Maombi vyuo vikuu mwaka huu vipi?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wakuu, mie nina kijana aliyemaliza kidato cha sita na sasa yupo JKT kwa mujibu wa sheria.

Nimepata taarifa kuwa mwaka huu vijana hawaruhusiwi kurejea nyumbani kipindi cha kutuma maombi ya kujiunga na vyuo kwa mujibu wa TCU {Tanzania Commission for Universities} badala yake eti patakuwa na mtu atakae fanya kazi hiyo kwa sh laki moja.

Hii inakaaje?
 
Kama una namba yake muulize anataka kuchagua kozi gani kisha umfanyie application kwa watu wanaojua. Heri ukikosa mtu wa karibu ulipe 10,000 stationary kwa kila chuo utafanyiwa application. Mkopo ameomba au hana haja nao
 
Ndo utaratibu ninao ufahamu kwani hata mwaka jana nilifanya hivo hivo. Sasa mwaka huu hili suala la kutowaruhusu vijana kurejea nyumbani ndo tatizo bora TCU ingesubiri wamalize mafunzo hayo ya JKT ndo wawafungulie maombi.
 
Nlisoma mahala walisema watawafanyia utaratibu waombe wakiwa huko. Ila nna hakika hamna mtu atapoteza nafasi kwa jambo hilo mana serikali wanalijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inasumbua, waangalie utaratibu mpya. Hii inatoa nafuu kwa wale ambao hawakwenda JKT kufanya maombi kwa uhuru mkubwa pasi na shaka.
 
Back
Top Bottom