vyuo

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Haja ya Ripoti ya CAG kuchunguza Mitaala ya Kozi za Vyuo vya Tanzania

    Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa. Wengi wanaamini kuwa moja ya changamoto kubwa ni mitaala ya kozi za vyuo vya Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na wito kwa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi waandaa mafunzo maalum kwa madereva wenye leseni lakini hawakupita vyuo vya udereva na wasio na leseni

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga akiwa katika Stendi ya Mabasi Kabwe Jijini Mbeya, amezindua wiki ya nenda kwa usalama barabarani Kimkoa kwa kufanya ukaguzi wa vyombo vya moto, magari, pikipiki na bajaji pamoja na kubandika Stika za nenda kwa usalama barabarani. Akizindua...
  3. ryaniza

    JamiiForums Tanzania HESLB na serikali wafikirieni watoto wa Mwaka wa kwanza Vyuo Vikuu

    Asilimia kubwa ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuo vikuu ambao ni wanufaika wa mikopo ya serikali. Yaani wanategemea mikopo ya serikali wanapita kwenye wakati mgumu wakipewa ahadi za kuingiziwa hela bila mafanikio yoyote, HESLB pamoja na serikali iliangalie hiki suala natumaini wao pia ni watu...
  4. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua college au vyuo vya ufundi nje ya Tanzania kama vile Marekani, Canada n.k

    Habali wakuu? Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea. Nimejalibu njia nyingi lkn bado sijafanikiwa nikaona ngoja nijalibu kwa upande wa elimu. Mimi...
  5. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma

    Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma Naombeni msaada ndugu zangu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya NACTE vinafungwa lini?

    Mwenye kujua vyuo vya NACTE vitamaliza muhula wa pili mwezi gani ie semester 2 inafungwa lini? Zamani kulikuwa na ratiba ya masomo, sasa ni vurugu tupu!
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kagusa Watumishi kwa Mikopo ya Elimu nchini kuanzia Vyuo vya kawaida, Kati na Vyuo Vikuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kurahisisha ugumu wa maisha Kwa watumishi. Mnamo tarehe 14.3.2023 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ikishirikiana na benki ya NMB wameanzisha mfuko uitwao Elimu Loan. Mfuko huu utatoa mikopo kwa riba ya 9%, hii...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini sana katika kuchagua vyuo hasa vya NACTE kuwapeleka watoto wenu

    Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo. . Hakuna watoto wanachosoma cha kuwasaidia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chongolo ni ufedhuli kwa wasomi wa vyuo vikuu. Ipingwe!

    Chongolo amewataka wasomi wa vyuo vikuu kwenda veta ili wakapate uwezo wa kujiajiri. Kauli hii inatoa tafsiri hasi nyingi sana dhidi ya wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu vyenyewe. Mosi, inatoa tafsiri kwamba elimu ya vyuo vikuu ni dhaifu ukilinganisha na ile ya veta. Kama hivi ndivyo. Je...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanafanyaje mpaka Watoto wadogo chini ya miaka 13 wanahitimu degree kwenye vyuo vikuu majuu

    Habari wadau. Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu. Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc. Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto. Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Karibu asilimia 70% ya maswali ya baadhi ya waandishi wa habari Bongo ni ya ovyo; nina wasiwasi na ubora wa vyuo vya habari

    Nimefuatilia mahojiano (interview) nyingi za waandishi wa habari Tanzania! Wengi wao wanamaswali ya hovyo na kipuuzi kuliko mahitaji ya jamii inachohitaji kujulishwa! Maswali yao mengi yapo kwenye mlengo wa taharuki kwamba Flani kasema vile na vile almradi tu jambo lionekane la kuishangaza...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipa TCU bilioni 6.1 kuimarisha ubora vyuo vikuu

    SERIKALI imeipatia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Sh. bil 6.4 kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha uthibiti ubora na uhuishaji wa mitaala ya vyuo vikuu ambapo zaidi ya mitaala 300 ya vyuo vikuu iko katika hatua mbalimbali za kufanyiwa mapitio...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

    Hello Wadau.. Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200. Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake. Dkt. Musukuma amesema...
  14. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Kwenye Vyuo vya VETA RVTSC, DVTC na VTC inamaanisha nini?

    Nimeona vyuo vya VETA vimecategorized mara RVTSC, DVTC na VTC, Je! vinatofautianaje kwa utoaji wa coarse mbalimbali hapa Tanzania.
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Serikali inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri

    Serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga kampasi za vyuo 6 katika mikoa 14 nchini

    Wakati wa mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TAHLISO) uliofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma jana, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kujenga kampasi za vyuo vikuu katika mikoa...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Vyuo Vikuu vyatakiwa kufungwa kupisha Uchaguzi Mkuu

    Tume ya Vyuo Vikuu vya Kitaifa ya Nigeria (NUC) imetangaza maamuzi hayo ya kufungwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 14, 2023 wakati Uchaguzi Mkuu ukitarajiwa kufanyika Februari 25, 2023. Wamesema maamuzi hayo yamefanyika kwa ajili ya kulinda usalama wa wanafunzi na Wafanyakazi wa Vyuo, lakini...
  18. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Kati visipandishwe kutoa Degree

    Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na wimbi la kupandisha Vyuo vingi kutoka hadhi ya kutoa cheti na Diploma hadi ngazi ya kutoa Degree. Vijana wengi wa kidato cha nne na cha sita wakipikwa kwa Ngazi ya Diploma kwa miaka mitatu wanatoka wakiwa watendaji/ wazalishaji wazuri sana. Hiyo Ngazi ndiyo...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mtaala yasisahau kuzifuta kozi ambazo hazitoi ajira kwa wahitimu wa vyuo

    Kuna utitiri wa kozi zinafundishwa vyuoni zinazosababisha unemployment rate katika taifa letu kukua kwa kasi. Nabadala yake watoto wanahitimu hizo kozi wanabaki hawana ajira lawama zote zinabaki kwa serikali. Tupo kwenye mchakato wa kubadili mtaala wetu ili uendane na mazingira yetu. Basi...
  20. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

    Moja kwa Moja kwenye mada.. Walimu na wakufunzi wa Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha mwl.Nyerere kilichopo Butiama Mkoani Mara wamekaa miaka 14 Bila kufundisha huku wakipokea mshahara.. Hali hii imetokana na Kukosa Wanafunzi na madarasa.. Swali, Kwanini Serikali isifute hivi vyuo vikuu...
Back
Top Bottom