Baada ya miaka kadhaa kupita akaandaa ubunifu wake unaoitwa, Ushahidi unaotokana na pesa zilizotolewa katika mashine za ATM.
Huu ni mfumo ambao ungewekwa katika mifumo ya ATM zote nchini. Kupitia mfumo huu katika mashine za ATM, kutakuwa na utaratibu wa kuwekarekodi ya namba za noti zote...
Siku Moja nilipokuwa nimetega sikio nikipata habari kutoka idhaa ya taifa nilivutiwa sana na Moja ya marudio ya usemi wa Baba wa taifa hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere ninanukuu, "Kama unadhani elimu ni gharama, basi jaribu ujinga".
Miaka mingi baada ya uneni huu lakini bado hakuna hatua za...
Taarifa hizo ni kama ajali, mwendokasi wa chombo cha moto na kadhalika. Hii itasaidia sana watu katika kufuatilia usalama wao. Pia endapo programu hii itawezeshwa kwa gprs, zitawekwa sehemu muhimu katika barabara kubwa ili kuwaelekeza wateja sehemu rasmi za kuvuka barabara (zebra crossing).
Pia...
Khabari za Juma Mgunda na Nabi kuwa hawana sifa za kuwa kwenye benchi la ufundi la simba na Yanga wakati wa mechi za CAF zilisambaa kama moto wa nyika unavyosambaa haraka na kuunguza kila kitu bila huruma.
Wachambuzi na wanahabari wetu uchwara waliumbuka sana safari hii baada ya Mgunda na Nabi...
Ndugu zangu wanasimba poleni na stress za hapa na pale juu ya timu yetu.
Tuna uongozi mbovu haijawahi kutokea. How comes unarelease barua ya kupata kocha mkuu wa Mda (MGUNDA) huku hujajiridhirisha kama ana nyaraka zote zinazotakiwa na mamlaka za mpira?
Vetting ya kumchagua imefanyikaje?
Tuna...
Utatuzi wao wa hili tatizo ni kuwatumia wananchi sms za kutoa taarifa za utapeli. Binafsi nimechoka kutuma hizo taarifa ambazo hazina mrejesho wowote.
Ila bwana Kingambe, anaubunifu wake ambao ni kiboko ya matapeli yaani badala ya wananchi kuogopa matapeli, kwa mfumo wa bwana Kingambe, matapeli...
Ikiwa vocha imenunuliwa katika mtandao uleule na ikatumika ndani ya mtandao uleule faida yote na cash ile iliyolipwa wakati wa kununua ile vocha itakuwa ni haki ya mtandao ule iliyowekwa ile vocha. Pia endapo vocha imenunuliwa katika mtandao mwingine na kutumika katika mtandao mwingine.
Cash...
Baada ya kufeli chuo kikuu akiwa amebakisha mwaka mmoja, kwa kukosa ada, bwana Juma Ramadhani Kingambe akarudi nyumbani na hakuwa mtu mwenye kukata tamaa bali alikubaliana na kile kilichomkuta na kupambana ili maisha yaende.
Alirudi kwao Dar es Salaam akitokea Dodoma alipokuwa anasoma. Ila...
Nchini Iran, ubikira kabla ya ndoa ni muhimu kwa wasichana wengi na familia zao. Wakati mwingine wanaume hudai cheti cha ubikira, jambo ambalo Shirika la Afya Duniani (WHO) linaona ni kinyume na haki za binadamu.
"Ulinidanganya nikuoe kwa sababu wewe si bikra. Hakuna mtu ambaye angekuoa ikiwa...
Miongoni mwa jambo pasua kichwa kwa watafuta ajira wengi wenye vyeti vilivyoosheni GPA zenye vigezo vya mtu kupata nafasi ya kuwajibika eneo husika basi kuhusu USAILI huwezi kuacha kuzungumzia. Kuna haja ya kuliangalia hili swala la mfumo wa umimi/ubinafsi katika mfumo mzima wa usaili...
Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Tanzania imemfunguli mashitaka Kocha wa Azam FC U-17, Mohamed Badru mbele ya Kamati ya Maadili kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi.
Tarehe ya kusikilizwa kwa shauri hilo itapangwa na Kamati ya Maadili ambayo tayari imeshapokea malalamiko hayo.
Ualbino sio ulemavu bali ni kundi lenye mahitaji maalumu.
Maana ya ualbino. Ni hali ya upungufu wa chembe chembe za rangi ya ngozi, nywele, na hata macho. Upungufu huo husababisha mtu au mnyama kuwa na ngozi nyeupe au macho yasiyo kuwa na rangi.
Ulemavu. Ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu...
Kanisa moja la Afrika Kusini linafanya vipimo vya ubikira kwa waumini wa kike wa kanisa hilo wenye umri wa miaka 18 na kuendelea.
Inaripotiwa kwamba Kanisa la Nazareth Baptist mjini Durban, Afrika Kusini lilianza mazoezi hayo ili kuwahimiza wanawake wachanga kanisani kutunza ubikira wao...
Habarini za mchana wakuu.
Kuna mtoto wetu anaitwa Adela Antony Mnyenyelwa kapotelewa na begi kwenye daladala asubuhi ya Leo akitokea Buzuruga stendi to Nyegezi Stendi.
Kwa maelezo yake ni kuwa alisimama ktk daladala kwa kukosa kiti na alikuwa na mabegi 2 aliposhuka alianza kuchukua begi...
Habari ndugu zangu.
Badala kukaa kipindi kirefu benchi na pirika kutafuta ajira
Nimekuja na hii Idea (Party and rental Items ) maswala ya upambaji .Hii business nzuri sana na yenye faida nzuri kwa mwenye kukodisha vitu na yule mpambaji .
Tuanze na mkodishaji vitu - huyu mtu mtaji wake ni...
Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, aliyasema hayo bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la...
Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali.
LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo ikisimamiwa na NACTE imekuwa ikitoa wanafunzi lukuki kila mwaka.
Ili uweze kutambulika kifani ni...
Habari wana JamiiForums naitwa Gilbert Zenas Rauya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye bus la Kimotco mnamo tarehe 29-11-2021 lilikua linatoka Moshi kwenda Mbeya bag langu liliibiwa halikuonekana kabisa na lilikua na vitu vinginevyo kama External harddisk GB500...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.