitendo vya kidhalilidhaji sana. Aliwatukana ni takataka na juzi kati kuna Clip anamfokea Prisca Kishamba kwa makelele.

Amekuwa na tabia hii mbaya kwa kujirudia lakini waandishi hawamchukulii hatua, na mbaya zaidi wengine walicheka kitendo alichofanyiwa Prisca.

Hawafahamu kwamba wao ndiyo wanampa Manara kazi. Japo yeye Manara anafikiri yeye ndiye anawapa waandishi kazi. Wakigoma kufanya naye kazi anakuwa Jobless.

Nawashauri wagome kufanya naye kazi hadi aombe msamaha au Simba watafute msemaji mwingine.
 
Kumbe kupaniki kwa Manara na lile povu kwa Mwandishi kumesababisha uchuro wa Simba kufungwa.
 
Manara amekuwa anawafanyia waandishi wa habari vitendo vya kidhalilidhaji sana. Aliwatukana ni takataka na juzi kati kuna Clip anamfokea Prisca Kishamba kwa makelele.

Amekuwa na tabia hii mbaya kwa kujirudia lakini waandishi hawamchukulii hatua, na mbaya zaidi wengine walicheka kitendo alichofanyiwa Prisca.

Hawafahamu kwamba wao ndiyo wanampa Manara kazi. Japo yeye Manara anafikiri yeye ndiye anawapa waandishi kazi. Wakigoma kufanya naye kazi anakuwa Jobless.

Nawashauri wagome kufanya naye kazi hadi aombe msamaha au Simba watafute msemaji mwingine.
100℅ naunga mkono hoja,zeruzeru anadharau sana
 
Manara ni kichaa, me nilishasemaga kuwa "Hawa waandishi wanafuata nini kwenye press conference za huyu kichaa..?
 
Mimi ni mwana Simba ila kila siku naulizaga mbona kwa wenzetu sioini haya ya msemaji wa team ,mbali ya manager/ cach
 
Back
Top Bottom