waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini Umoja wa Afrika usisaidie Waafrika kupunguza bei ya Mafuta?

    Wadau nawaza sana juu ya huu mfumko wa bei, hasa bei za Mafuta. Ukizingatia China na India wao wanapambana ili kupunguza gharama za wananchi wao kwa kukataa matakwa ya Nchi za Ulaya juu ya Urusi, je kwanini AU nao wasijipange vivyo hivyo? Wanunue ngano na mafuta kwa mrusi bila kufuata masharti...
  2. Vita ya Ukraine; Waafrika tuamke, ni ubeberu wa Magharibi dhidi ya walimwengu

    Waafrika tuamke wenzetu asia amerika latino wanaelewa nini kinaendelea. Ukiangalia vita vya ukraine ni kwamba hapo pamekua tu uwanja wa mapambano. Ni kati ya nchi za kibeberu za marekani na ulaya ya magharibi wakiongozwa na marekani wakipigania hati miliki kudhibiti uchumi wa dunia. Utaona...
  3. VIDEO:- Waafrika tuna mila za ajabu sana, huu ni uchawi au ni nini?

    Video nimeiba kwenye mikoba ya Mshana Jr
  4. Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

    Ubaguzi bado unaendelea kulitafuna bara la Afrika Mwanzo nilidhani wahindi ndio nambari moja kwa ubaguzi duniani, lakini nachokiona kwa ndugu zangu waafrika hususani hapa bongo niseme tu wengi wao ni wabaguzi wa kutupwa ni zaidi ya wahindi, hivyo wanaendelea na kujionyesha wazi kuwa wao ni...
  5. B

    Kura ya Veto UN, waafrika tunavyojidangaya

    Palikuwa na mjadala sauti ya ujerumani jana. Mjadala huo utakuwa hewani tena leo. Msingi wa mada vita vya Ukraine ambako machungu ya Afrika yalielekezwa zaidi kwenye kura ya Veto dhidi ya mabeberu. Katika wachangiaji mmoja alikuwa balozi wa Tanzania. Mzalendo na mkali kweli kweli, anataka nchi...
  6. Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

    Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
  7. Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

    Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu. Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na...
  8. Jaribio la kwanza nimekosa visa ya Marekani, Waafrika tunabaguliwa

    Habari wana JF Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya Marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nimeshatumia gharama tayari zimeenda bure, nimeambiwa nijipange niombe upya. Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya Marekani
  9. Mwenendo wa Uhamaji wa Waafrika katika nchi zao unaelezwa kuongezeka siku hadi siku

    Mwenendo wa Uhamaji wa Waafrika unaelezwa kuongezeka siku hadi siku African Migration Trends to Watch in 2022 – Africa Center for Strategic Studies wanaeleza kuwa Idadi ya Uhamaji wa Waafrika ndani na Nje ya Afrika inaelezwa kuongezea karibu mara mbili zaidi ya ilivyokuwa mwaka 2010, na...
  10. Waafrika yatupasa kuiangalia vita ya Ethiopia kuliko vita ya Ukraine

    Leo mkuu wa shirika la haki za binadamu ameripoti mauaji ya kutisha na ubakaji huko Ethiopia kqtika majimbo ya Tigray na Afar. Idadi ya mauaji ya raia na visa vya ubakaji vinatia shaka kama mwafrika alipaswa kuaminika kupewa mamlaka ya kujiongoza mwenyewe. Ajabu zaidi ni kuwa sisi waafrika...
  11. Waafrika Weusi tunachukiwa na kubaguliwa Ukraine na Urusi lakini ajabu ni kwamba tunajikomba kwenye hii vita yao

    Inasikitisha sana na inaumiza. Waafrika weusi katika hizo nchi yani hata uwe chotara wao watakuweka kundi hilo hilo, nchi za Ulaya mashariki zikiwemo Ukraine na Russia ni wabaguzi sana wa rangi hakuna mfano. Huwa nashangaa sana kwa sasa mtu yupo kushabikia Ukraine au Urusi maana sisi...
  12. B

    Misimamo ya Waafrika na Vita vya Ukraine

    Vita vyote huwa mwonevu na mwonewa. Hata hivyo pana wimbi la mashabiki pia. Kwanini waafrika tunatokea kukenua mno bila kusimamia misingi ya haki wala kuzingatia madhara? Hata hivyo nisiache kutambua mchango wa Kenya na Afrika Kusini kwenye kumkemea hadharani, mbabe huyu wa vita bwana...
  13. Mtu mweusi leo kujitambua na kutambua historia yake halisi na ya ukweli ni kazi ya ziada

    Habari zenu wanaJF wenzangu. Kiujumla watu weusi tumeishi 'gizani' kwa karne nyingi. Tumeishi katika mifumo kadhaa iliyolenga kutupeleka huko 'gizani' na kutubakisha huko. Mifumo hii imepitia marekebisho ya kila aina - tokea mifumo ya kutumia nguvu hadi leo kutumia mifumo ya kutufumba macho na...
  14. K

    Waafrika wazuiwa kuingia katika treni inayo elekea Poland

    Waafrika waishio Ukraine wamekataliwa kuingia katika treni inayoelekea Poland ambayo inabeba raia wanaokimbia vita.
  15. Waafrika wanajiona kama wanaonewa muda wote. (Inferiority)

    Toka juzi nafuatilia matukio yanayotokea huko Ukraine kupitia Twitter, ila kuba hili suala la waafrika kujiona kama wanaonewa hasa kupewa hifadhi na access kwenye safe zones inasikitisha sana. Kuna clips zinasambaa mojawapo ni waafrika hasa wanaijeria wanalalamika hawaruhusiwi kuingia Poland...
  16. F

    Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

    Maswali magumu kuhusu ubaguzi katika Dini duniani:- 1. Mwafrika anawezakuwa Papa? 2. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Anglican duniani? 3. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Lutheran duniani? 4. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Suni duniani? 5. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Shia duniani? 6. Mwafrika...
  17. Watu wa zamani pichani walikuwa weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe?

    Watu wa zamani pichani walikua weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe? Kwanini Ukiangalia picha za zamani za miaka 1700 1800 huko Waafrika wote inaonekana walikua weusi kabisa Sasa miaka hii na miaka michache ya nyuma kuanzia 1900 na hadi sasa Waafrika wengi ni weupe. Hapa nazungumzia...
  18. 85% ya Waafrika bado hawajapata hata dozi moja ya Chanjo

    Namna Bara la Afrika linavyokabiliana na janga hilo imetajwa kubadilika, lakini kasi zaidi katika zoezi la utoaji Chanjo inahitajika ili kudhibiti maambukizi. Imeelezwa, 85% ya Waafrika bado hawajapata hata dozi moja ya Chanjo Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Barani humo, Dkt...
  19. Waafrika wenzetu wakishangilia kutinga fainali za Afcon sisi tunashangilia Samatta kufunga goli ulaya. Watanzaniza tuna matatizo

    Kama kufunga goli ulaya ni mafanikio kwa taifa letu kisoka basi watanzania tumerogwa
  20. Kwa idadi ya Waafrika wanaoishi nchini China, ni wazi Afrika inazalisha nguvu kazi kwa nchi zilizoendelea

    Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko. Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…