Kuwa na vyeti vingi sio kigezo

gwamipascal

Member
Mar 28, 2020
15
23
Naomba waheshimiwa mnielewe kwenye huu uzi nilioandika hapa...

Kumekua na tabia ya watu waliosoma degree au masters au level zingine za elimu ya juu kuwakatisha tamaa wale ambao hawaja fanikisha kupata elimu hizo.

Leo nataka tuwekane sawa ili kama ulikatishwa tamaa na kuhis huwez kupata ajira sabab tu hujafanikiwa kupata hayo mavyeti bas leo upate nguvu upya, natumia mfano hai wa KWANGU mwenyewe. Sikufanikiwa kuhitimu form4 niliishia form3 kwa sabab za kiuchumi ila darsan nilikua smart (nilikua na faulu masomo vizur) baada ya shule kuishia njian nilipata vibarua kwenye site za ujenz nikabeba zege kwa hasira nikafanikiwa kutunza hela ambayo nililipa fee ili kusoma coz ya CISCO(hii niliisoma online ikiwemo ku google, youtube zote zilihusika) nikafanya exam nikafaulu na kua certfied CCNA then nika cheza mchezo nikapokea bada ya miez mi4 hiv nikalipa tena fee nikasoma CISCO tena level inayofuata ambayo ni CCNP, nikafanya exam nikapata certificate. Nikafanya na coz ya ITIL Foundation.

Ikumbukwe ada za kufanya hayo yote ni ile kaz ya site ya zege nilikua nalipwa 7,000/day. Halaf nikawa nacheza mchezo so nikipokea hela ya mchezo ndo nalipa fee. Baada ya kua na CCNP na ITIL Foundation nikaanza kutafuta sehem za ku volunteer Mungu ni mwema nikapata nikaanza kufanya kama IT TECHNICIAN ndan ya miez 6 maisha yalikua magum lakin nilkomaa coz natafuta uzoefu wa kazi.

Mungu akazid kua mwema nikaajiriwa pale pale na position ika change nikawa SYSTEMS ADMINISTRATOR. Na walijua sikua na chet cha form 4. Nikfanya kwa miaka 3 nikaona post mtandaon anahitajika NETWORK ADMINISTRATOR sikulemba nikatupa CV yangu hyo hyo isiyo na chet cha form4 ila uwezo wangu wa kufanya kazi ulikua mkubwa. Nikaitwa interview nikapitia tulikua 15 ambapo wenzangu wote walikua wana diploma za IT na computer science lakin walifel practical hapo ndo mm nisiokua na vyeti nikachomoa betri yaan niliwapita kama rocket hadi IT MANGER akaniulizaat umeaema hukumaliza form 4 au umesema hukumaliza chuo!!

Na hapa ndo nilipo hadi sasa napokea watu wa field kutoka vyuo maarufu kama DIT NA DSM na mm ndo Eng. Wao hapa upande wa vitendo. Wao wanakuja na theory ambazo tunaziweka pemben mim nawapa kanun za kufanya kazi.

Hitimisho: haijalish una elimu kias gan kila kitu kinawezekana songambele usikate tamaa na maneno ya wanye degree wakikwambia et wasomi ni wengi we hata form 4 hujamaliza utaajiriwa na nan. Hao ni wanga. Naishkuru google kuniwezesha kusoma online huku nikwa nabeba zege ili kupata fee.
 
Mavyeti.. Sijui kupita form 4, sijui wapi.. Uwo just ni ushuhuda tu kuwa wewe umesoma lakini havitoleta msosi mezani ikiwa huwezi kwenye vitendo/kuleta impact ya ulichokisoma.

Chanzo cha mashule ni kutengeneza wafanyakazi, sasa msingi wa jambo ni kufanyakazi, kwahiyo ukiwa unaweza kufanyakazi inatosha kukuletea msosi.

Lakini kama mtu kwenye kazi ni SIFURI, hata awe na mavyeti ya dunia nzima, kila elimu awe kaisoma yeye.. Basi hatoweza kuajirika popote pale na wala ayo Mavyeti hayatomletea msosi mezani.

Kwa ushuhuda : sina muda wa kuandika now lakini Maisha ndio yapo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana ni ujumbe wa kweli na Mimi nimewah kukumbana na hili lakin n upande wa pili, Kwenye Kaz n ujuzi na uwajibikaji wako ndio unakupa nafasi kazin, nimeshuhudia mtu mwenye rank kubwa jeshin akiwa chin ya mtu mwenye rank ndogo akimtumikisha ki- uwajibikaji
Naomba waheshimiwa mnielewe kwenye huu uzi nilioandika hapa...

Kumekua na tabia ya watu waliosoma degree au masters au level zingine za elimu ya juu kuwakatisha tamaa wale ambao hawaja fanikisha kupata elimu hizo.

Leo nataka tuwekane sawa ili kama ulikatishwa tamaa na kuhis huwez kupata ajira sabab tu hujafanikiwa kupata hayo mavyeti bas leo upate nguvu upya, natumia mfano hai wa KWANGU mwenyewe. Sikufanikiwa kuhitimu form4 niliishia form3 kwa sabab za kiuchumi ila darsan nilikua smart (nilikua na faulu masomo vizur) baada ya shule kuishia njian nilipata vibarua kwenye site za ujenz nikabeba zege kwa hasira nikafanikiwa kutunza hela ambayo nililipa fee ili kusoma coz ya CISCO(hii niliisoma online ikiwemo ku google, youtube zote zilihusika) nikafanya exam nikafaulu na kua certfied CCNA then nika cheza mchezo nikapokea bada ya miez mi4 hiv nikalipa tena fee nikasoma CISCO tena level inayofuata ambayo ni CCNP, nikafanya exam nikapata certificate. Nikafanya na coz ya ITIL Foundation.

Ikumbukwe ada za kufanya hayo yote ni ile kaz ya site ya zege nilikua nalipwa 7,000/day. Halaf nikawa nacheza mchezo so nikipokea hela ya mchezo ndo nalipa fee. Baada ya kua na CCNP na ITIL Foundation nikaanza kutafuta sehem za ku volunteer Mungu ni mwema nikapata nikaanza kufanya kama IT TECHNICIAN ndan ya miez 6 maisha yalikua magum lakin nilkomaa coz natafuta uzoefu wa kazi.

Mungu akazid kua mwema nikaajiriwa pale pale na position ika change nikawa SYSTEMS ADMINISTRATOR. Na walijua sikua na chet cha form 4. Nikfanya kwa miaka 3 nikaona post mtandaon anahitajika NETWORK ADMINISTRATOR sikulemba nikatupa CV yangu hyo hyo isiyo na chet cha form4 ila uwezo wangu wa kufanya kazi ulikua mkubwa. Nikaitwa interview nikapitia tulikua 15 ambapo wenzangu wote walikua wana diploma za IT na computer science lakin walifel practical hapo ndo mm nisiokua na vyeti nikachomoa betri yaan niliwapita kama rocket hadi IT MANGER akaniulizaat umeaema hukumaliza form 4 au umesema hukumaliza chuo!!

Na hapa ndo nilipo hadi sasa napokea watu wa field kutoka vyuo maarufu kama DIT NA DSM na mm ndo Eng. Wao hapa upande wa vitendo. Wao wanakuja na theory ambazo tunaziweka pemben mim nawapa kanun za kufanya kazi.

Hitimisho: haijalish una elimu kias gan kila kitu kinawezekana songambele usikate tamaa na maneno ya wanye degree wakikwambia et wasomi ni wengi we hata form 4 hujamaliza utaajiriwa na nan. Hao ni wanga. Naishkuru google kuniwezesha kusoma online huku nikwa nabeba zege ili kupata fee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana kwa kuliona hili na wew. Mana nakutana na watu wamekatishwa tamaa na hawa wenye degree.
 
Mkuu kujiendeleza ni muhimu unafikiri usingesoma hvyo vyeti vingine unafikir nani angekuajiri kwenye hiyo position
Ni kweli mkuu. Ila mim kinacho niuma ni pale ninapoona mtu mwenye degree akimkatisha tamaa mwenye elimu ndogo ya form 4 au ambae haja maliza hata hyo form4 kua hawez kupata kazi kwa elimu hyo. Badala ya kumpa fact kua inabid aongeze skills atapata tu mchongo.
 
Ni kweli mkuu nilikuwa na kaka yangu ni la saba alikuja ku fight nakusoma vikozi vingi vingi. Sasa hivi alipo mshahara anaolipwa hata mtu wa degree bongo haukutii japo ndo hivyo kingereza akipandi sana
 
Boss wa IT hukuridhika kwa Uzi wa yule jamaa mtafuta kazi na umeamua luanzisha Uzi wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan mkuu nimegundua vijana wamekatishwa tamaa na wenye degree kias kwamba wanahis ni ngum kupata ajira kwa hali yao. Ndomana nimewatia moyo kuabinawezekana coz mi nafanya kazi bila hayo mavyet na sijui kama ntakuja kuyafanya.
 
Naomba waheshimiwa mnielewe kwenye huu uzi nilioandika hapa...

Kumekua na tabia ya watu waliosoma degree au masters au level zingine za elimu ya juu kuwakatisha tamaa wale ambao hawaja fanikisha kupata elimu hizo.

Leo nataka tuwekane sawa ili kama ulikatishwa tamaa na kuhis huwez kupata ajira sabab tu hujafanikiwa kupata hayo mavyeti bas leo upate nguvu upya, natumia mfano hai wa KWANGU mwenyewe. Sikufanikiwa kuhitimu form4 niliishia form3 kwa sabab za kiuchumi ila darsan nilikua smart (nilikua na faulu masomo vizur) baada ya shule kuishia njian nilipata vibarua kwenye site za ujenz nikabeba zege kwa hasira nikafanikiwa kutunza hela ambayo nililipa fee ili kusoma coz ya CISCO(hii niliisoma online ikiwemo ku google, youtube zote zilihusika) nikafanya exam nikafaulu na kua certfied CCNA then nika cheza mchezo nikapokea bada ya miez mi4 hiv nikalipa tena fee nikasoma CISCO tena level inayofuata ambayo ni CCNP, nikafanya exam nikapata certificate. Nikafanya na coz ya ITIL Foundation.

Ikumbukwe ada za kufanya hayo yote ni ile kaz ya site ya zege nilikua nalipwa 7,000/day. Halaf nikawa nacheza mchezo so nikipokea hela ya mchezo ndo nalipa fee. Baada ya kua na CCNP na ITIL Foundation nikaanza kutafuta sehem za ku volunteer Mungu ni mwema nikapata nikaanza kufanya kama IT TECHNICIAN ndan ya miez 6 maisha yalikua magum lakin nilkomaa coz natafuta uzoefu wa kazi.

Mungu akazid kua mwema nikaajiriwa pale pale na position ika change nikawa SYSTEMS ADMINISTRATOR. Na walijua sikua na chet cha form 4. Nikfanya kwa miaka 3 nikaona post mtandaon anahitajika NETWORK ADMINISTRATOR sikulemba nikatupa CV yangu hyo hyo isiyo na chet cha form4 ila uwezo wangu wa kufanya kazi ulikua mkubwa. Nikaitwa interview nikapitia tulikua 15 ambapo wenzangu wote walikua wana diploma za IT na computer science lakin walifel practical hapo ndo mm nisiokua na vyeti nikachomoa betri yaan niliwapita kama rocket hadi IT MANGER akaniulizaat umeaema hukumaliza form 4 au umesema hukumaliza chuo!!

Na hapa ndo nilipo hadi sasa napokea watu wa field kutoka vyuo maarufu kama DIT NA DSM na mm ndo Eng. Wao hapa upande wa vitendo. Wao wanakuja na theory ambazo tunaziweka pemben mim nawapa kanun za kufanya kazi.

Hitimisho: haijalish una elimu kias gan kila kitu kinawezekana songambele usikate tamaa na maneno ya wanye degree wakikwambia et wasomi ni wengi we hata form 4 hujamaliza utaajiriwa na nan. Hao ni wanga. Naishkuru google kuniwezesha kusoma online huku nikwa nabeba zege ili kupata fee.
Rekebisha hiyo heading sema" kuwa na elimu kubwa sio kigezo cha kupata ajira",maana hata ww bado ulifukuzia kupata mivyeti ya Cisco.

Na hivyo vigezo ni kwa taasisi binafsi tu, mara nyingi wazungu hawaulizi vyeti nishawai pata kazi kampuni ya wazungu bila kuwasilisha vyeti hule uwezo wangu tu kwenye interview niliouonyesha nikaambiwa Kesho njoo uanze kazi.

Kwenye taasisi za serikali wanaangalia sana vyeti na sio tu vyeti wao GPA ndio kila kitu kwao kama hauna 3.5 and above kupata kazi taasisi nyingi labda huwe na kismart au connection kubwa la sivyo utavunja sana mayai viza na nazi njia panda.
 
Mkuu,hakuna mbadala wa elimu,LAzima watu wasome,Wawe na Maarifa na wawe na bidii.Vyeti ni uthibitisho tu lakini hauondoi umuhimu wa bidii na maarifa
 
Rekebisha hiyo heading sema" kuwa na elimu kubwa sio kigezo cha kupata ajira",maana hata ww bado ulifukuzia kupata mivyeti ya Cisco.

Na hivyo vigezo ni kwa taasisi binafsi tu, mara nyingi wazungu hawaulizi vyeti nishawai pata kazi kampuni ya wazungu bila kuwasilisha vyeti hule uwezo wangu tu kwenye interview niliouonyesha nikaambiwa Kesho njoo uanze kazi.

Kwenye taasisi za serikali wanaangalia sana vyeti na sio tu vyeti wao GPA ndio kila kitu kwao kama hauna 3.5 and above kupata kazi taasisi nyingi labda huwe na kismart au connection kubwa la sivyo utavunja sana mayai visa na nazi njia panda.
Nimekupata mkuu.
 
Kwahiyo huko ulikisoma hizo SISCO, CCNP, CCNA na hiyo ITIL hukupewa vyeti au unataka tu kukatisha watu tamaa?

................Shukuru Mungu kwa hatua uliyofikia acha mbwembwe.
 
Hujanielewa mkuu. Body ya uzi huu nimemaanisha sio lazima usome had level kubwa ya elimu. Unaweza kua hujafika hata form4 na ukapata kazi. Vyet nilivyo navyo mm ni vya kawaida hata form4 sikumaliza
 
Kwa Tanzania ya sasa ya 2015-2020 na kuendelea bila cheti cha form 4 na 6 hutoboi...

Hata recruiting agency website zinaweka *mandatory field uweke pdf ya hivi vyeti....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata ila hilo swala ni huko serkalini mana huko wanaangalia vyeti sana kuliko uwezo wa mtu kufanya kazi ila kwa private unapata tena kazi nzuri tu kama una uwezo kufanya kazi bas chet cha form 4 huku ni urembo mkuu.
 
Wewe ni goroko ulipewa nafasi ukaitumia vizuri . Sasa hata mwenye vyeti akipewa nafasi na kuitumia vizuri anakuzidi . Sasa acha kudanganya watu kwamba wasiwe na vyeti mzee. Tena mtu aliye na chati akipata ujuzi anakuwa The goat katika mambo hayo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom