Ombi: Vyuo vya Ualimu Kilimo vya Serikali kwa Diploma 2021

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,571
Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo.

Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba.

Mwanafunzi ana CEE ya CBG.

Asanteni Sana
 
Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo.

Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba.

Mwanafunzi ana CEE ya CBG.

Asanteni Sana
Google utavipata. NACTE hawaweki, nendaa kwenye chuo kachukue form.

Agriculture and livestock Training colleges in tanzania

There are numerous Agriculture and livestock Training colleges in Tanzania. Fortunately, this does not have to be a problem. With the many Agriculture and livestock Training colleges available in Tanzania it is easy to narrow down your choice and settle for a most appropriate training college. The important thing is to note the requirements that each of the college has. This article lists Agriculture and livestock Training colleges in tanzania,

 
Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo.

Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba.

Mwanafunzi ana CEE ya CBG.

Asanteni Sana
Tembelea tovuti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kubonyeza link hii ambayo itakupelekea moja kwa moja kwenye kusoma maelekezo ya sifa za kujiunga na mafunzo ya stashahada ya ualimu kwa masomo uliyotaja hapo juu. Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia
Ingawa kwa tahsusi aliyosoma haimruhusu kusoma somo la kilimo kwa maana hakufanya mtihani wa somo A'level
 
Back
Top Bottom