vyama

  1. Suley2019

    JamiiForums Ruangwa, Lindi: Wagombea wote wa vyama vya upinzani wameondolewa

    Pia taarifa kutoka Liwale Mkoa huo huo wa Lindi viongozi wote wa upinzani wanatafutwa na vyombo wa dola
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Kilichoiua CCM hadi kuogopa kushiriki uchaguzi wa vyama vingi hiki hapa

    Kabla Magufuli hajakabidhiwa Uenyekiti wa CCM Taifa , chama hiki kilikuwa mali ya wanachama wake , walijianzishia miradi yao kwenye matawi , walijipatia chochote kwa kulinda magari yaliyolazwa kwenye ofisi hizo , wengine walianzisha miradi ya kupangisha wafanyabiashara kwenye baadhi ya maeneo ya...
  3. Mung Chris

    JamiiForums Wale wenyeviti wa mtaa waliounga juhudi wakahama vyama pinzani je wamerejeshwa kugombea?

    Wana Bodi, Hivi wale Wenyeviti wa mtaa kutoka Cuf na Chadema waliounga juhudi na kuhamia CCM, je wamerejeshwa kugombea tena uenyekiti kwenye chama tawala? kama hapana tupe ushuhuda ya unapojua, unafikiri kwanini hawakupewa nafasi ya kugombea kama wapo ambao hawakupewa.
  4. cheusimangala_

    JamiiForums Masauni aliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa vyama vya msingi waliotoroka na bilioni 1.2 za wakulima wa korosho

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Newala baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Aziza Mangosongo. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni...
  5. W

    JamiiForums MSWADA: Sababu 50 za kuunga mkono, dhidi ya sababu 15 za kuupinga Mswada wa sheria ya vyama vya Siasa Tanzania, wa Oktoba 2018.

    A. SABABU 50 ZA KUUNGA MKONO. 1. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa itakuwa na jukumu la kusajili vyama vya siasa. 2. Kutoa elimu ya uraia ni jukumu la pili la Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, 3. Ofisi ya Msajili kuwa ndiye msimamizi wa mienendo ya vyama vya siasa vyote nchini Tanzania...
  6. Kaka Pekee

    JamiiForums Mnajificha katika hoja ya ushoga ehh? jibuni nondo hizo

    Watanzania tusikubali propaganda za kijinga hizi.!!! Tamko la bunge La ulaya lina hoja nyingine zaidi ya 14 tofauti na ushoga, watu kupigwa risasi na kukosekana uchunguzi,watu kupotea na kukutwa kwenye viroba,sheria ngumu ya mitandao,chaguzi na wapinzani kunyanyaswa,kufunguliwa kesi za kisiasa...
Back
Top Bottom