wa zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mayala B

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kiliwafanya wazungu wa zamani waweze kuishi Afrika maporini lakin hawa wazungu wa leo hawawezi na wameshindwa?

    Aman iwe kwenu watumishi Wazungu wa zamani tulizoea kuwaona vijijin maporini kabisa wa kifanya kazi Hasa kazi kama utawa, upadre, udakitari, kilimo, na hata uwindaji Hakika waliweza na walifanikiwa Lakin basi kitu gan kimewakumba hawa vijana wa leo wa kizungu kushindwa kumudu kuishi Africa ...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kayandabila: Uchaguzi hauna uzoefu, fuateni mafunzo ya Uchaguzi wa mwaka huu

    Wasimamizi wasaidizi zaidi ya 600 wa vituo vya kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa wa jimbo la Tabora wametakiwa kutokutanguliza uzoefu wa usimamizi wa chaguzi zilizopita katika uchaguzi wa mwaka huu badala yake wafuate mafunzo na mwongozo wa usimamizi wanaopewa ili kuweza kufanikisha zoezi...
  3. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa zamani wa Marekani atoa wito wa kuondolewa mapema kwa Biden

    Luteni Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Marekani Michael Flynn amemtaka Makamu wa Rais Kamala Harris kutekeleza Marekebisho ya 25 ili kumzuia Rais Joe Biden kutoka "kulala usingizi" katika vita vya tatu vya dunia baada ya kuiruhusu Ukraine kutumia makombora ya ATACMS kushambulia ndani kabisa ya...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mume wa zamani wa Diva anampiga vyombo ndio maana mambo yanamuandama?

    Diva aliolewa na mganga wa kienyeji. Waliachana kwa tafrani kubwa hivi karibuni. Je fundi hiyo hampigi makombora yenye vichwa vya nyuklia? Maana hawa jamaa wana mambo yao. Mpaka Diva ana lala SegereMatata? Ukiangalia insta page yake, na hata watumishi wenzake, ni kama jamii inampigia yowe...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tayla kaurudisha Muziki wa zamani wa Beyonce na Rihanna

    Huyu Tayla ni binti mdogo lakini ni hatari. Hii nyimbo aliyo toa sasa kaziba midomo ya watu. Mwaacheni abebe tuzo zote nyie endeleeni kuruka hizo amapiano tuzo mtazisikia kwenye bomba. https://youtu.be/uLK2r3sG4lE?si=ui8-GXtbp_qEA1UK
  6. ILAN RAMON

    JamiiForums Tanzania Israel yamuua Salim Ayyash, wa Hisbollalieh aliyehukumiwa na Mahakama Kuu ya Lebanon kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani Rafik Hariri

    Salim Ayyash, gaidi wa Hezbollah, alietiwa hatiani kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani, Rafik Hariri, ambaye alikuwa mzalendo wa Lebanon anayejulikana kwa kujenga upya Beirut baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ripoti zinadai kuwa aliuawa katika shambulizi la Israel nchini Syria...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mrembo mwenye asili ya Nigeria ajitoa kuwania Taji la Miss South Africa 2024

    Baada ya Mashindano ya Urembo kuzua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni. Baada taarifa hiyo leo Chidimma Adetshina ametoa taarifa kupitia mitandao yake ya Kijamii ya...
  8. Ze Heby

    JamiiForums Tanzania TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti. Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mendy asema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wa zamani wa Manchester City

    Beki wa zamani wa Manchester City Benjamin Mendy anasema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wakati huo Raheem Sterling, Bernardo Silva na Riyad Mahrez wakati klabu hiyo ilipoacha kumlipa baada ya kushtakiwa kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono, aliiambia mahakama ya ajira. Beki huyo wa...
  10. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hivi manabii wazamani na mitume wa zamani walikuwa waarabu au wayahudi?

    Kuna kitu nashindwaga kuelewa kuhusu manabii na mitume wote wazamani Ukisikiliza ndugu zetu waislam wanasemaga manabii wengi walikuwa waarabu Mfano ni video fulani ambayo niliona kwenye YouTube Chanel ya kislam inasema manabii wengi walikuwa waarabu Kutokana na video hiyo ni ivi Adam ( sir...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya mikoani inabidi muwe na muda maalum wa kuwasha na kuzima TV

    Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu. Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Kikeke katumwa na kufadhiliwa kimkakati na waajiri wake wa zamani?

    Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
  13. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Botswana afikishwa Mahakamani kwa mashtaka ya Makosa Jinani baada ya kurejea nchini humo

    Rais Ian Khama, amerejea Botswana baada ya kuishi uhamishoni Afrika Kusini kwa takriban tangu Mwaka 2021. Ijumaa ya Septemba 13, 2024, alifikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka 14, ikiwemo umiliki haramu wa silaha na utakatishaji fedha. Khama ameyakana mashtaka hayo, akidai kuwa ni...
  14. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hawa ni Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD

    Kama mkiweza kuweka na picha ya Watangazaji mnaowajua itapendeza zaidi. Picha na jina la Mtangazaji. Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic na National panasonic au maarufu kwa jina la dudu proof Orodha ya Majina haya hapa: Abdallah Iddrissa...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kumuua mwanariadha Rebecca Cheptegei naye aaga dunia akiwa hospitali

    Dickson Ndiema, mpenzi wa zamani wa Rebecca Cheptegei, amefariki hospitalini. Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Uganda, marehemu Rebecca Cheptegei, ambaye alikuwa akituhumiwa kumuua kwa kumwagia petroli na kumchoma moto, amefariki kutokana na majeraha ya moto aliyoyapata wakati wa shambulio...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mababu zetu wa zamani, kimsingi hawakujua kanisa wala msikiti wako motoni au ilikuaje?

    Wakuu. Leo swali langu ni dogo sana kama nilivoandika huko juu, Mababu na mabibi zetu wa enzi na enzi hizo miaka hiyo mingi iliyopita, Ambao walikua hawajui kanisa wala msikiti na hawakujua kusoma wala kuandika muda huu wako motoni au wako wapi hasa,
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nyota wa zamani wa Arsenal na Liverpool Alex Oxlade-Chamberlain mbioni kurejea katika Premier League

    Ex-Arsenal and Liverpool star Alex Oxlade-Chamberlain ‘in talks’ over shock transfer to return to Premier League ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN is reportedly in talks over a shock Premier League return with Brentford. The former Arsenal and Liverpool midfielder spent the past year playing for...
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wa zamani waliweza kuishi na ndugu wengi nyumbani, lakini kizazi hiki ni ngumu kuishi na ndugu?

    Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na kuondoka, mabinti wengine walikua wanakuja kujifunza cherehani na kuondoka, na sio kwamba mzee...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Argentina atuhumiwa kwa kosa la Unyanyasaji

    Rais wa zamani wa Argentina, Albero Fernandez (65) anatuhumiwa kwa mashtaka ya Unyanyasaji dhidi ya mke wake wa zamani Fabiola Yañez (43) Waendesha mashataka nchini humo wameanza uchunguzi dhidi ya tuhuma hizo baada ya Fabiola kuwasilisha mashtaka ya kupigwa na kulazimishwa kutoa ujauzito...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Mwanamke kwa wapenzi wa zamani (Kulinganisha)

    Hii picha imenifikirisha sana jinsi bidada anavyowakumbuka wanaume zake wa zamani. NI NGUMU SANA KUMRIDHISHA MWANAMKE WA AINA HII.
Back
Top Bottom