Tunaokutana na changamoto za uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa kutoka kwenye e-Service za RITA

Murashani GALACTICO

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,205
4,702
Wapendwa kama title inavyojieleza hapo juu. Nimekutana na changamoto ya kuthibitishiwa cheti cha kuzaliwa cha mdogo wangu. Hapo mwanzo majibu ya uhakiki yalichelewa.

Tuliwapigia bila mafanikio kwa muda mrefu. Tulikuja wapata kwa njia ya simu kuwaeleza kulikoni mbona majibu yamechelewa wakasema tuwe na subira. Imefika sehemu majibu yamekuja ila tumeletewa uthibitisho kupitia cheti cha mtu mwingine tofauti na mdogo wangu.

Nimejaribu kuwapigia na maelekezo waliotupa tumeyafanya kama kuwatumia cheti husika kwa njia ya email bado hawashaghukia tatizo hilo positive.

Msaada kwenye tuta wajuvi wa hii mambo na namna naweza fanya. Nataka nitimbe ofisini kwao maana hapa wilaya nilipo wananipiga chenga hakuna hata kompyuta ya kushulikia tatizo naona nao wazugaji tu.
 
Tuma tena kwenye mfumo wao wa online, then subiri baada ya wiki moja.
 
ccc

Back
Top Bottom