vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa vyombo vya habari, vyombo vya habari vya Magharibi viko huru?

    Vita vya Russia na Ukraine vimenifumbua macho yangu. Vyombo vya habari vya nchi za Magharibi ni vyombo ambavyo havitoi habari kuhusu kile kinachoendelea kwenye vita, havisimami katikati, vimeegemea upande. Iko siku vyombo hivi vitatumika kurudisha ukoloni Afrika. Je, vyombo vya habari vya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi na vyombo vya habari vinashindilia pamoja msumari kwenye mzozo wa Ukraine

    Hassan Zhou Tangu kuzuka kwa mzozo wa Ukraine mwishoni mwa Februari, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimeshirikiana kushindilia pamoja msumari na kujaribu kugeuza macho ya watu wanaotaka kujua chanzo cha mzozo huo, na pia kuzipaka matope baadhi ya nchi ambazo zinataka kufikiwa kwa amani...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola mmelitoboa Jahazi, itisheni boti za uokozi tusizame

    Mhe Rais wavumilie wenye Dola, wakumbushe umuhimu wa wao wenyewe kuwa na wivu dhidi ya vyombo vyao, usiendelee kuwateua, waelekeze wazifanyie mabadiliko sheria zao, waunde waweze kujisimamia, watenganishe na chama chako na kuwapandisha na kuwapa madaraka Kwa kuzingatia utendaji wao na siyo...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Uingereza yapongeza uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya kisiasa Tanzania

    Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amekutana na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC) na kufanya mazungumzo mafupi juu ya mwenendo wa vyombo vya habari Nchini. "Uingereza imeridhishwa na uimarikaji wa hali ya uhuru wa vyombo vya habari Nchini Tanzania...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja Na Samia: Uhuru wa vyombo vya Habari

    "Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa #MamaYukoKazini #MwakaMmojaNaSamia
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Vifo vya Samaki Mto Mara: Kamati ya Dharura yaundwa kuchunguza Samaki wanaodaiwa kufa kwa Sumu

    Tuweke mzigo mezani Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma: BARRICK NORTH MARA YAFUNGULIA MAJI YA SUMU NA KUTEKETEZA SAMAKI MTO MARA Jitihada zimefanyika ili kujua...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wakati mgumu kwa machawa wa siasa

    Kuna viongozi wengi walikuwa wanategemea mgawanyiko na ugomvi wa Magufuli na upinzani. Hawa ni machawa wa usalama, Polisi na wanasiasa wanaotafuta nafasi. Hawa ni wale watu ambao kiundani hawajali Tanzania bali matumbo yao zaidi. Sasa Rais Samia anaongea na upinzani moja kwa moja bila...
  8. mobakha

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vyombo vilivyotumika

    Habari gani wakuu, za majukumu? Natumai ni wazima wa afya, naishi Zanzibar naomba kuelimishwa vipi nitaweza kufanya biashara ya vyombo vilivyotumika, nataka kuagizia moja kwa moja kutoka nje ya nchi. Natanguliza shukrani.
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola vichimbue kwa kina muelekeo wa CHADEMA kutumia waliokuwa Maafisa wa Jeshi katika shughuli zake, naona wana nia ovu kwa usalama wa nchi

    Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema. Ila napendekeza, uchunguzi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda awataka DIT waanze kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kujitanua zaidi kwa kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki. Ameyasema hayo Januari 28, 2022 Jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea Taasisi hiyo ili...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Usalama vinamhujumu Rais kutokana na matendo maovu kushika kasi

    Matukio ya uovu yamezidi kushika kasi kipindi hiki kwa namna ambayo inaonesha dhahiri kuwa kuna hujuma inafanyika kwa ndugu Rais Samia Suluhu Hassan. Matendo haya ya uovu ubaya zaidi yanafanywa na vyombo vinavyotakiwa kulinda wananchi. Matokeo yake sasa ndo vinahusishwa na kuteka na kuua...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania wakati wa uongozi wa Hayati Magufuli

    Mimi ni mwanafunzi kutoka Ujerumani naandika tasnifu yangu kuu kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania nikizingatia sera ya vyombo vya habari wakati wa Rais Magufuli. Lengo langu ni kufahamu maoni na mjadala kuhusu mada hiyo kwenye JamiiForums. Umma wa kidijitali unafikiriaje kuhusu...
  13. honorto

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vyombo

    Habari wana jamvi. Samahani wanajamvi, ninawazo la kutaka kufanya biashara ya kufungua duka la vyombo vya ndani. Kama kuna anaejua sehemu vinakopatikana kwa bei ya jumla jumla lakini kwa bei nzuri naomba anisaidie. Niko Mbeya Mkoa mpya wa Songwe.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania imarisheni 'Maslahi' kwa Waandishi wenu ili wasiwe wanang'ang'ania ziara za Wakubwa zinazowauwa kwa ajili ya Posho

    Ukweli ni lazima usemwe hata kama ni Mchungu na bahati nzuri pia naisemea Tasnia ambayo naijua, naiishi na nimebobea nayo. Waandishi wa Habari ( hasa mlio Newsroom ) mtakubaliana nami kuwa sasa ni kawaida kwa Waandishi wa Habari Kupenda kutumwa katika Ziara za Wakubwa ( Viongozi na Wanasiasa )...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Masauni Wizara ya Mambo ya Ndani haiwezi, soon atapambana kuwabadilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi waliopo aweke anaoweza kuwadhibiti

    Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani. Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo amepewa full minister, hatuwezi kutegemea jipya zaidi ya kwenda kupambana Mhe. RAIS awafute kazi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania: Press Release ya Ndugai wao wanaita "Barua"

    Tulichokiona Umma na walichopewa waandishi wa habari hadi sasa ni Press Release ya Ndugai kuhabarisha kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa CCM "Barua" ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa hiyo aliyeona BARUA ya Ndugai ni Chongola peke yake, na pengine...
  17. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia taifa leo Desemba 31, 2021

    Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji. Stay tuned.
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025: Vyombo vya dola vitaruhusu kundi la mgombea Urais lililoamini katika utekaji, upotezaji,na kutupa watu baharini?

    Hili ni kundi ambalo halijatosheka na damu liliyokunywa, na tayari limeanza kujipanga kunywa damu zaidi ya watanzania, kutupa miili yao baharini, kupoteza raia kwa njia ya kuteka kwa magari aina ya Noah, kufukuza watumishi bila kufata taratibu, kuchukua kwa nguvu pesa za wafanyabiashara, mali...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kama Nchi tusilale hasa vyombo vyetu vya huyo dogo anajitanua kwa kasi ya ajabu

    Andiko hili na walione wahusika. Pamoja na siasa zetu za kunyukana mara Sukuma gang,Msoga na wana kuupiga mwingi lakini kama Nchi tutambue tunalo tishio lililo bayana kabisa la yule 'dogo' naamini wengi mmenielewa hakika anakuja juu sana kimedani. Si wa kupuuzwa tena! Amewekeza sana kwenye...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania TCRA/Idara ya Habari Maelezo zichukue hatua dhidi ya vyombo vya habari vilivyorusha maneno ya uchochezi ya Mwingira

    Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
Back
Top Bottom