vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Sheria ya vyombo vya usafiri.

    Ndg wanajukwaa salam.Naomba kufahamu sheria inasemaje kwa wanaondesha vyombo vya moto bila plate namba?Hususanh pikipiki mana gari sijaona sana.
  2. 0743919950

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukaidi wa sheria kutoka kwa madereva na wamiliki vyombo vya usafiri maarufu kama bodaboda

    Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
  3. Mu7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mshindi wa Urais Kenya kutangazwa saa 9:00 mchana

    Stay tuned
  4. Daby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kwanini vyombo vya habari nchini Kenya vimeacha kuonesha matokeo ya urais?

    Toka juzi vyombo vya habari nchini Kenya viliweza kurusha matokeo ya urais. Leo asubuhi wameacha kuonyesha. Hii ni kwa vyombo vyote, Kilichobaki tu ni kuonyesha matokeo ya kila Kaunti. Nashindwa kuelewa shida nini maana tumekuwa tunafuatilia kwa urahisi. Sasa, Shida ni nini? Ni kweli mtandao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania AJABU: Vyombo vya Habari Tanzania na Watanzania tunavyofuatilia uchaguzi Kenya, tuna maslahi gani haswa?

    Wana JF nisaidieni. Asubuhi mchana usiku taarifa za maendeleo ya Uchaguzi Kenya katika vyombo vya habari hapa Tz hadi kushangaza. Labda niko nyuma ya wengine lakini najiuliza ni lipi hasa la kutufanya tushabikie na kushobokea uchaguzi wa wenzetu kwa kiasi hicho? Ingelikuwa Marekani ama...
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Habari wakuu! Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na...
  7. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi Kenya yavitaka vyombo vya habari kuongeza kasi kuripoti matokeo

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati, amevitaka Vyombo vya Habari kuongeza kasi ya kujumlisha matokeo na kuyawasilisha kwa wakati. Vyombo vya habari vimeonesha takwimu tofauti za matokeo ya Uchaguzi wa Rais, na kusababisha wasiwasi kuhusu hitilafu hizo...
  8. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Pamoja na bei ya mafuta kupanda, watu wanaendelea kutumia magari na vyombo vingine vinavyotumia mafuta. Je ni kweli wako vizuri kipesa?

    Kwa maelezo ya waziri mkuu mstaafu mhe. Msuya akiwa kwenye kipindi cha dk 45 cha ITV, ni kama amemaanisha kwamba uwepo wa magari mengi mjini au barabarani ni kutokana na hali za maisha kutofanana. Ni kama vile wanaotumia vyombo hivyo hawaoni tofauti ya kupanda kwa bei. Na kwamba wana hali nzuri...
  9. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yatakiwa kuheshimu na kuacha kubagua vyombo vya habari

    Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Klabu ya Simba kimelalamikiwa kwa kitendo chake cha ubaguzi na kutoa kauli chafu dhidi ya wanahabari kitendo kilitafsiriwa kuwa ni ukandamizaji wa tasnia ya habari. Hayo yamejili jana katika uwanja wa Benjamini Mkapa, lilipokuwa likiendeshwa zoezi la...
  10. B

    JamiiForums Tanzania CCM kuvifanyia maboresho vyombo vyake vya Habari

    CHAMA CHA MAPINDUZI KUVIFANYIA MABORESHO VYOMBO VYAKE VYA HABARI Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (leo) Jumamosi 06 Agosti 2022 amekutana na kufanya kikao kazi na viongozi na watumishi wa vyombovya Habari vya Chama Cha Mapinduzi katika ukumbi wa mikutano...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Baraza la habari Tanzania (MCT): Uhuru wa vyombo vya habari nchini unaimarika

    Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetoa taarifa ya tathmini ya uhuru wa vyombo vya habari nchini kati ya kipindi cha mwezi Januari hadi Juai 2022. Taarifa hiyo imeeleza kupungua kwa kiasi kikubwa kwa matukio ya ukiukwaji wa haki za waandishi wa habari ukilinganisha na miaka iliyopita...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri iwe lazima vyombo vyote vya moto viwe na kiboksi cha huduma ya kwanza chenye gloves ili kurahisisha msaada kwa majeruhi

    Habari wadau! Ushauri wangu kuna watu wanaweza kuupuuza! Lakini itakuwa na maana tukijadili humu kwa pamoja! Hakuna aliyesalama hata ukijihesabia haki kwa utajili/cheo na Mali ulizo Nazo. Huko barabarani hata viongozi hupatwa ajali, hata matajili hupatwa ajali, wachungaji hupatwa ajali n.k...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Je, Rais alishauriwa au kuuliza watangulizi wake nia yakuchunguza mienendo ya vyombo vya usalama?

    Samahani kwa wale huenda mtaendeshwa na hisia za kichama na ushabiki pasipo kuwa na uwelewa wa miundo ya vyombo vya ulinzi na mienendo yake. Kwanza nianze kwa kusema vyombo vya ulinzi na usalama ndio dola na dola ndio nguvu ya walio shika serikali. Kwa uzowefu wangu na uwelewa wangu na hata...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vyavamia kambi ya Simba SC

  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Japan, Vyombo vya dola vifanye mapitio ya kiusalama mikutano ya barabarani

    Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai. Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani. Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya pili ya ziara ya Mwenezi Shaka Hamdu Shaka katika vyombo vya habari

    SIKU YA PILI YA ZIARA YA MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA VYOMBO VYA HABARI. Leo Jumanne Julai 05, 2022, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka atatembelea katika Vyombo vya Habari mbalimbali kwa Kuanzia TBC, Raia Mwema na Mwanahalisi Online...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola, mdhibitini Barbara la sivyo ataleta sintofahamu kubwa huko mbeleni

    Huwezi kuongelea siasa ya nchi yetu Tanzania pasi na kuwepo vilabu vya Yanga na Simba na huo ndiyo ukweli. Sasa ndani ya Taasisi ya Simba kuna huyo binti Babra ambaye ndiye CEO wa klabu ile hakika ndani ya muda mchache ameshagombana na kila aliyehisi ni kirusi kwenye nafasi yake! Utulivu...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu yasema uwekezaji umeongezeka kutokana na Royal Tour

    Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu yazungumzia matokeo ya ziara ya Rais nchini Oman na matokeo ya filamu ya Royal Tour. Uwekezaji watajwa kuongezeka ikiwemo wawekezaji wanaotaka kuwekeza Serengeti, Kilimanjaro na Dar es Salaam na muwekezaji huyo ameshawasiliana na kituo cha uwekezaji...
  19. Kelela

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Chimbo la Vyombo vya Nyumbani (JUMLA)

    Habari za leo wadau! Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu. Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini. Nahitaji maelekezo yalipo maduka hayo. Natanguliza shukurani.
  20. hiram

    JamiiForums Tanzania Manara anazungumza na vyombo vya habari

    JAMANI mnyamwez ndo anahutubia TAIFA hivi sasa karibuni tu DIGEST spichi yake
Back
Top Bottom