Vyuo vyetu vinazalisha wataalamu ambao hawatahitajika

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,030
3,908
Habari,

Kwanza niseme tu kwamba mimi ni mdau wa elimu na ninafuatilia kwa ukaribu sana uelekeo wa elimu ya nchi yetu.

Kwa kipindi cha miaka 15 iliyopita nimebahatika kufuatilia kwa ukaribu uelekeo wa mafunzo,aina ya mafunzo,nyenzo za mafunzo yanayotolewa katika taasisi za elimu hapa nchini kuanzia ngazi ya chini mpaka chuo kikuu. Nilichokigundua ni kwamba 80% ya taaluma zinatolewa kwa sasa hapa nchini hazitahitajika miaka 15 ijayo katika namna ambavyo zinatolewa.

Taaluma nyingi zinazotolewa ni ama hazihitajiki kabisa au hata kama zitahitajika sio katika namna ambavyo zinatolewa.

Swali la kujiuliza ni je, wataalam wetu hawalioni hili? Watunga sera hawalioni hili? Wanapofanyia watu usahili wa ajira hawaligundui hili?Wanapoajiri fresh graduates hawalioni hili? Kama wanaliona je wanachukua hatua gani?

Lazima tukubaliane na ukweli kwamba mfumo wetu wa elimu unatakiwa utazamwe kwa umakini sana tusije tukafikiri tunaelekea upande sahihi kumbe tunapotea.

Vyuo sio taasisi za kuuza vyeti, ni sehemu ya kuendeleza maarifa kwa kutafiti na kufundisha.

Naliona janga linalinyemelea taifa letu.
 
Wewe unapo-apply huwa unakuwa huoni hilo?

Kuna kitu huelewi, watu wengi wanasoma kupata title tu, hayo mengine yatafahamika mbele.
 
Habari;
Kwanza niseme tu kwamba mimi ni mdau wa elimu na ninafuatilia kwa ukaribu sana uelekeo wa elimu ya nchi yetu.

Kwa kipindi cha miaka 15 iliyopita nimebahatika kufuatilia kwa ukaribu uelekeo wa mafunzo,aina ya mafunzo,nyenzo za mafunzo yanayotolewa katika taasisi za elimu hapa nchini kuanzia ngazi ya chini mpaka chuo kikuu.Nilichokigundua ni kwamba 80% ya taaluma zinatolewa kwa sasa hapa nchini hazitahitajika miaka 15 ijayo katika namna ambavyo zinatolewa.

Taaluma nyingi zinazotolewa ni ama hazihitajiki kabisa au hata kama zitahitajika sio katika namna ambavyo zinatolewa.

Swali la kujiuliza ni Je wataalam wetu hawalioni hili?Watunga sera hawalioni hili?Wanapofanyia watu usahili wa ajira hawaligundui hili?Wanapoajiri fresh graduates hawalioni hili?Kama wanaliona je wanachukua hatua gani?

Lazima tukubaliane na ukweli kwamba mfumo wetu wa elimu unatakiwa utazamwe kwa umakini sana tusije tukafikiri tunaelekea upande sahihi kumbe tunapotea.

Vyuo sio taasisi za kuuza vyeti,ni sehemu ya kuendeleza maarifa kwa kutafiti na kufundisha,

Naliona janga linalinyemelea taifa letu.
Nyambulisha ni elimu gan maan me ndio nishachukua fomu ya kujiunga chuo fulan na course fulan.
 
Hapo mchawi Veta tu, acha watudharau na Madegree yao kam hujaingia kweny siasa jua tutakusaidia sisi buku za vocha.
 
Habari,

Kwanza niseme tu kwamba mimi ni mdau wa elimu na ninafuatilia kwa ukaribu sana uelekeo wa elimu ya nchi yetu.

Kwa kipindi cha miaka 15 iliyopita nimebahatika kufuatilia kwa ukaribu uelekeo wa mafunzo,aina ya mafunzo,nyenzo za mafunzo yanayotolewa katika taasisi za elimu hapa nchini kuanzia ngazi ya chini mpaka chuo kikuu. Nilichokigundua ni kwamba 80% ya taaluma zinatolewa kwa sasa hapa nchini hazitahitajika miaka 15 ijayo katika namna ambavyo zinatolewa.

Taaluma nyingi zinazotolewa ni ama hazihitajiki kabisa au hata kama zitahitajika sio katika namna ambavyo zinatolewa.

Swali la kujiuliza ni je, wataalam wetu hawalioni hili? Watunga sera hawalioni hili? Wanapofanyia watu usahili wa ajira hawaligundui hili?Wanapoajiri fresh graduates hawalioni hili? Kama wanaliona je wanachukua hatua gani?

Lazima tukubaliane na ukweli kwamba mfumo wetu wa elimu unatakiwa utazamwe kwa umakini sana tusije tukafikiri tunaelekea upande sahihi kumbe tunapotea.

Vyuo sio taasisi za kuuza vyeti, ni sehemu ya kuendeleza maarifa kwa kutafiti na kufundisha.

Naliona janga linalinyemelea taifa letu.
Upo sahihi ila nani wa kurekebisha wakati wote wanaelimu hio ya kizamani. Ni sawa binadamu kutaka kujiongezea uwezo wakati hana, mungu alishamuumba hivyo hana uwezo wa kuota mbawa ili aruke, hana uwezo wa kujiongezea macho ili aone kila kona.
Sisi uwezo wetu wa kielimu upo chini hivyo tutajidanganta kufumua mfumo ili uwe bora, unawezaje kutengeneza kitu bora wakati wewe sio bora!
Kama tutawapa kandarasi waturekebushie waliotuzidi sawa ila sisi wenyewe hatuwezi labda kujidanganya tu.
 
Back
Top Bottom