Agizo la Rais Samia latekelezwa, Hatimaye vyeti fake walipwa mafao yao

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Hello Tanzania.

Wale waliokuwa wanapinga na kujiapiza kwamba kamwe vyeti Fake hawatalipwa wajitokeze Sasa kuja kujamba tena upuuzi wao..

Hongera sana Serikali na Rais mwenye utu Kwa kuwalipa stahiki zao Watumishi waliofukuzwa na Dhalimu Kwa vyeti Fake..

Mtu alikuwa Mwizi afu anakuja kuharibu maisha ya wenzake,Kwa usafi gani alizokuwa nao?

Mungu ni fundi na aliona na kusikia mateso ya watu wake ndio maana alimleta Rais Samia na Sasa Taifa limepona.👇

=====

Maelfu wenye vyeti feki walipwa mafao​

Vilevile, waziri huyo amebainisha kuwa kati ya watumishi 14,000 waliondolewa kwenye utumishi kwa sababu ya vyeti feki, 6,892 wameshalipwa na 3,169 madai yao yanafanyiwa kazi.

Prof. Ndalichako alitoa pongezi hizo jana mjini Morogoro alipozindua baraza la pili la wafanyakazi wa mfuko huo.
"Mlitumie baraza hili kuhimiza kila mfanyakazi ajue wajibu wake ili kuuwezesha mfuko kusonga mbele katika kutekeleza maagizo ya serikali pamoja na kutoa huduma bora kwa wanachama," aliagiza.

Alisema Rais Samia ameendelea kushughulikia changamoto za wastaafu ikiwa ni pamoja na kuwataka watendaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii kulipa mafao watumishi walioondolewa kazini kwa kubainika kuwa na vyeti feki.

"Kulikuwa na jumla ya watumishi 14,000 ambao waliondolewa kwenye utumishi kwa sababu ya vyeti feki, tayari watumishi 6,892 wameshalipwa na 3,169 bado madai yao yanafanyiwa kazi," alifafanua.

Awali Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Hosea Kashimba alisema kwa sasa mafao hayo ya wastaafu yanalipwa ndani ya siku 60 na uhakiki wa wastaafu unafanyika kidigitali.

Akitoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya mfuko kwa nusu mwaka toka Julai 2022 hadi Desemba 2022, Kashimba alimpongeza Rais Samia kwa jitihada kubwa alizofanya kuhakikisha Watanzania wengi wanapata ajira.

"Tumevuka lengo la kuandikisha wanachama kwa asilimia 270. Lengo letu lilikuwa kuandikisha wanachama 13,000, lakini tumevuka lengo hilo na kuandikisha wanachama 33,534.

"Sisi wanachama wetu wanategemea jinsi serikali inavyoajiri, watu wengi wameajiriwa katika kipindi hicho," alisema.

Eneo lingine ambalo mfuko umefanya vizuri ni makusanyo ya michango ambapo lengo lilikuwa ni kukusanya Sh. bilioni 792 lakini mfuko umekusanya Sh. bilioni 823 na hivyo kuvuka lengo kwa asilimia 104.

Kuhusu mapato yatokanayo na uwekezaji unaotokana na vitega uchumi, Kashimba alisema mfuko uliweka lengo la kukusanya Sh. bilioni 256 lakini umekusanya Sh. bilioni 297 na hivyo kuvuka lengo kwa kufikia asilimia 116.

Baraza hilo limechagua viongozi wapya wakiwamo Katibu wa Baraza, Steven Biko na Katibu Msaidizi, Linda Njoolay.
 
Hello Tanzania.

Wale waliokuwa wanapinga na kujiapiza kwamba kamwe vyeti Fake hawatalipwa wajitokeze Sasa kuja kujamba tena upuuzi wao..

Hongera sana Serikali na Rais mwenye utu Kwa kuwalipa stahiki zao Watumishi waliofukuzwa na Dhalimu Kwa vyeti Fake..

Mtu alikuwa Mwizi afu anakuja kuharibu maisha ya wenzake,Kwa usafi gani alizokuwa nao? View attachment 2506860

jiwe he was a satan
 
Mungu ni fundi na aliona na kusikia mateso ya watu wake ndio maana alimleta Rais Samia na Sasa Taifa limepona.

Juzi kuu hili
 
Aliyelipwa pesa nyingi Zaidi nadhani atakuwa anelipwa 40k..hao ni wale watu ambao kwenye mshahara wao makato Yao yalikuwa hayazidi 10k as 5% ya mshahara wao
 
Hiyo hiyo inatosha ila kumbuka ni bil.46 zitatoka Kwa watu wasiozidi 15,000,gawanya hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom