wa zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa zamani wa Nyamagana, Lawrence Masha, ajitosa kusaka ridhaa, ubunge Nyamagana

    Mbunge wa zamani wa Nyamagana, Lawrence Masha amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza. Masha amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana, Deogratias Nakei.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  3. See For Me

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Ubabe na Uhuni wa Zamani Mashuleni,,Taja Watu walio Vuma na kutikisa kwa Majina, Miaka hiyo Ukiwa Skuli

    Asalaam Wakuu,, moja kwa moja Uzi tayari Tujikumbushe Ubabe na Uhuni wa Zamani Mashuleni,,Taja Watu walio Vuma na kutikisa kwa Majina, Miaka hiyo Ukiwa Skuli
  4. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa DRC atua Goma

    Joseph Kabila aliyekuwa Rais wa DRC amezungumza kwa video na akamuita Rais wa sasa wa DRC Dictator. Kabila amezungumza baada ya Bunge la DRC kumuondolea kinga ya kutokushitakiwa. Mamlaka za DRC zinataka kumshitaki kabila kwa makosa ya Uhaini na uhalifu wa kivita akihusishwa na M23. Serikali ya...
  5. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa DRC huenda akaondolewa kinga ya kutokushtakiwa

    #HABARI Bunge la seneti nchini DRC leo litapiga kura kuamua ikiwa limuondolee kinga rais wa zamani Joseph Kabila, ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya kivita pamoja na kushirikiana na waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda. Maseneta watajadili kwanza kuhusu pendekezo hilo la jeshi la Congo kabla...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mauritania : Rais wa Zamani Mohamed Ould Abdel Aziz Amehukumiwa kifungo cha Miaka 15 jela

    Mahakama ya rufaa ya Mauritania Jumatano imemuhukumu Rais wa zamani Mohamed Ould Abdel Aziz kifungo cha miaka 15 jela na kutoa faini ya dola milioni 3, na kuongeza kifungo cha awali cha miaka mitano kilichotolewa mnamo 2023 kwa mashtaka ya ufisadi. Aziz, jenerali wa zamani wa jeshi ambaye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa zamani wa CCM Maswa afariki dunia.

    MWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM WILAYA YA MASWA AFARIKI. Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mzee Paul Jidayi (pichani) aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Maswa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Mwl Onesmo Makota imesema...
  8. Introver

    JamiiForums Tanzania Yule joka wa zamani

    Kwanini Shetani ni joka wa zamani? Shalom, ni kwa neema za Mungu wetu tumeliona tena jua leo..wapo ambao hawakupata nafasi hiyo, hivyo hatuna budi kumshukuru sana Mungu wetu. Karibu tujifunze Neno la Mungu chakula cha kweli cha roho zetu. Biblia inasema katika.. Ufunuo 20:1 “Kisha nikaona...
  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Hazina wa Marekani, Summers, asema huenda Marekani inaelekea kwenye "mgogoro mkubwa wa kifedha."

    JUST IN: 🇺🇸 Former Treasury Secretary Summers says US might be headed for a "serious financial crisis." https://x.com/WatcherGuru/status/1909929351207940320?t=aqkE5sHJW7RJL35lYk_xtg&s=19
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuna boss wangu wa zamani aliwahi kunifukuza kazi, leo kanicheck kuniomba connection

    Wakuu, kwenye haya maisha bana kuna changamoto nyingi sana. Kipindi flani kama miaka 4 nyuma huko nilikua nafanya kazi kampuni flani,basi bana nadhani yule boss damu zetu hazikuendana,akanifanyia figisu nikafukuzwa kazi.maisha yakaendelea nikapata ramani kwenye kampuni nyingine, sasa yule boss...
  11. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Huyu ni mchezaji wa zamani, je ni nani?

    Lete majibu, huyu mwanasoka ni nani?
  12. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Uchumba wa zamani nani anaukumbuka? Wa miaka ya 80 mpaka 2000?

    Sis: " Mdogowangu, zamani sisi tukiwa kwenye uchumba, kuanzjq miaka ya 80 mwisho waliishia mwaka 2010. Wanaume walikuwa wana upendo sana, walikuwa wanahudumia wachumba zao wakike au girlfriend zao sana Tulikuwa tunapewa hela jaman, saluni, wengine mapaka magari, na nyumba unaonyeshwa hapa ndio...
  13. Dr Chi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Makosa Ambayo Watoto wa Zamani Tulikuwa Tukila Bakora.

    1. Usiposalimia wakubwa asubuhi, unapigwa. 2. Usiposalimia wageni, unapigwa. 3. Ukinawa kabla ya wageni, unapigwa. 4. Ukilia bila sababu, unapigwa. 5. Ukinyanyuka wakati wa kula kabla ya wakubwa kuinuka, unapigwa. 6. Wakubwa wakiwa wamekaa wewe ukaenda kusimana pembeni, unapigwa. 7. Ukikaa...
  14. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Wanaume waleo vs wanaume wa zamani

    WAnaume wakileo. Mnaanza mahusiano anaanza kusema unafanya nini ?? Mko kwenye maongezi kidogo eti una teni hapo sasa kama mie mwanamke unataka hela yangu yanini kwasababu gani?? Dunia ilipoanza adam aliambiwa atatafuta kwa uchungu. Na hawa atazaa kwa uchungu na vitu vyote hadi kulea mwanaume...
  15. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke Wabunge wa zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma

    Ikiwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, leo nimeona tuwakumbuke wabunge wa zamani na hapa tuanzie mwaka 2010 kurudi nyuma. Mimi naanza na Idd Mohamed Simba, alikuwa mbunge wangu wa Ilala. Endelea…
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wa zamani walikuwa wanaonyeshwa kamba tu ya mkonge ukumbini. Ng'ombe wa Zawadi yupo kijijini....

    Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana Zawadi yoyote ya kuwapa maharusi licha ya kuchangia kadi. Ndio nikakumbuka wana ndoa wengi wa zamani...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi makocha wa zamani wa Simba Zoran Mark, Robertinho na Benchikha?

    Hawa makocha baada ya kupigwa na Yanga walitimuliwa wote Kwa nyakati tofauti, hadi Leo hawajulikani wapo wapi? Labda wapi makwao wakilea wajukuu Yaani hao makocha hawana hadhi hata ya kufundisha championship Yanga ndo timu inawapa platform coaches, wanakuja Yanga wanapata jina na kuaminiwa na...
  18. GadoTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Hii ni thread maalum ya simulizi mbalimbali pamoja na visa, mikasa na vitimbi vya wasanii wa zamani wa bongo fleva. Stay tuned....
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Sanamu la Rais wa zamani wa Ghana Akufo Addo labomolewa, majigambo na kujitukuza zatajwa kama sababu

    Wakuu, Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa. Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Legends platform: wasanii wa zamani na kazi zao

    Tutaanza na Bob Marley katika kazi iliyotukuka isiyoisha fashion ya no woman no cry (hakuna mwanamke hakuna kilio) No woman no cry lyrics by bob marley [Chorus] No woman, no cry No woman, no cry No woman, no cry No woman, no cry [Verse 1] 'Cause, 'cause, 'cause I remember a when-a we used to...
Back
Top Bottom