vyeti

  1. F

    JamiiForums Tanzania TFF msiwabebe wagombea wenye vyeti feki Kilimanjaro

    Shirikisho la soka Tanzania(TFF) limesitisha mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa soko mkoani Kilimanjaro huku usitishwaji huo ukiacha maswali mengi kuliko majibu Kwanza wamesitisha mchakato huo huku tararibu zote zikiwa zimefanywa ikiwamo usaili wa wagombea pamoja na uhakiki wa vyeti vya elimu...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

    Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi ======== MRISHO GAMBO: Wafanyakazi 14,409 ambao ni sawa na asilimia 2.82 walibainika kuwa na vyeti feki. Mheshimiwa naibu spika hoja yangu ambayo nataka niijenge hapa, pamoja na kuunga mkono zoezi la serikali kuwatambua watumishi wenye...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

    Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati. Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Kipanya; tukishapiga nyungu tupewe vyeti

    Chanjo hamleti basi tupeni vyeti tukishapiga nyungu na sisi tuonyeshe tunavyopigana na COVID.
  5. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Kutumbua watu wasio na vyeti makazini was not wise decision

    Hello JF leo nimewaza, Displacing older workers with 'better educated young persons' has not been wise,,,, ,its unfair because these older people might have valid reasons as to why they are not qualified,. one including missing (quality) education opportunities while they were young due...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Balozi Simbachawene: Watanzania mnaokuja Kenya hakikisheni mmepima Corona ndani ya saa 72 na mna vyeti

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dr. John Simbachawene amewataka Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo kuhakikisha wanafuata masharti ya nchi hiyo kwa wageni. Masharti hayo ni pamoja na kupima Corona katika muda usiozidi saa 72 na kuwa na vyeti vya uthibitisho. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

    Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, kama Taifa tupo salama kuwa na wabunge wenye vyeti feki waliowahi kufukuzwa kazi kwa kufoji?

    Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi. Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni...
  9. yuda75

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa karne hii ni vilaza, wanabebwa na vyeti vya chabo kuliko taaluma halisia

    Habarini wana JF, Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani. Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania. Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

    Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja. Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika. Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
  11. LOTH HEMA

    JamiiForums Tanzania Vyeti vya ndoa

    Ndoa ni muungano wa mwanaume na mwanamke kuishi pamoja maisha yao yote,huku wakijenga familia watakayoipata. Kwenye ndoa kuna raha na shida,wanandoa hawana budi kuvumiliana katika kipindi kigumu kwenye ndoa yao kipite. Hoja ni kwamba kuna ulazima gani kwa wanandoa kupewa cheti cha ndoa wakati...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Je, vyeti vya 'Roots and Shoots' vimewahi kuwasaidia?

    Habari, ikumbukwe kuna chuo cha roots and shoots kiitwachoJane Goodall Institute. Je, wapo waliofaidika na vyeti hivyo kwa kuajiriwa kwenye ualimu katika chuo hicho? Asante
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania eti; Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao? Nilipokuwa ninamsaidia mdogo wangu kuomba mkopo wa elimu ya juu...
  14. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ana huruma, wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

    Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu Pia walitakiwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Serikali na waliofukuzwa kwa vyeti, na wafanyabisahara tutawatwisha lawama ni zenu katika Uchaguzi huu

    Hakuna nyumba isiyokuwa na mfanyakazi na mfanyabiashara. Nyinyi ni waelewa wa kinachoendelea kwetu nchini. Mmeumizwa sana! Kwanini tutawalaumu? Ushindi wa kuleta mabadiriko uko mikononi mwenu uchaguzi huu. Kwa vipi? Kila mmoja akiwa na wapiga kura 100, basi mabadiriko tayari. Hapiti mtu! Hata...
  16. Murashani GALACTICO

    JamiiForums Tanzania Tunaokutana na changamoto za uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa kutoka kwenye e-Service za RITA

    Wapendwa kama title inavyojieleza hapo juu. Nimekutana na changamoto ya kuthibitishiwa cheti cha kuzaliwa cha mdogo wangu. Hapo mwanzo majibu ya uhakiki yalichelewa. Tuliwapigia bila mafanikio kwa muda mrefu. Tulikuja wapata kwa njia ya simu kuwaeleza kulikoni mbona majibu yamechelewa wakasema...
  17. Titicomb

    JamiiForums Tanzania UHAKIKI VYETI: Tanzania tunaendeleza baadhi ya itifaki na michakato iliyopitwa na wakati tunapoteza muda bila sababu

    Kuna baadhi ya michakato (processes) na itifaki (protocols) ambazo tulirithi toka kwa wakoloni na awamu zilizopita ilikuwa muhimu wakati ule sababu office automation haikuwepo. Kwa sasa hali ni tofauti baada ya maendeleo makubwa ya teknolojia ya mawasiliano. Kuwadai watu wanao omba kazi au...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nimefanya uhakiki wa vyeti RITA lakini mpaka sasa sijapata majibu

    JAMANI WANAJAMII FORUM, MSAADA WENU NAOMBA NDUGU ZANGU, NIMEFANYA UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA RITA LEO NI SIKU YA KUMI NA TATU SIJAPATA MAJIBU NA KWENYE SYSTEM YAO HAIONESHI IPTION YA KUVIEW STUTUS WALA NIKIFUNGUA INBOX HAIONESH CHOCHOTE... TATIZO NI NINI JAMANI
  19. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Pongezi Vyeti vya Kuzaliwa kutolewa ngazi ya Mtaa na Kitongoji bure

    Miongoni vya vitu nilivyo vifurahia kwenye uongozi wa sasa ambapo huduma za Vyeti vya Kuzaliwa kutolewa kwenye ofisi za serikali ya mtaa/ kitongoji au kata bure kwa watoto chini ya miaka mitano. Ilikuwa ni utaratibu wa kusikitisha kuona wazazi na watoto wadogo wakitumia siku nzima kusongamana...
  20. Mgiriki MTz

    JamiiForums Tanzania Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

    Habari wana jf, Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB? Pia naomba kujua kama bodi ya mikopo,HESLB kama tayari wameshatoa vigezo vitakavyotumika mwaka huu? Nawasilishà. #jEshi.
Back
Top Bottom