vyama

  1. Mpwayungu Village

    Mwenye katiba ya CWT na Sheria ya vyama vya Wafanyakazi Naomba tafadhali

    Habari za mda huu ndugu zangu. Ombi langu ni moja. Nahitaji vitu viwili 1.KATIBA YA CWT 2.SHERIA YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI Nitumie hapa hapa au PM
  2. T

    Vyama vya Ushirika wa Kuweka na Kukopa punguzeni sherehe

    Vyama vya ushirika wa kuweka na kukopa punguzeni sherehe. Mnazo sherehe nyingi kuliko kubuni mikakati mbali mbali ya kuondokana na umaskini. Angalia mabenki wanavyowashangaa. Kila mwaka sherehe sijui jukwaa la ushirika la wapi, umoja wa afrika mashariki, umoja wa vyama vya afrika, umoja wa...
  3. Magufuli 05

    Vyama shindani vyenye nia ya kushika dola unganeni sasa, 2025 njia nyeupe

    Kwa ufupi, Kiongozi wasasa wa nchi hakubaliki popote Tanzania Bara, hakubaliki kwa makundi yote hasa wananchi wa kawaida(common people). Anapondwa mno kwa kushindwa kuwa dereva Bora na mwenye msimamo. Wananchi wameshindwa kujua hasa falsafa yake ni ipi? Wameshindwa kujua mwelekeo wa nchi ni...
  4. BARD AI

    Senegal: Vyama vya Upinzani vyaitisha maandamano baada ya Kiongozi wao kuhukumiwa kifungo cha miezi 6

    Muungano wa Vyama vya Upinzani Nchini #Senegal umeitisha maandamano hayo siku moja baada ya Mahakama kumuongezea muda wa kifungo #OusmaneSonko kutoka miezi 2 hadi 6 kwa madai ya kumtukana Waziri wa Utalii Mame Mbaye Niangtou. Kwa mujibu Vyama hivyo, maandamano yanalenga kupinga uamuzi wa...
  5. Victor Mlaki

    Kauli tata kutoka Kwa Katibu wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi

    Miongoni mwa masuala yanayowafanya wafanyakazi kushindwa kuuelewa umuhimu wa vyama vya wafanyakazi ni pamoja na kauli tata za viongozi wa vyama vya wafanyakazi hususani wanapouulizwa maswali yanayowasumbua wafanyakazi wengi. Katibu alipoulizwa kuhusu kikokotoo jibu alilolitoa kwa kweli ni swali...
  6. R

    Lissu tuambie, unaamini Bunge la sasa linaweza kufanya maboresho ya sheria ya vyama vya siasa,uchaguzi na katiba mpya?

    Tunakubaliana wote yaani CCM na upinzani kwamba Bunge la sasa halina uhalali kutokana na uharibifu uliofanywa kwenye uchaguzi 2020. Tunakubaliana wote kwamba dhamira ya Mhe. Rais aitengenezi vifungu vya sheria Bali inaweza Tu kufungua milango Kwa mabadiliko ya sheria. NI wazi kabisa kwamba...
  7. BARD AI

    Rais Samia aagiza Msajili kuitisha Kikao kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi, kuitisha kikao maalum cha Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo ni kuwashirikisha wadau katika kutathmini utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi Kazi kilichokuwa kikiratibu maoni ya watu kuhusu demokrasia ya vyama vingi vya...
  8. B

    Vyama visivyo na wajibu kwa jamii ni vya nini?

    Ni wajibu wa vyama vinavyojitanabaisha kuwa vya ukombozi kuwahamasisha na kuwaongoza watu kudai haki zao. Mtaji wa vyama hivyo ni watu. Ni jukumu kipaumbele la vyama vinavyojitambua kuwa mkao wa kula kujua au kutafuta wapi pana malalamiko na kuyafanyia kazi vilivyo. Kudai katiba mpya ni...
  9. BARD AI

    Mbunge ataka Sheria kuweka bayana uteuzi wa Wagombea ndani ya Vyama vya Siasa

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Neema Lugangira ametaka maboresho ya vyama vya siasa na chaguzi ziainishe bayana uteuzi wa wagombea ndani ya vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali za uongozi. Ameyasema hayo leo Aprili 25,2023 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba...
  10. Bunchari

    Kuna umuhimu wa kufutilia mbali vyama vya upinzani vilivyopo ili kuleta mapinduzi ya siasa Tanzania

    Habari wakuu, hamjambo? Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi. Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
  11. benzemah

    Madudu ya Vyama vya Siasa kwenye Ripoti ya CAG

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)amebaini kasoro katika vyama vya siasa vikiwamo visivyo na bodi za wadhamini zenye ufanisi. Vyama hivyo ni pamoja na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Wananchi (CUF) na Democratic Party (DP) na CCM. Hayo yamo kwenye...
  12. Mr Dudumizi

    Hii ndio tatu bora ya vyama vya upinzani ambavyo vilipata misukosuko mikubwa kutoka katika vyombo vya dola

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ndugu zangu, najua hapa JF tuna vijana wengi ambao walianza kufuatilia na kujiunga na mambo ya kisiasa miaka ya 2010, 2015, 2020 hadi leo 2023. Vijana hao ambao wengi wao ni Chadema, wakifuatiwa kwa mbali na ACT Wazalendo, wanaamini kwamba vyama hivyo viwili ndio...
  13. J

    PM Majaliwa: CHADEMA, ACT Wazalendo, NCCR, CUF, CCM na DP vimepokea jumla ya Tsh 17.5 bilioni ikiwa ni Ruzuku

    Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Vyama 6 vya Siasa vyenye Sifa ya kupata Ruzuku ya Serikali vimepokea Jumla ya tsh 17.5 bilioni Vyama hivyo sita ni Chadema, ACT wazalendo, NCCR mageuzi, CUF, CCM na DP Chanzo: Swahili Times Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele! --- Katika bajeti ya...
  14. Kabende Msakila

    Vyama vya Siasa mmeathiriwa na utumwa - mtatumika sana

    Nazungumza na Wana wa CDM, ACT, NCCR, CUF nk pamoja na kwamba mmesajili vyama vyenu ili kuja kukiangusha chama tawala cha CCM lkn uhalisia unaonesha mmeathiliwa sana mifumo ya kikoloni na utumwa. (a). Kwa nini vyama hamuanzishi miradi mipya ya vitegeuchumi ili pasipo kutegemea ruzuku fedha...
  15. TPP

    Vyama vya Siasa 8 nchini China

    China ni nchi inayo ongozwa na chama cha kikomunisti. Chama cha kikomunisti sio chama pekee kilichopo katika nchi ya China bali kuna vyama vingine nane ukiondoa chama cha kikomunisti. Vyama hivi nane hutambulika kama vyama shauri kwa serikali na vinajumuishwa katika bunge la watu wa China...
  16. Adharusi

    Vyama vya siasa ya Upinzani kushambulia vyama vya wafanyakazi ni mkakati au Heche na Nondo wanatumika?

    Msingi wa vyama vyote siasa Duniani umezaliwa ubavuni mwa vyama vya wafanyakazi. Kwa sababu kundi la vyama vya wafanyakazi wote wanakua wamesoma na werevu, ndio kundi la kwanza kuona ukandamizaji katika jamii, na kuanza kutoa elimu kwa jamii. Vyama vya wafanyakazi mara nyingi kazi ngumu ya...
  17. Issakson makanga

    Kabla ya katiba mpya ya nchi, tunahitaji maboresho ya katiba za vyama hasa CCM

    Nawaza kwa sauti ya kizalendo, Kweli tunahitaji katiba ya nchi kama taifa hiyo haiepukiki kwa sasa kwa maana mambo mengi yapo hovyo hovyo kabisa. Ila naona kwenye hivi vyama vya siasa bado kuna mambo hayako sawa kabisa, hususani namna ya miongozo na kanuni. Nitolee mfano CCM hivi kwa dunia...
  18. The Burning Spear

    Harakati za vyama vya upinzani Tanzania ni kupewa Ukuu wa Wilaya tu

    Toka CCM waligundue Hilo hawana presha kabisa na upinzani. Utaratubu huu alianza nao mkapa. Issue sasa ninl kuwahonga madaraka ili wakae kimya kwani nao ni chumia tumbo. Hata ukiwahoji watakuuliza kwani wewe unalisha familia zetu? Enzi hizo bwana Cheo Yupo moto kwelikweli mkapa aliivuruga...
  19. Maguguma

    Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha

    Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha wao wenyewe badala ya wakulima wa zao hilo. Wakulima wa zao la Kahawa wanafanya kazi wakati wa mvua na jua kwa kipindi cha mwaka mzima, lakini kwa asilimia kubwa wanaonufaika ni...
  20. J

    Waliodai vyama vya upinzani kushirikiana na Magufuli ni uzalendo, wakati wa Magufuli, sasa wanalalamika Chadema haikosoi Serikali

    Wale wafuasi wa Magufuli leo hii wanalalamika kwamba Chadema haikosoi tena Serikali, imenunuliwa Lakini watu hawa hawa ndio waliokuwa wakisoma vyama vya upinzani havina umuhimu, inabidi viuawe kwa nguvu kwa kutumia mbinu za kuteka kufunga na kuua viongozi wake Hawa watu wana matatizo ya akili?
Back
Top Bottom