Nimetembelea hospitali moja yenye jina kubwa tu hapa mjini Dar es salaam, Nilichokiona kimenishangaza sana.
Jinsi hiki choo chao kilivyowekwa kila kitu sehemu moja na mlango wa choo ni mmoja, yaani kama mkiingia wawili basi mnaonana.
Uwepo wa vyoo bora ni muhimu sana katika shule ili kuhakikisha mazingira salama na afya kwa Wanafunzi ili kuwezesha suala la ufundishaji na ujifunzaji. Hata hivyo katika shule jumuishi changamoto hujitokeza linapokuja suala la vyoo kwa Wanafunzi wenye ulemavu na wenye mahitaji maalumu. Suala...
Mdau ameshusha andiko lake hili hapa, tulisome tunaweza kupata kitu au ikiwezekana wahusika wachukue hatua...
Japokuwa maonesho yanaelekea mwishoni lakini si vibaya tukipaza sauti changamoto ya huduma mbovu ya vyoo vinavyotumiwa na Wanawake ndani ya maonesho ya Viwanja vya SabaSaba, kwa ufupi...
Karibu Benki zote hazina huduma ya vyoo kwa wateja hapa nchini, tunafahamu Benk ni kwajili ya kuweka hela na kutoa hela lakini ofisi nyingi vyoo ni vya watumishi tuu, sasa kama mabenki wateja ndiyo washirika wao kwanini vyoo vinakuwa ni tatizo kwao?
Je, wateja wao hawana mahitaji ya kwenda...
Unabanwa haja ukiwa baa au klabu, unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi. Baadae anatoka mwanaume na mwanamke.
Hii imekithiri sana hapa Bongo.
Kumekuwa na tabia ya wananchi wasiostaarabika kufungulia chemba za vyoo(Kutapisha Vyoo) kipindi cha mvua zinaponyesha.
Hii tabia ya kishenzi ipo hasa Dar es Salaam mitaa ambayo miundombinu ya gari la kunyonya majitaka ni mibovu kiasi kwamba hapafikiki kwa urahisi. Pia wengine wenye tabia hiyo...
Wajenzi wa vyoo vya kisasa visivyo jaa kabisa
.Sifa za mashimo yetu
.Hayajai
.Hayatoi harufu kabisa
.Huondoa kero ya kunyonya maji taka mara kwa mara
. Huondoa gharama za kunyonya maji taka
.Huchukua eneo dogo sana ya nafasi katika eneo lako
.Call us
.0743257669
Kwa milioni 1 tu...
Taarifa Jamii Forums hali ni mbaya kwenye Stendi ya Mabasi makubwa iliyopo Mbezi Luis maarufu kama Mbezi Mwisho, hakuna huduma ya maji kwa muda wa siku tatu sasa.
Kuanzia juzi Machi 26, 2023 hadi ninavyoandika muda huu asubuhi ya Machi 28, 2023, mamlaka zitusaidie
Kwenye vyoo napo mambo si...
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao.
Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu.
Nimeona taarifa hii kuhusu Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini Jijini Dar es Salaam kulalamika kuwa juu ya ubovu wa miundombinu ya soko hilo, ikiwemo uchakavu wa vyoo pamoja na kukosekana kwa sehemu maalum ya kutupa taka.
Kuna Mfanyabiashara Robert Swai ambaye amehojiwa na kusema soko...
DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA UJENZI WA VYOO, CHUMBA CHA KUJIFUNGULIA KINAMAMA N.K.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali Jimboni na kuchangia fedha ujenzi huku akisikiliza kero za...
Shule ya Singi Keza Wilayani Ngara, hatihati kufungwa kwa Ukosefu wa Vyoo unaopelekea mazingira ya shule kuwa Magumu Kufundisha na kujifunzia.
Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro, ametoa Mil 3 kutengeneza vyoo vya dharura ili Shule isifungwe. Ruhoro amesema shule ni ya miaka mingi...
Nimepita Igunga nikielekea Muleba kwa ajili ya Mwaka Mpya na Familia yangu. Nimesimama kwenye Kituo cha mafuta kinaitwa Galaxy hapo Igunga, Kuna tatizo la vyoo nilikuwa naliona maeneo mengi ila jamaa wameweza. Vyoo visafi husikii harufu ya mikojo wala kinyesi. Maji vyooni ya kutosha na sabuni za...
NB: Haihusishi walemavu ambao inabidi wavitumie vyoo vya kukalia.
Kiukweli linapokuja suala la kwenda haja, choo cha kuchuchumaa ni kizuri zadi kuliko cha kukaa..
1. mkao wa Mchuchuma ndio pozi la asili kwajili ya kutoa haja kwa ufanisi wa hali ya juu, njia ya haja linafunguka zaidi pale...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wasaidie mgao wa fedha za tozo ulizokusanya walimu wa Sekondari ya Hassanal Damji waweze kujenga vyoo waondokane na aibu hii kubwa.
Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa
Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya...
Wadau hii imekuwa kero, mtu umekaa mahali unapata chakula unasikia harufu mbaya na kuanza kuhisi kuna mtu amepumua. Baadaye unagundua ni gari linavuta choo kwa jirani.
Kwanini magari haya yasiwekewe utaratibu yawe yanavuta usiku, nasema usiku kwa sababu kunakuwa na idadi kubwa ya watu...
Poleni na Tozo mbali mbali ma bibi na mabwana.
Katika harakati za kila siku, unaweza jikuta upo katika ofisi, Eneo la Kazi ,au Eneo la biashara fulani. Basi ukajikuta umebanwa na haja either ndogo au kubwa na ukaomba uende maliwatoni. Ghafla baada ya kufika OFISI KUU hio ukakuta hadhi ya jina...
Ninaamini wapo wanakanyaga kwenye toilet hizi za kukaa chooni.
Somo lahusu maradhi ya ngozi, UTI nk. Wakina mama sijui wenzangu Me wawapo faraghani. Nimeshuhudia partner wangu 30 ama 45 wanafika niliOingia nao maeneo ya kuondoka stress na kupapasana.
Kama hivi ndivyo walivyo wote naaapa Ile...
Teknolojia zimetoa mchango mkubwa kwenye mapambano ya China dhidi ya janga la virusi, hasa kwenye kipindi ambacho inakuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.
Vyoo vya kisasa vinavyohamishika vimekuwa sifa maalumu ya mfumo wa mzunguko uliofungwa kwenye michezo hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.