Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
Achana na Sekenke ya sasa hivi iliyochongwa, kuna ile ya zamani ambayo haikuwa na lami. Mara ya kwanza napita pale 2006 kwanza tukashushwa kwenye gari wakabaki wazee, watoto na wagonjwa, bus likaanza kukata mlima. Kwakweli ilikuwa hali ya kutisha.
Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan kama kiongozi halali wa Tanzania.” Alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ulitawaliwa na vitisho, vifo...
Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa chini ya 'Sheria ya Ugaidi' leo, kwa klipu aliyoirusha hewani saa chache kabla kwenye chaneli yake ya YouTube ambapo alisema:
"Israeli itafutwa kabla ya Palestina kuwa, na kama unavyojua, ni matakwa yangu na matumaini yangu."wachochezi...
Kwa wale tuliozaliwa na kukulia Arusha na Manyara lazima wengi wetu tunaijua au kuisikia shule ya msingi Manyara Ranch ilivyokuwa enzi hizo. Miaka ya 90 nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi hiyo shule ilikuwa kama vile shule maalum ya watoto watukutu... ikumbukwe shule ilikuwa porini makuyuni...
Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo.
Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea...
Katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii, inadaiwa ni tukio lililofanywa na mbunge wa Sumbawanga aliyemaliza muda wake na mtia nia pia kupitia CCM, Aeshi Khalfan Hilaly, kwa kugonga makusudi gari la Sultan Seif Salehe.
Rais wa Marekani Donald Trump anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia "kuwekwa katika maeneo yanayofaa" kujibu matamshi "ya uchochezi" ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev.
Trump alisema alitenda hilo "ikiwa tu kauli hizi za kipumbavu na za uchochezi ni zaidi ya hayo. Maneno ni muhimu...
Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980).
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayesimamia Usalama wa Taifa, Dr. Hassy (Hassan) Kitine amefariki dunia...
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo
Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima...
Kumekucha Burundi. Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kwa nchi za Kiafrika kuendesha demokrasia huru shindani ili kudumisha amani na kuleta maendeleo kwa wananchi? Kwa sababu vyama vingi vina faida ya kuichangamsha serikali iliyopo madarakani isilale na kujisahau.
Habari kamili:
Katika mkutano na...
Mbunge wa zamani wa Nyamagana, Lawrence Masha amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza.
Masha amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana, Deogratias Nakei.
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
drc
habari
jamhuri
joseph kabila
kabila
kidemokrasia
kongo
kutoa
marufuku
mstaafu
rais
rais mstaafu
raisi
serikali
shughuli
taarifa
vyombo
vyombo vya habari
wazamani
yapiga
yapiga marufuku
zamani
Asalaam Wakuu,, moja kwa moja Uzi tayari
Tujikumbushe Ubabe na Uhuni wa Zamani Mashuleni,,Taja Watu walio Vuma na kutikisa kwa Majina, Miaka hiyo Ukiwa Skuli
Joseph Kabila aliyekuwa Rais wa DRC amezungumza kwa video na akamuita Rais wa sasa wa DRC Dictator. Kabila amezungumza baada ya Bunge la DRC kumuondolea kinga ya kutokushitakiwa. Mamlaka za DRC zinataka kumshitaki kabila kwa makosa ya Uhaini na uhalifu wa kivita akihusishwa na M23.
Serikali ya...
#HABARI Bunge la seneti nchini DRC leo litapiga kura kuamua ikiwa limuondolee kinga rais wa zamani Joseph Kabila, ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya kivita pamoja na kushirikiana na waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda.
Maseneta watajadili kwanza kuhusu pendekezo hilo la jeshi la Congo kabla...
Mahakama ya rufaa ya Mauritania Jumatano imemuhukumu Rais wa zamani Mohamed Ould Abdel Aziz kifungo cha miaka 15 jela na kutoa faini ya dola milioni 3, na kuongeza kifungo cha awali cha miaka mitano kilichotolewa mnamo 2023 kwa mashtaka ya ufisadi.
Aziz, jenerali wa zamani wa jeshi ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.