vyama

  1. M

    Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

    Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki. Huu ujumbe wa Polepole...
  2. M

    GE2025 Mwana CCM amuandikia Msajili wa Vya Siasa barua ya Malalamiko ya UKIUKWAJI wa taratibu za kupata Mgombea Urais wa CCM

  3. ELI COHEN

    Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  4. McLaren

    GE2025 Sheikh Mohammed Mawinda: Walioko kwenye mfumo hawataki kufuata utaratibu. Vyama vinapotaka mambo yao wanatakiwa kufuata utaratibu

    Mmemuelewa huyu Sheikh lakini wakuu? Huyu mnadhani atakuwa ame-target chama gani hapa ambacho hakifuati utaratibu? ========================================== Akiwa anazungumza leo katika Mdahalo wa Wadau wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 amesema kwamba...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Vyama vyaaswa kuzingatia sheria ya gharama za uchaguzi mkuu

    Akizungumza Jumatatu Agosti 18, 2025 Mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa Juma Khatibu katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), mkoani Dar es Salaam, Khatibu amempongeza Msajili wa Vyama vya...
  6. sajo

    TBC Taifa (Radio na Televisheni) na magazeti ya serikali kuonesha kwa usawa habari za vyama vyote vya siasa

    Kila baada ya miaka 5 Katiba ya JMT inaeleza kufanyika kwa uchaguzi mkuu hapa nchini ambapo wananchi huchagua Rais, wabunge na Madiwani. Katiba hiyohiyo pia imeelekeza uchaguzi mdogo kufanyika ndani ya kipindi kitachotangazwa na tume ya uchaguzi mara baada ya nafasi ya ugombea kuwa wazi...
  7. matunduizi

    Kwa nini Ilani za vyama zisilazimishwe kisheria KUFUATA dira ya Taifa?

    Taifa liwe na dira ya miaka 50+ ijayo. Ifundishwe KWA Lugha rahisi kuanzia chekechea Hadi kwenye vijiwe vya kahawa mitaani. Kila Chama kilazimishwe kisheria kuandaa Ilani na malengo yake kuonyesha kitawezaje kutufikisha katika dira hiyo. Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
  8. Farolito

    GE2025 Mhe Bwege: Matokeo yoyote tutakayopata kwa Uchaguzi huu ni kutokana na msimamo wa CHADEMA, asema vyama vingine ni vinyonga

    Dar es Salaam, Akihojiwa juzi katika kipindi cha The Interview kinachorushwa na kituo cha East Africa Radio, Mbunge wa zamani wa Kilwa, Mhe. Suleimani Bungara almaarufu Bwege, ameendelea kusisitiza kwamba Chadema bado wapo sahihi mpaka sasa na kwamba matokeo yoyote watakayopata upinzani katika...
  9. Zanzibar-ASP

    Ni vyema viongozi wa klabu za michezo wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

    Yanayoendelea sasa kwa Yanga na ambayo pia yamekuwepo Simba kwa baadhi ya viongozi wao kuwa wanachama waandamizi wa vyama vya siasa (hususani CCM) na kuleta mgongano wa kimaslahi kwa kulazimisha milengo yao ya kisiasa kuwa sehemu ya mienendo ya klabu wanazoziongoza, nadhani inapaswa liwe sharti...
  10. I

    GE2025 Orodha ya majimbo yatakayotolewa kwa vyama shikizi ili kuhalalisha uchaguzi

    Kuna majimbo kadhaa yatatokewa kama zawadi kwa vyama shikizi ili kuhalalisha uchaguzi wa 2025. Je wagombe wa CCM kwenye hayo majimbo wanajijua kuwa watatolewa kafara. Tuwatonye mapema ili wasitumie nguvu nyingi kwenye uchaguzi.
  11. A

    KERO Walimu Halmashauri ya Wilaya Itilima – Simiyu tumekatwa fedha vyama viwili CHAKUHAWATA na CWT

    Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, Walimu tumekatwa makato kwenye vyama viwili vya Wafanyakazi ambavyo ni Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu (CHAKUHAWATA) na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinyume na taratibu za utumishi. Taratibu zinaeleza kuwa Mtumishi atajaza fomu...
  12. B

    GE2025 Kwanini account za Ikulu zinarusha tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu ya kugombea? Watarusha na wagombea wa vyama vingine?

    Wakuu, Hili ni tukio la kichama, katika shughuli ambayo kama atafanikiwa basi acc hizo za ikulu ndio zitatumika kirusha matukio yake. Kwanini zinatumika leo Samia akienda kuchukua fomu kama mgombea wa CCM, ni kwamba wameshapitisha kwamba yeye ameshakuwa Rais? Vyama vingine vikienda kuchukua...
  13. DuaZaMama

    GE2025 Onesmo: Vyama vya Siasa tusibezane wala kugombana

    Ndugu. Onesmo ole Bulumwa amezungumza hayo baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza na kutoa salamu kwa wanachama na wajumbe waliofika katika mkutano huo Mlimani City Jijini Dar es salaam. Kwanza kabisa Tunapenda kuwapongeza chama cha ACT kwa uzalendo kwa kuendelea kutambua Sector Binafsi hasa...
  14. JanguKamaJangu

    GE2025 Baadhi ya Wanachama wa ACT Wazalendo wagomea salamu ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa

    NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye Mkutano Maalum wa chama hicho leo, Agosti 6, 2025 alianza kwa kuwasalimia ''Nawasalimu kwa jina la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania." mwitikio wake haukuwa vile alivyotarajia.
  15. Moto wa volcano

    Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

    Vyama vya upinzani Tz vinafeli sana , kila siku wanapokea mamluki hawajifunzi , Mpina ghafla tu ACT wanamuamini kugombea nafac ya juu !
  16. raiswenu

    Tufute mfumo wa vyama vingi kibaki kimoja, Demokrasia siyo saizi yetu

    1.Tuna tumia muda mwingi kubishana kuhusu itikadi za vyama badala ya mustakabali wa nchi yetu. Mwaka mzima ni vyama, vyama ...upuuzi 2.Tunaumizana sisi kwa sisi kisa tu tumetofautiana vyama, kuna watu wako magerezani na wengine wamekufa au kujeruhiwa sababu ya vurugu za vyama. 3. Kila...
  17. Roving Journalist

    Pinda ahutubia Kongamano la Vyama vya Ukombozi akimwakilisha Rais Samia nchini Afrika Kusini

    Wazuri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika unapaswa kudumishwa kwa kuzingatia maadili ya ukombozi, misingi ya haki, usawa wa maendeleo jumuishi kwa wananchi kwa...
  18. Z

    Baada ya kusikiliza mahojiano ya Mr Nyanda na Balozi Polepole, Nimegundua Hoja yake ilipo. Katiba ya JMt inasigana na utaratibu wa vyama vya siasa

    https://www.youtube.com/live/SLd-cTx-idU?si=mNjNJacGsstDpqwD Leo ndo nimemwelewa pole pole anachokimaanisha!! Yani katibu ya JMT iliposema kuwa ikiwa makamu wa rais atachukuwa madaraka baada ya rais kufariki ,kwa utaratibu wa chama imara kama CCM ,ilitakiwa kuwepo utaratibu wa kutia Nia Yani...
  19. chiembe

    Mchome: Boniphace Jacob ndiye alinishawishi, akanipa ushahidi na nikaandika kwa Msajili wa vyama kuhusu akidi na uhalali wa Baraza Kuu CHADEMA

    Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego. Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema. Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana...
  20. Carlos The Jackal

    Jaji Mutungi, Msajili wa vyama vya Siasa, ulipo huoni Aibu wee Mzee? Tazama CCM wanavyokuumbua , umegeuka kua Muhuni katika Tanzania ya Wasomi!!

    Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa. Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA. Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
Back
Top Bottom