vyuo

  1. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ubora wa Vyuo vya Elimu ya Juu Uganda

    Habari wana bodi? Naomba kujua ubora wa vyuo vingi vya Uganda, hasa vya private ukoje? maana nlijarbu kutembelea website ya "TCU" ya kwao :D :D :D naona vyuo vingi vya private vina usajili wa muda (Provisional License to operate as University) je viko vizuri? maana kimtaan vina majina makubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Prof. Anangisye: Chuo Kikuu makini hakiwezi kuvumilia Wanataaluma wasiofanya Utafiti

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Prof. William Anangisye amesema Utafiti ni muhimu kwa maendeleo kwa Umma na ulimwengu wa ujumla akiongeza kupitia Tafiti hizo, Chuo vina wajibu wa kutatua changamoto zinazokabili jamii. Ameeleza hayo Mei 24, 2021 katika Maadhimisho ya Sita ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wapendwa naomba kujuzwa kuhusu vyuo hivi kuelekea udahili wa masomo ngazi ya astashahada na stahada 2021/2022

    Habari za wakati huu kila mmoja,poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. wapendwa naomba kujuzwa kati ya vyuo hivi LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL,KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,TANGA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MTWARA COLLEGE OF...
  4. JamiiForums Tanzania Wahitimu wa vyuo wanajitolea Serikalini na mashirika yake wapewe kipaumbele ajira

    Kuna vijana wahitimu wa vyuo vikuu wengi wameajiriwa kwa mikataba ya kujitolea serikali za mitaa serikali kuu na mashirika ya umma. Hakika inauma sana unapoona mtu amesota miaka miwili halafu nafasi imetoka anaomba halafu anapewa mtu mpya hajatoa jasho lolote kujitolea. Kwa vyovyote yafaa...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

    Ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini,Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba ameshauri vyuo vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili wanafunzi. Amesema wazazi wengi hasa vijijini wanatumia wamechoshwa na mfumo wa elimu jinsi unavyofilisi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sera ya Vyuo Vikuu kubakiza wahitimu wenye ufaulu wa juu badala ya kuajiri wasomi walio- practice unaathri ubora wa elimu inayotolewa vyuoni

    Utaratibu huu ambao ndio kama sera ya vyuo vikuu vingi nchini kiliwemo Chuo Kikuu cha Dar -es-Salaam, sio tu umepitwa na wakati, bali pia haufai kwani unachangia vyuo kuwa na walimu ambao hawaja-practice katika field wanazofundisha na hivyo kuzalisha wasomi wenye kukosa maarifa na uzoefu...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Umma; Mama Samia Rais wetu vinusuru Vyuo hivi

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya hali ilivyo katika vyuo vikuu vyetu vya umma. Ninazo hoja sita, leo nitawasilisha mbili na zingine nitawasilisha ndani ya juma hili. Ajira za Maprofesa katika vyuo vikuu vya umma na hali halisi ilivyo hivi sasa katika vyuo hivi Mitaala ya Vyuo Vikuu...
  8. JamiiForums Tanzania Maprofessa wetu tatizo ni elimu au vyuo walivyosomea?

    Kwa jina la Jamhuri salaam wana bodi, Tatizo ni nini wana jamvi? Kila ninapopata nafasi ya kumfatilia profesa na baadhi ya madaktari wanaofahamika ambao wengi wao wana nyadhifa mbalimbali hasa za kisiasa, nashindwa kuelewa kama ni wasomi au la! Unapata professa anatoa povu tu na haeleweki...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2021 kurejesha furaha ya watumishi na wahitimu? Rais Samia ni tumaini jipya

    Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao. Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais: Mishahara kupanda Kupanda madaraja Kupanda vyeo...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua vyuo vya private vinavyotoa Diploma ya Ualimu wa sayansi sekondary

    Wana jf naombeni kwa yeyote anaejua au anaesomea au aliesomea diploma ya ualimu wa sayans sekondar anitajie vyuo vya private vinavyotoa hyo kozi.
  11. JamiiForums Tanzania Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

    Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020 Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono vyuo vikuu

    Kiukweli, sikuwasikiliza kichele na mbogo sababu ni waongo waongo, hawa wawili walichangia sana kuharibu uendeshaji wa serikali kwa kufuata misingi ya utawala bora, wanatia kichefu chefu sana. Sasa sielewi kati yao ni nani aliyewasilisha taarifa ya rushwa ya ngono vyuo vikuu mbele ya Bi. Samia...
  13. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ifute mikopo ya halmashauri badala yake mikopo hiyo ielekezwe kwa wahitimu wa vyuo na walemavu

    Habari wanabodi..! Nilikuwa nashauri hii mikopo inayotolewa na halmashauri ifutiliwe mbali badala yake mikopo itolewe kwa wanavyuo wanaohitimu na waliohitimu pamoja na watu wenye ulemavu. Huu ni ukweli usiopindika mikopo ya halmashauri imekuwa haiinufaishi serikali wala kuwanufaisha wahusika...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ingekua vizuri mitani ya UE Vyuo Vikuu iwe inatungwa na kusahihishwa na TCU

    Naomba rejea kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu. Kama tunavyojua kuna baadhi ya vyuo hapa Tanzania vimekua vikigawa ufaulu wa bure kwa wanafunzi wao na kuwafanya waonekane wamefaulu sana na kuhitimu na ma GPA makubwa ambayo hayaendani na uwezo walionao kichwani. Pia kuna baadhi ya...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kuhusu application za vyuo

    Niliapply chuo mwaka Jana nikachaguliwa zaidi ya chuo kimoja ,Ila sikufanikiwa kwenda na pia siku confirm vyuo vyote viwili . Je? Naweza kuapply Tena mwaka huu
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Neno "watanionaje" ndio linawafanya graduates wengi kuchagua kazi

    Habarini wanaJF, nakumbuka kauli ya mgombea uraisi wa UKAWA 2015 Ndugu Edward Lowasa alotamka kuwa tatizo la ajira tusipokuwa makini litakuja kuwa bomu, sasa ni rasmi kauli yake imetimia. Kwa sasa ajira kwa wahitimu ishakuwa ngumu, tena baada miaka miwili au mitatu litakuwa kubwa zaidi. Kama ni...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

    Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao! Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hili la Ukosefu wa Ajira tatizo lilianzia hapa kwenye D2, wazazi tuwaambie vijana ukweli, vyuo vya ovyo ovyo elimu ovyo!

    Ndugu wazazi wenzangu wasalamu, Kuna jambo nataka niwaeleze, na hii ni pamoja na vijana wenzangu, wanaopata maisha ya tabu kwenda kusoma miaka zaid ya 18 kutegemea ndoto ambazo hazitimii. Nitaeleza kidogo: Hapo zamani kidogo, chini ya miaka ya 2000s ilikuwa ni lazima mtoto afaulu Darasa la...
  19. JamiiForums Tanzania Taasisi za Serikali zinasaidia kupotosha ufahamu wa watu kuhusu COVID-19. Hata Vyuo vikuu!

    Kinachotokea nchini ni mchanganyiko ni ukosefu wa maarifa toka kwa wahusika wanaotakiwa kufanya hivyo. Kama alivyosema Mganga mkuu wa serikali, kuna watu wanataka kusikia kinachosemwa na viongozi ndo wachukuwe hatua za kujikinga. Bahati mbaya wanaotakiwa kusema hawasemi ukweli. Masikitiko...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Chaya: Elimu ya nadharia kwenye vyuo ndio inaleta changamoto ya ajira kwa Vijana

    Mbunge wa Manyoni Mashariki, Dk Pius Chaya (CCM) alisema tatizo la ajira kwa vijana wanaohitimu vyuo vya kati na vikuu nchini katika ngazi za cheti, stashahada na shahada ni kubwa. Dk Chaya alisema tatizo lipo si kwa sababu elimu ni mbovu, ila kutokana na mfumo wa elimu ambao mwanachuo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…