vyombo vya habari

  1. Msemaji Mkuu wa Serikali: Vyombo vya habari vya ndani vitawajibika kama vyombo vya habari vya nje walivyojiunga navyo vitakiuka sheria ya habari

    Wakuu, Hassan Abbas (Daktari) ambaye ni msemaji mkuu wa serikali ameweka rasmi kofuli la uhuru wa habari Tanzania. Akitoa ufafanuzi leo anasema "Leseni mpya ya vyombo vya habari vya ndani ambavyo vinataka kujiunga na vyombo vya habari vya nje inavielekeza kuwajibika kama vyombo hivyo vya nje...
  2. J

    Ushauri kwa vyama vya upinzani juu ya vyombo vya habari

    Kutokana na figisu figisu na yanayoendelea na yanayotegemewa kutokea kuhusu wapinzani kunyimwa airtime kwa maagizo toka juu ili wananchi wasipate kusikia sera za upinzani baada ya wao kutamba miaka 5 pekee yao wakiongelea vitu vilivozoeleka kwa wananchi huku wakiwa hawana kipya cha kuwaeleza...
  3. Ubabe wa watawala wetu umepaisha umaarufu wa vyombo vya habari vya nje vya BBC, DW na VoA!

    Tokea watawala wetu watangaze kanuni zao za "kipuuzi" kuwa kuanzia sasa, hakuna chombo cha habari hapa nchini kurusha matangazo na vyombo vya habari vya washirika toka nchi za nje, hadi kwanza wapate kibali toka mamlaka ya TCRA, wamepaisha mno umaarufu wa vyombo hivyo vya nje maradufu bila ya...
  4. S

    Baada ya vyombo vya habari kuwekewa pingamizi kuhusu habari za Lissu, sasa mmeelewa kwanini CHADEMA walizuiwa kuingia uwanjani msiba wa Mkapa?

    Wengi walidhani kwamba Chadema walichelewa kuingia uwanjani kwenye msiba wa Mkapa na ndio maana walizuiwa kuingia. Hata account ya Sugu ilidafuliwa kupandikiza wazo hilo. Yote haya yalikuwa mpango maalum. Njama. NIlieleza wazi kwamba habari kutoka jikoni zilieleza wazi kwamba kwa makusudi...
  5. GE2020 Lissu ailipua TCRA na Idara ya Habari Maelezo kwa kunyanyasa Vyombo vya Habari vinavyoripoti habari zake, aahidi kuifutilia mbali

    Akizungumza kutoka Singida Mgombea huyo wa Urais wa CHADEMA, Mhe. Lissu amefichua njama za kishamba za TCRA na idara ya habari maelezo za kushughulikia vyombo vya habari vinavyoripoti habari zake. Tayari BBC wamepigwa faini ya Tsh. mil. 15 kwa kurusha mahojiano na Tundu Lissu huku RFA ikiambiwa...
  6. GE2020 Swali kwa Rais Magufuli: Hofu ya nini juu ya Vyombo vya Habari?

    Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini? Yani sasa hivi Dira ya Dunia ya BBC...
  7. T

    GE2020 Kutokana na kunyongewa Vyombo vya Habari, Tundu Lissu kampeni zaidi ya nyumba kwa nyumba inahitajika

    Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni. Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo...
  8. A

    Vyombo vya Habari ifike wakati mseme sasa basi

    Ukandamizaji wa vyombo vya habari nchini haujaanza katika utawala wa Rais Magufuli. Nakumbuka kipindi cha Rais Kikwete, mnamo mwaka 2012, gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa, na halijafunguliwa mpaka leo hii. Mwaka 2013, Magazeti mawili makubwa, Mwananchi na Mtanzania yalifungiwa kwa muda kwa siku...
  9. Vituo vya utangazaji vyatakiwa kuomba kibali TCRA kurusha matangazo ya Vyombo vya Habari vya Nje

    Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo amevitaka Vituo vya Utangazaji (Radio, Televisheni, Blogs na Online Tv) kuzingatia Kanuni mpya za Maudhui Mtandaoni 2020 na Kanuni Mpya za Redio na Televisheni 2020. Mihayo ameyasema hayo wakati wa kikao kati...
  10. Vyombo vya Habari vinacheza Mdumange wa CCM, vyapigwa marufuku kuripoti mapokezi ya Lissu Jimboni

    MALISA GJ Baada ya Lissu kunusurika risasi 37 na waliompiga, ama kutojulikna , na baadaye kupokwa ubunge wake, na pia kunyimwa matibabu na mafao yake, na watu ambao wana majina ya watakatifu , "Yoana Nduguwai" na "Yohana Alcohol Padlock" huku wakimtakia kifo, Mungu kamtende miujiza kaibuka...
  11. M

    Kampeni kususia Vyombo vya Habari ianze

    Napendekeza campaign Ianzishwe kususia vyombo vya habari vinavyoonyesha ubaguzi kwa chama vya upinzani. Hii style imefanikiwa sana siku za nyuma dhidi ya TBC. Hii inatokana na ukweli kwamba, hawa watu wanaonyesha waziwazi hujuma zao dhidi ya vyama kama CHADEMA Majuzi, Mwananchi Digital ilifanya...
  12. Vyombo vya Habari Tanzania acheni upendeleo kwa chama tawala, Mtaligawa taifa? Hivi hamuelewi?

    Nimejaribu kufuatilia jinsi coverage unavyofanywa na hizi local media zetu kuhusu matukio mbali mbali yanayofanywa na chama tawala CCM, hakika inasikitisha. Hakuna balance kabisa kwenye matukio ya kisiasa kati ya chama tawala na Upinzani. Hivi vyombo vimeamua kua upande wa Chama Tawala hata...
  13. GE2020 Hivi upinzani ukichukua nchi Vyombo vya Habari na Wasanii wa Tanzania watakimbizia wapi nyuso zao?

    Sasa imekuwa rasmi wasanii hasa wanamuziki na tasnia karibu zote nchini wanamuunga mkono Rais. Hii sio dhambi, lakini pale msanii anapoimba nyimbo kupondea upinzani kana kwamba upinzani umeletwa nchini na shetani inashangaza sana. Vyombo vya Habari munadhani CCM itatawala milele? Kwa bahati...
  14. B

    Vyombo vya habari kwanini mnawakimbia CHADEMA na ACT Wazalendo?

    Leo CHADEMA wameanza mchakato wa kumpata Mgombea Urais ila vyombo vya habari vikubwa nchini havikuripoti live tukio ilo. Kura zimepigwa bado hawakutaka kuripoti, hata ITV ambao Wana breaking news hawakuwa habari yoyote kuonyesha Kuna Jambo linaendelea. Mgombea amepitishwa bado vipo kimya, hata...
  15. Vyombo vya Habari huu ndio msimu wa kuvuna pesa za wanasiasa, msiwatangaze bila kulipwa kwanza

    Matangazo ya biashara ni moja ya eneo muhimu kwa vyombo vya habari. Sasa hivi tunaelekea uchaguzi mkuu wanasiasa kutwa watakuwa. Wakiita vyombo vya habari kukitangaza biashara zao za kisiasa wanakogombea. Hilo ni tangazo la biashara. Vyombo vya habari anzeni kuchaji pesa. Wakiwaalika walipe...
  16. Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  17. Baraza la Habari: Waandishi waliochukua fomu kugombea nafasi za kisiasa waondoke katika Tasnia ya Habari

    Baraza la Habari Tanzania (MCT), limesema kuwa waandishi waliojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbali mbali za kisiasa ni haki yao ya msingi kama walivyo raia wengine hapa nchini, lakini wanapaswa kuondoka katika uandishi wa habari. Katibu Mtendaji wa MCT, Bw. Kajubi Mukajanga ameyasema...
  18. A

    Vyombo vya Habari Tanzania na COVID-19

    Huwa najiuliza iweje Vyombo vyetu vya Habari vina uwezo wa kuripoti maambukizi na vifo vya COVID-19 nchi jirani kama Kenya, Rwanda, Uganda na nchi zingine za mabeberu lakini hawawezi hata kidogo kwenda kufanya uchunguzi kwenye mahospitali yetu Je, Tanzania ni zero COVID-19? au vyombo vyetu vya...
  19. GE2020 Katibu wa Kamati ya Maudhui ya TCRA, Dkt. Philip Filikunjombe achukua fomu ya Ubunge Ludewa kupitia CCM

    Mwanasheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzaniania (TCRA) ambaye ni Katibu wa Kamati ya Maudhui inayofungia Vyombo vya Habari kwa kukiuka Kanuni za Maudhui mitandaoni, Dkt. Philip Filikunjombe amechukua fomu kuomba kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Ludewa
  20. Kwanza Online TV yafungiwa miezi 11, kwa kuchapisha taarifa ya Marekani

    Ni kwa kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta 2018 kwa kuchapisha taarifa ya Ubalozi wa Marekani TCRA imesema taarifa hiyo ilijaa upotoshaji na Kwanza TV waliichapisha bila kuzingatia mizania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…