EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Naomba rejea kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu.
Kama tunavyojua kuna baadhi ya vyuo hapa Tanzania vimekua vikigawa ufaulu wa bure kwa wanafunzi wao na kuwafanya waonekane wamefaulu sana na kuhitimu na ma GPA makubwa ambayo hayaendani na uwezo walionao kichwani.
Pia kuna baadhi ya wanafunzi wamekua wakitoa rushwa ili tu wafaulu vizuri katika mitihani yao. Hivyo kumekua na udanganyifu katika baadhi ya matokeo ya wanafunzi wa vyuo vikuu.
Hivyo basi ili kuondoa matatizo haya pamoja na kuleta usawa katika ufaulu mchakato mzima wa kutunga, kusimamia na kusahihisha mitihani ya mwisho wangekabidhiwa TCU.
Poleni wana vyuo vya kata kwa huu uzi, ndio umefika hivyo.