vyeti

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Mfamasia wa Wilaya apewe majukumu ya kusimamia pharmacy kwenye eneo lake. Tuache kubandika vyeti vya wafamasia kwenye maduka, siyo cctv camera

    Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa vyeti vya taaluma ya udereva

    Habari wadau! Katika mitandao ya kijamii kuna clip inamuonesha Kamanda wa usalama barabarani akiongelea juu ya ukaguzi wa vyeti vya taaluma ya udereva. Nasisitiza hapa amesema MADEREVA WOTE WA MAGARI. Narudia " MADEREVA WOTE WA MAGARI WATEMBEE NA NAKALA ". Hatua kama hiyo italeta taafurani...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza walioondolewa na Hayati Magufuli kwa vyeti feki walipwe

    Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini? Bila kusahau hasara waliyoisababisha kwa kutoa huduma hafifu kutokana na kutokuwa na...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kuitwa kwenye interview Sekretarieti ya Ajira bila 'ku-certify' vyeti?

    Habari wakuu, Kwa mliowahi kutuma maombi ajira portal ya sekretarieti ya ajira. Hivi unaweza kuitwa interview sekretarieti ya ajira bila kusatifai vyeti.
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Makonda kughushi vyeti: Ni wakati muafaka kwa mamlaka kushughulikia madai haya

    Tuhuma kuhusu Paul Makonda kughushi vyeti vya elimu zilitajwa sana katika awamu ya tano wakati wa msako wa vyeti feki. Wakapululiwa watumishi walioghushi vyeti lakini Paul Makonda akaachwa licha ya tuhuma kuvurumushwa kila kona. Nakumbuka rais Magufuli alilazimika kujibu tuhuma zile kibabe...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Marekebisho ya majina katika vyeti

    Msaada tutani wadau mwenye uelewa kuhusu jinsi ya kurekebisha jina lililokosewa kwenye vyeti msaada maana jina la vyeti vingine ni PASCHAL lakini cheti kimoja ni PASCAL je inamadhara katika maombi ya ajira , mikopo nk ?
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuelimika ni kuwa na vyeti vingi?

    Tunaamini mtu aliyeelimika, anakuwa na uwezo mkubwa wa kutatua changamoto za jamii. Ingawa kuna baadhi ya watu wanaamini, kuwa na vyeti vingi ndio kuelimika; ambapo si kweli. Kuwa na vyeti vingi bila kuwa na uwezo wa kutatua changamoto za jamii, ni sawa na kusoma magazeti ya udaku na baadaye...
  8. sekhal

    JamiiForums Tanzania Gharama za ku-certify vyeti mahakamani, fedha inaenda wapi?

    Habari zenu wana JF, Kuna huu mfumo binafsi siuelewi na sielew alieanzisha alikua na maana ipi. Taasisi kubwa kama utumishi na baadhi ya taasisi za umma na binafsi, pindi wanapotoa tangazo la nafasi za Kazi wanakuambia uambatanishe current certified copies, cha kushangaza siku ya interview...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ufaransa 13 wakamatwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti feki

    UFARANSA: Watu 13 wamekamtwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti bandia 62,000 vya #COVID19 jijini Paris na Lyon. Uchunguzi umebaini kundi hilo la wahalifu lilidukua akaunti ya nesi wa kituo cha Afya na kuanza kufoji vyeti vya COVID-19. === France Arrests 13 on Suspicion of Faking 60,000 Covid...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Hivi vyeti vinavyotolewa online na mashirika kama google na etc vina soko kwa waajiri?

    Kama kichwa cha habari hapo kinavouliza. Je hizi online course zinasaidia kwenye kupata ajira kweli? Maana kama ni skills kweli mtu unajifunza ila je vyeti vinavyopatikana kwa njia hii viko marketable?
  11. DustBin

    JamiiForums Tanzania Vyeti feki na nidhamu ya kazi kwa watumishi wa umma; kwavyo nitakukumbuka

    Nawasalimu kwa jina la JMT Moja kwa moja niende kwenye mada. Leo nimeamkua na kukumbuka namna watumishi wa vyeti feki walivyokua wameziba nafasi za ajira kwa wenye sifa. Dhulma hii ikasawazishwa kwa kuondolewa waliobainika kughushi taarifa za ajira hasa kwenye vyeti vya taaluma. Heko..! Kwa...
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi mafao kwa wale vyeti feki bado ayajaanza nakumbuka mama kama alisema tulipwe

    Kwa anayejua vipi kuhusu mafao ya sue vyeti feki maana wengine tulikaribia umri kustaafu tukakumbuna na hili dhoruba.sasa nakumbuka mama kama alisema tupewe mafao yetu mifuko ya jamii mpk sasa mbona kimya kuna mwenye taarifa nini kinaendelea maana tunalazwa hospital tunatoka basi tupo tupo mpk...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Upotevu wa vyeti vya taaluma

    Habari wana jamii forum naitwa Gilbert Zenas Rauya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye bus la Kimotco mnamo tarehe 29-11-2021 lilikua linatoka Moshi kwenda Mbeya bag langu liliibiwa halikuonekana kabisa na lilikua na vitu vinginevyo kama External harddisk GB500...
  14. 7jero

    JamiiForums Tanzania Wanaosafisha vyeti Re-Seaters

    Habari za majukumu wakuu, Leo nimeulizwa swali na mdogo wangu lakini sikuweza kumjibu. Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne miaka ya nyuma na akapata ufaulu wa div 4 point 27. Alifanikiwa kuendelea kusoma ngazi ya cheti kwa fani ya ualimu na sasa ni mwalimu wa shule ya msingi huko mkoani...
  15. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

    Salaamj Wana JF. Naitwa DJ. DON NALIMISON Ni Mtanzania mwenye asili ya Kimarekani. Yaani baba Mzazi ni raia wa Marekani na mama Mzazi ni raia wa Tanzania. Nimezaliwa 28.06.1980 wilayani Kahama , SHINYANGA, Tanzania. Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema haijarudisha walioghushi vyeti

    SERIKALI YASISITIZA KUTOWAREJESHA KWENYE UTUMISHI WA UMMA WATUMISHI 15, 538 WALIOGHUSHI VYETI Serikali imesisitiza kutowarejesha kwenye Utumishi wa Umma Watumishi 15,538 walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti au kutoa taarifa za uongo katika kumbukumbu zao rasmi za kiutumishi kuwa wana elimu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote!

    Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora === SERIKALI imesema watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awarejesha kazini Watumishi zaidi ya elfu nne (4,000+) walioondolewa kipindi cha Magufuli kwa madai ya kugushi vyeti

    Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7. Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Uingereza kutambua Vyeti vya Chanjo ya Corona vya Tanzania kuanzia Novemba 1

    Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amesema kuanzia Novemba 01, 2021 Uingereza itatambua Vyeti vya Chanjo dhidi ya COVID-19 vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania Hatua hiyo itaruhusu waliopata Chanjo hapa Nchini kusafiri Uingereza bila kukaa Karantini au kulazimika kujitenga...
  20. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kama wewe unayo Degree na hauna ajira chukuwa vyeti vyako kamuone Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Chap kwa Haraka

    Tupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel, amewaomba wasomi wote wenye shahada waliopo mkoani humo, kufika ofisini kwake awasaidie kupata mafunzo...
Back
Top Bottom