Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,331
8,254
Maoni yako ni yepi juu ya hili:
Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu.

Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala ya kusoma vitabu.
 
Tukiachana na mengineyo, wakati unaandika hivi akili yako ilitakiwa ikutume kuwa hao waliotoka chuo wamepitia hiyo form six na hizo combinations PCM, PCB, CBG wamezisoma wengine. Tena walioenda chuo ni wale tu walifaulu. Kwanini miaka minne iliyopita alikuwa na uelewa sana alipohitimu six na sasa hajui baada ya kupita chuo, au uelewa siku hizi una expiration date, au ili uelewe chuo inabidi ufute akili za A level.

Na sijajua kwanini umetaja combinations tatu za sayansi, labda nyinginezo unahisi wahitimu wa form six uelewa wao sio zaidi ya waliotoka chuo kama unavyodhani kwa hizo tatu. PGM, CBN na CBA sijui au hizi zilifutwa.
 
wanachofundishwa zaidi vyuoni siyo masomo ya kufundishia ni teaching methodologies ambazo ukiwa form six sijui wapi hufundishwi.
Tofautisha kujua physics kama somo na kujua mbinu za kufundisha physics
umeandika jambo usilolijua sijui ulitaka kuleta ujumbe gani
mtu aliyepata A ya Chemistry kama hajapita chuo anaweza akakufundisha usielewe
 
Transition from reading books to using google, material zote zinasepa kichwani
 
wanachofundishwa zaidi vyuoni siyo masomo ya kufundishia ni teaching methodologies ambazo ukiwa form six sijui wapi hufundishwi.
Tofautisha kujua physics kama somo na kujua mbinu za kufundisha physics
umeandika jambo usilolijua sijui ulitaka kuleta ujumbe gani
mtu aliyepata A ya Chemistry kama hajapita chuo anaweza akakufundisha usielewe
Acha ujanja kaka, Unga amesoma teaching methodologies wapi. Na walimu wengi wa private schools wala hawaasomea huo ualimu unaousema.
 
Maoni yako ni yepi juu ya hili:
Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu.

Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala ya kusoma vitabu.
Nenda kawaulize wanajua maana ya ualimu kisha uje hapa
 
Back
Top Bottom